ABOUT THE SPEAKER
Richard St. John - Marketer, success analyst
A self-described average guy who found success doing what he loved, Richard St. John spent more than a decade researching the lessons of success -- and distilling them into 8 words, 3 minutes and one successful book.

Why you should listen

Richard St. John was on his way to the TED conference when a girl on the plane asked him, "What really leads to success?" Even though he had achieved some success, he couldn't explain how he did it. So he spent the next ten years researching success and asking over 500 extraordinarily successful people in many fields what helped them succeed. After analyzing, sorting, and correlating millions of words of research, and building one of the most organized databases on the subject of success, he discovered "The 8 Traits Successful People Have in Common" and wrote the bestseller 8 To Be Great.

In his books and talks,he shares a wealth of wisdom from the world's most successful people -- knowledge that can help others succeed in their own way, whether it's escaping poverty, building a business, raising a family, or changing the world.

More profile about the speaker
Richard St. John | Speaker | TED.com
TED2005

Richard St. John: 8 secrets of success

Richard St. John: Siri 8 za mafanikio

Filmed:
14,410,517 views

Kwa nini watu wanafanikiwa? Je, ni kwa sababu wana akili? Au ni bahati tu? Wala. Mchambuzi Richard St. John anatoa muhtasari wa miaka ya mahojiano katika dakika 3 kuhusu siri halisi za mafanikio.
- Marketer, success analyst
A self-described average guy who found success doing what he loved, Richard St. John spent more than a decade researching the lessons of success -- and distilling them into 8 words, 3 minutes and one successful book. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

