ABOUT THE SPEAKER
Ngozi Okonjo-Iweala - Economist
Ngozi Okonjo-Iweala is a respected global economist.

Why you should listen

Okonjo-Iweala was the Finance Minister of Nigeria, Africa’s largest economy, from 2003 to 2006, and then briefly the country’s Foreign Affairs Minister, the first woman to hold either position. From 2011 to 2015 she was again named Minister of Finance and Coordinating Minister for the Economy of Nigeria. Between those terms, from 2007 to 2011, she was one of the managing director of the World Bank and a candidate to the organization’s presidency. She is now a senior advisor at financial advisory and asset management firm Lazard, and she chairs the Board of the Global Alliance for Vaccines and Immunization. At the World Bank, she worked for change in Africa and assistance for low-income countries. As Finance Minister, she attacked corruption to make Nigeria more transparent and desirable for investment and jobs, an activism that attracted criticism from circles opposed to reform.

More profile about the speaker
Ngozi Okonjo-Iweala | Speaker | TED.com
TEDSummit

Ngozi Okonjo-Iweala: How Africa can keep rising

Ngozi Okonjo-Iweala: Jinsi gani Afrika itaendelea kukua

Filmed:
918,971 views

Ukuaji wa Kiafrika ni harakati, sio ubabaishaji, anasema mchumi na aliyekuwa Waziri wa Fedha wa Nigeria Ngozi Okonjo-Iweala. Katika mazungumzo haya ya kusisimua yaliyo wazi,Okonjo Iweala anaelezea hatua endelevu barani na kuainia changamoto nane ambazo mataifa ya Kiafrika bado yanahitaji kuzungumzia ili kuweza kuwa na maisha bora baadaye.
- Economist
Ngozi Okonjo-Iweala is a respected global economist. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