Huu ni mjadala wa kweli wa masaa mawili nilioutoa kwa wanafunzi wa sekondari,
00:24
This is really a two-hoursaa mbili presentationuwasilisho
I give to highjuu schoolshule studentswanafunzi,
0
31
3290
00:27
cutkata down to threetatu minutesdakika.
1
3345
1251
unakatiza kwa dakika tatu.
00:28
And it all startedilianza one day
on a planendege, on my way to TEDTED,
2
4620
2641
Na yote yalianza siku moja nikiwa kwenye ndege, nikielekea TED,
00:31
sevensaba yearsmiaka agoiliyopita.
3
7285
1294
miaka saba iliyopita.
00:32
And in the seatkiti nextijayo to me
was a highjuu schoolshule studentmwanafunzi, a teenagerkijana,
4
8603
4373
Na katika siti iIiyopo pembeni yangu
alikuwapo mwanafunzi wa sekondari, kijana,
00:37
and she camealikuja from a really poormaskini familyfamilia.
5
13000
2007
alitokea katika familia masikini sana.
00:39
And she wanted to make
something of her life,
6
15483
2493
Na alitaka kujitengenezea maisha,
00:42
and she askedaliuliza me a simplerahisi little questionswali.
7
18000
2039
akaniuliza swali rahisi.
00:44
She said, "What leadsinaongoza to successmafanikio?"
8
20063
1945
Alisema, "Ni nini husababisha mafanikio?"
00:46
And I feltwalihisi really badlyvibaya,
9
22032
1379
Na nilijisikia vibaya sana,
00:47
because I couldn'thaikuweza give her a good answerjibu.
10
23435
2461
kwa sababu sikuweza kumpa jibu zuri.
00:49
So I get off the planendege, and I come to TEDTED.
11
25920
2056
Hivyo nilitoka kwenye ndege, na kuja TED.
00:52
And I think, jeezjeez, I'm in the middlekatikati
of a roomchumba of successfulimefanikiwa people!
12
28000
3730
Na nikafikiri, lahaula, niko miongoni mwa watu wenye mafanikio!
00:55
So why don't I askkuuliza them
what helpedimesaidia them succeedkufanikiwa,
13
31754
2611
Kwa nini nisiwaulize wao
nini kiliwasaidia kufanikiwa,
00:58
and passkupitisha it on to kidswatoto?
14
34389
1714
na kuwaelimisha watoto?
01:00
So here we are, sevensaba yearsmiaka,
500 interviewsmahojiano laterbaadae,
15
36817
3609
Hivyo, miaka saba,
mahojiano 500 baadaye,
01:04
and I'm going to tell you
what really leadsinaongoza to successmafanikio
16
40450
2940
nitawaambia nini hasa hupelekea mafanikio
01:07
and makeshufanya TEDstersTEDsters tickJiza.
17
43414
1365
yanayowasukuma wanaTED.
01:09
And the first thing is passionshauku.
18
45367
1609
Na jambo la kwanza ni shauku.
01:11
FreemanFreeman ThomasThomas saysanasema,
"I'm driveninaendeshwa by my passionshauku."
19
47787
2532
Freeman Thomas anasema,
"Ninaendeshwa na shauku yangu."
01:14
TEDstersTEDsters do it for love;
they don't do it for moneyfedha.
20
50763
2460
WanaTED hufanya yote kwa sababu ya upendo;
hawafanyi kwa ajili ya fedha.
01:17
CarolCarol ColettaColetta saysanasema, "I would paykulipa
someonemtu to do what I do."
21
53247
3484
Carol Coletta anasema, "Ningelipa
mtu kufanya ninachofanya. "
01:20
And the interestingkuvutia thing is:
22
56755
1411
Na jambo la kushangaza ni:
01:22
if you do it for love,
the moneyfedha comesinakuja anywayhata hivyo.
23
58190
2191
ukifanya kwa upendo,
pesa huja hata hivyo.
01:24
Work! RupertRupert MurdochMurdoch said
to me, "It's all hardngumu work.
24
60866
3110
Kazi! Rupert Murdoch aliniambia, "Yote ni kazi ngumu.
01:28
Nothing comesinakuja easilykwa urahisi.
But I have a lot of funfuraha."
25
64000
3083
Hakuna kitu kinakuja kwa urahisi.
Lakini ninaifurahia kazi yangu. "
01:31
Did he say funfuraha? RupertRupert? Yes!
26
67107
2870
Amesema furaha? Rupert? Ndiyo!
01:34
(LaughterKicheko)
27
70001
1476
(Vicheko)
01:35
TEDstersTEDsters do have funfuraha workingkufanya kazi.
And they work hardngumu.
28
71501
2746
WanaTED hufurahia kazi zao.
Na hufanya kazi kwa bidii.
01:38
I figuredimeonekana, they're not workaholicsworkaholics.
They're workafrolicsworkafrolics.
29
74271
2953
Niligundua, sio workaholics. Ni workafrolics.
01:41
(LaughterKicheko)
30
77248
1590
(Vicheko)
01:42
Good!
31
78862
1057
Vyema!
01:43
(ApplauseMakofi)
32
79943
1001
(Makofi)
01:44
AlexAlex GardenBustani saysanasema, "To be successfulimefanikiwa,
put your nosepua down in something
33
80968
3346
Alex Garden anasema, "Ili kufanikiwa, weka jitihada katika kitu kimoja
01:48
and get damndamn good at it."
34
84338
1246
na kuwa mtaalamu kwenye hilo."
01:49
There's no magicuchawi;
it's practicemazoezi, practicemazoezi, practicemazoezi.
35
85608
2842
Hakuna mazingaombwe;
ni mazoezi, mazoezi, mazoezi.
01:52
And it's focustazama.
36
88474
1019
Na ni lengo.
01:53
NormanNorman JewisonJewison said to me,
37
89517
1734
Norman Jewison aliniambia,
01:55
"I think it all has to do
with focusingkuzingatia yourselfwewe mwenyewe on one thing."
38
91275
2992
"Nadhani huhusiana na kujishughulisha na jambo moja. "
01:58
And pushkushinikiza!
39
94773
1065
Na kukazana!
02:00
DavidDaudi GalloGallo saysanasema, "PushKusukuma yourselfwewe mwenyewe.
40
96235
1988
Daudi Gallo anasema, "Jisukume.
02:02
PhysicallyKimwili, mentallykiakili,
you've got to pushkushinikiza, pushkushinikiza, pushkushinikiza."
41
98247
2642
Kimwili, kiakili,
unapaswa kujisukuma, kujisukuma, kujisukuma."
02:04
You've got to pushkushinikiza throughkupitia shynessaibu
and self-doubtshaka.
42
100913
2611
Unahitaji kujisukuma kutoka katika aibu na mashaka.
02:07
GoldieGoldie HawnHawn saysanasema,
"I always had self-doubtsSelf-doubts.
43