Simulizi za Afrika inayokua
zinapata changamoto
00:12
The narrativemaelezo of a risingkupanda AfricaAfrika
is beingkuwa challengedchangamoto.
0
480
3856
00:16
About 10 yearsmiaka agoiliyopita,
I spokealizungumza about an AfricaAfrika,
1
4360
4456
Karibia miaka 10 iliyopita
Niliongea kuhusu Afrika,
00:20
an AfricaAfrika of hopetumaini and opportunitynafasi,
2
8840
2696
Afrika yenye matumaini na fursa,
00:23
an AfricaAfrika of entrepreneurswajasiriamali,
3
11560
1936
Afrika ya wajasiriamali,
00:25
an AfricaAfrika very differenttofauti from the AfricaAfrika
that you normallykawaida hearkusikia about
4
13520
3456
Afrika tofauti kabisa na Afrika
ambayo umezoaea kusikia
00:29
of deathkifo, povertyumasikini and diseaseugonjwa.
5
17000
2776
ya vifo, umaskini na magonjwa.
00:31
And that what I spokealizungumza about,
6
19800
2056
Na kile nilichokiongelea,
00:33
becameikawa partsehemu of what is knowninayojulikana now
as the narrativemaelezo of the risingkupanda AfricaAfrika.
7
21880
5456
ikawa sehemu ya kile kinachojulikana sasa
kama hadithi ya Afrika inayokua.
00:39
I want to tell you two storieshadithi
about this risingkupanda AfricaAfrika.
8
27360
3336
Nataka niwaambie hadithi mbili
kuhusu hii Afrika inayokua.
00:42
The first has to do with RwandaRwanda,
9
30720
1776
Ya kwanza inaihusisha Rwanda,
00:44
a countrynchi that has gonewamekwenda
throughkupitia manywengi trialsmajaribio and tribulationstaabu.
10
32520
3416
nchi ambayo imepitia majaribu mengi
na dhiki.
00:47
And RwandaRwanda has decidedaliamua to becomekuwa
the technologyteknolojia hubkitovu, or a technologyteknolojia hubkitovu
11
35960
4496
Na Rwanda ikaamua kuwa kitovu
cha teknolojia, au kitovu cha teknolojia
00:52
on the continentbara.
12
40480
1336
kwenye bara la Afrika.
00:53
It's a countrynchi with mountainousmilima
and hillyhilly terrainardhi,
13
41840
3016
Ni nchi yenye milima na ardhi ya eneo
lenye vilima,
00:56
a little bitkidogo like here,
14
44880
1216
kidogo kama hapa,
00:58
so it's very difficultvigumu
to deliverkutoa serviceshuduma to people.
15
46120
3176
hivyo ni vigumu sana
kupeleka huduma kwa watu.
01:01
So what has RwandaRwanda said?
16
49320
1696
Hivyo Rwanda imesema nini?
01:03
In orderamri to savesalama livesanaishi,
it's going to try usingkutumia dronesmarubani
17
51040
3656
Ili kuweza kuokoa maisha,
itajaribu kutumia ndege zisizo na rubani
01:06
to deliverkutoa lifesavingkuokoa maisha drugsmadawa,
vaccineschanjo and blooddamu
18
54720
3216
kupeleka madawa ya kuokoa maisha,
chanjo na damu
01:09
to people in hard-to-reachvigumu kufikia placesmaeneo
19
57960
2016
kwa watu katika sehemu zisizo fikika
01:12
in partnershipushirikiano with
a companykampuni calledaitwaye ZiplineZipline,
20
60000
2496
wakishirikiana na
kampuni inayoitwa Zipline,
01:14
with UPSUPS, and alsopia with the GaviGAVI,
a globalkimataifa vaccinechanjo allianceMuungano.
21
62520
4536
pamoja na UPS, na pia Gavi
shirika la kimataifa la chanjo.
01:19
In doing this, it will savesalama livesanaishi.
22
67080
2376
Katika kufanya hivi, itaokoa maisha.
01:21
This is partsehemu of the typeaina of innovationinnovation
we want to see in the risingkupanda AfricaAfrika.
23
69480
5296
Hii ni sehemu ya ubunifu
tunayotaka kuona katika Afrika inayokua.
01:26
The secondpili storyhadithi has to do with something
24
74800
2536
Hadithi ya pili inahusiana na jambo
01:29
that I'm sure mostwengi of you
have seenkuonekana or will rememberkumbuka.
25
77360
3016
ambalo ninauhakika wengi wenu
mmeona au mtakumbuka.
01:32
Very oftenmara nyingi, countriesnchi in AfricaAfrika
sufferkuteseka droughtukame and floodsmafuriko,
26
80400
3896
Mara nyingi, nchi za Afrika
zimeteseka na ukame na mafuriko,
01:36
and it's gettingkupata more frequentmara kwa mara
because of climatehali ya hewa changemabadiliko effectsathari.
27
84320
3696
na inaongezeka zaidi kwasababu
ya athari za mabadiliko ya tabia nchi.
01:40
When this happenshutokea, they normallykawaida wait
for internationalkimataifa appealsrufaa to raisekuinua moneyfedha.
28
88040
5696
Wakati haya yanapotokea, kawaida
husubiri nchi za kimataifa kuchanga fedha.
01:45
You see picturespicha of childrenwatoto