103548
2428
Goldie Hawn anasema,
"Siku zote nilikuwa na mashaka.
02:10
I wasn'thaikuwa good enoughkutosha;
I wasn'thaikuwa smartsmart enoughkutosha.
44
106000
2096
Sikuwa na ujuzi wakutosha;
Sikukuwa na kipaji cha kutosha.
02:12
I didn't think I'd make it."
45
108120
1543
Sikufikiri ningeweza kufanikiwa."
02:14
Now it's not always easyrahisi to pushkushinikiza yourselfwewe mwenyewe,
46
110264
2039
Daima si rahisi kujisukuma,
02:16
and that's why they inventedzuliwa mothersmama.
47
112327
2088
na ndiyo maana tuna mama.
02:18
(LaughterKicheko)
48
114439
1000
(Vicheko)
02:19
(ApplauseMakofi)
49
115439
1561
(Makofi)
02:21
FrankFrank GehryGehry said to me,
50
117000
2976
Frank Gehry aliniambia,
02:24
"My mothermama pushedkusukuma me."
51
120000
1370
"Mama yangu alinisukuma."
02:25
(LaughterKicheko)
52
121394
1214
(Vicheko)
02:26
ServeKuhudumu!
53
122632
1016
Tumikia!
02:28
SherwinSherwin NulandNuland saysanasema,
"It was a privilegeupendeleo to servetumikia as a doctordaktari."
54
124427
3039
Sherwin Nuland anasema,
"Ilikuwa ni fursa kutumikia kama daktari."
02:32
A lot of kidswatoto want to be millionairesmamilionea.
55
128093
2110
Watoto wengi wanataka kuwa mamilionea.
02:34
The first thing I say is:
56
130227
1250
Jambo la kwanza ninalosema ni:
02:35
"OK, well you can't servetumikia yourselfwewe mwenyewe;
57
131501
1902
"Sawa, vizuri huwezi kujihudumia mwenyewe;
02:37
you've got to servetumikia otherswengine
something of valuethamani.
58
133427
2237
unapaswa kutumikia wengine
kitu cha thamani.
02:39
Because that's the way
people really get richtajiri."
59
135688
2537
Kwa sababu hiyo ndiyo njia
watu hupata utajiri. "
02:43
IdeasMawazo!
60
139074
1025
Mawazo!
02:44
TEDsterTEDster BillMswada GatesMalango saysanasema, "I had an ideawazo:
61
140123
2853
MwanaTED Bill Gates anasema, "Nilikuwa na wazo:
02:47
foundingkuanzisha the first micro-computerMicro-tarakilishi
softwareprogramu companykampuni."
62
143000
2976
kuanzisha kampuni ya kwanza ya programu za mikro-kompyuta."
02:50
I'd say it was a prettynzuri good ideawazo.
63
146000
1976
Ningependa kusema ni wazo zuri sana.
02:52
And there's no magicuchawi to creativityubunifu
in comingkuja up with ideasmawazo --
64
148000
2976
Na hakuna miujiza katika ubunifu
wa mawazo mapya --
02:55
it's just doing some very simplerahisi things.
65
151000
2335
ni kufanya baadhi ya mambo rahisi sana.
02:57
And I give lots of evidenceushahidi.
66
153359
1617
Na ninatoa ushahidi mwingi.
02:59
PersistWavumilia!
67
155291
1114
Stahimili!
03:00
JoeJoe KrausKraus saysanasema,
68
156799
1001
Joe Kraus anasema,
03:01
"PersistenceUsugu is the numbernambari
one reasonsababu for our successmafanikio."
69
157824
2594
"Ustahimilifu ni sababu namba
moja ya mafanikio yetu. "
03:04
You've got to persistwavumilia throughkupitia failurekushindwa.
You've got to persistwavumilia throughkupitia crapkupamba!
70
160832
3542
Unahitaji kustahimili unapofeli. Unahitaji kustahimili misukosuko!
03:08
WhichAmbayo of coursebila shaka meansina maana "CriticismUpinzani,
RejectionKukataliwa, AssholesAssholes and PressureShinikizo la."
71
164398
3515
Ambayo ni "Kukosolewa,
Kukataliwa, Watu ovyo na Presha."
03:11
(LaughterKicheko)
72
167937
2766
(Vicheko)
03:14
So, the answerjibu to this questionswali is simplerahisi:
73
170727
3719
Hivyo, jibu kwa swali hili ni rahisi:
03:18
PayKulipa 4,000 bucksbucks and come to TEDTED.
74
174470
2125
Lipa dola 4,000 na uje kwenye TED.
03:20
(LaughterKicheko)
75
176619
1193
(Vicheko)
03:21
Or failingkushindwa that, do
the eightnane things -- and trusttumaini me,
76
177836
2738
Au ukishindwa hilo, fanya
mambo haya nane - na niamini,
03:24
these are the bigkubwa eightnane things
that leadkuongoza to successmafanikio.
77
180598
3220
haya ni mambo makuu nane
ambayo huleta mafanikio.
03:27
Thank you TEDstersTEDsters
for all your interviewsmahojiano!
78
183842
2719
Asanteni wanaTED
kwa mahojiano yenu yote!
03:30
(ApplauseMakofi)
79
186585
3000
(Makofi)
Translated by Sophy Mwema
Reviewed by Nelson Simfukwe

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Richard St. John - Marketer, success analyst
A self-described average guy who found success doing what he loved, Richard St. John spent more than a decade researching the lessons of success -- and distilling them into 8 words, 3 minutes and one successful book.

Why you should listen

Richard St. John was on his way to the TED conference when a girl on the plane asked him, "What really leads to success?" Even though he had achieved some success, he couldn't explain how he did it. So he spent the next ten years researching success and asking over 500 extraordinarily successful people in many fields what helped them succeed. After analyzing, sorting, and correlating millions of words of research, and building one of the most organized databases on the subject of success, he discovered "The 8 Traits Successful People Have in Common" and wrote the bestseller 8 To Be Great.

In his books and talks,he shares a wealth of wisdom from the world's most successful people -- knowledge that can help others succeed in their own way, whether it's escaping poverty, building a business, raising a family, or changing the world.

More profile about the speaker
Richard St. John | Speaker | TED.com