with fliesnzizi on theirwao facesinakabiliwa,
29
93760
3376
Unaona picha za watoto
wakiwa na nzi kwenye nyuso zao
01:49
carcassesmizoga of deadwamekufa animalswanyama and so on.
30
97160
2496
mizoga ya wanyama waliokufa na kadhalika.
01:51
Now these countriesnchi,
32 countriesnchi, camealikuja togetherpamoja
31
99680
3016
Sasa nchi hizi,
nchi 32, zilikutana pamoja
01:54
underchini the auspiceshii huendeshwa of the AfricanAfrika UnionUmoja wa
32
102720
2456
chini ya mwamvuli wa Umoja wa Afrika
01:57
and decidedaliamua to formfomu an organizationshirika
calledaitwaye the AfricanAfrika RiskHatari CapacityUwezo.
33
105200
5016
na kuamua kuunda shirika
linaloitwa Africa Risk Capacity.
02:02
What does it do?
34
110240
1216
Linafanya nini?
02:03
It's a weather-basedkulingana na hali ya hewa insurancebima agencyshirika,
35
111480
2096
Ni wakala wa bima wa hali ya hewa
02:05
and what these countriesnchi do
is to paykulipa insurancebima eachkila mmoja yearmwaka,
36
113600
4376
na nchi hizi zinachofanya
ni kulipa bima kila mwaka,
02:10
about 3 millionmilioni dollarsdola a yearmwaka
of theirwao ownmwenyewe resourcesrasilimali,
37
118000
2936
karibia dola milioni 3 kwa mwaka
kutoka kwenye rasilimali zao,
02:12
so that in the eventtukio they have
a difficultvigumu droughtukame situationhali or floodmafuriko,
38
120960
4816
ili kwamba endapo wanakumbwa
na hali ya ukame mgumu au mafuriko,
02:17
this moneyfedha will be paidkulipwa out to them,
39
125800
2616
fedha hizi zitalipwa kuwasaidia
02:20
whichambayo they can then use
to take carehuduma of theirwao populationswatu,
40
128440
2736
ambazo wanaweza kuzitumia
kuwatunza wananchi wao
02:23
insteadbadala yake of waitingkusubiri for aidmisaada to come.
41
131200
2776
badala ya kusubiri msaada kuja.
02:26
The AfricanAfrika RiskHatari CapacityUwezo
last yearmwaka paidkulipwa 26 millionmilioni dollarsdola
42
134000
4216
Shirika la African Risk Capacity
mwaka jana lilipa dola milioni 26
02:30
to MauritaniaMauritania, SenegalSenegal and NigerNiger.
43
138240
2496
kwa Mauritania, Senegal na Niger.
02:32
This enabledimewezeshwa them to take carehuduma
of 1.3 millionmilioni people affectedwalioathirika by droughtukame.
44
140760
5456
Hii iliwawezesha kuwatunza
watu milioni 1.3 walioathirika na ukame.
02:38
They were ableinaweza to restorekurejesha livelihoodsmahitaji ya maisha,
45
146240
2336
Waliweza kurudisha tena maisha yao,
02:40
buykununua fodderchakula for cattleng'ombe,
feedkulisha childrenwatoto in schoolshule
46
148600
2696
kununua majani ya n'gombe
kulisha watoto mashuleni
02:43
and in shortmfupi keep the populationswatu home
insteadbadala yake of migratingWakihama out of the areaeneo.
47
151320
5776
kuwafanya wananchi wabaki nyumbani
badala ya kuhama nje ya eneo.
02:49
So these are the kindsaina of storieshadithi
48
157120
1856
Hivyo hizi ni aina za hadithi
02:51
of an AfricaAfrika readytayari
to take responsibilitywajibu for itselfyenyewe,
49
159000
3616
za Afrika iliyotayari
kuchukua majikumu yake yenyewe,
02:54
and to look for solutionsufumbuzi
for its ownmwenyewe problemsmatatizo.
50
162640
3176
na kutafuta suluhisho
kwa matatizo yake yenyewe.
02:57
But that narrativemaelezo is beingkuwa challengedchangamoto now
51
165840
2496
Ila simulizi hizo zinapata changamoto sasa
03:00
because the continentbara has not
been doing well in the last two yearsmiaka.
52
168360
4816
kwasababu bara letu halijafanya vema
kwa miaka miwili iliyopita.
03:05
It had been growingkukua
at fivetano percentasilimia perkwa kila annumannum
53
173200
2936
Ilikuwa inakua kwa kiwango
cha asilimia 5 kwa mwaka
03:08
for the last one and a halfnusu decadesmiongo,
54
176160
1936
kwa muongo mmoja na nusu uliopita
03:10
but this year'sya mwaka forecastutabiri
was threetatu percentasilimia. Why?
55
178120
2776
lakini utabiri wa mwaka huu
ulikuwa asilimia tatu. Kwanini?
03:12
In an uncertainuhakika globalkimataifa environmentmazingira,
commoditybidhaa pricesbei have fallenimeanguka.
56
180920
4176
kwa mazingira ya ulimwengu yanavyobadilika
bei za bidhaa zimeshuka.
03:17
ManyWengi of the economiesuchumi
are still commoditybidhaa driveninaendeshwa,
57
185120
3176
Uchumi wa nchi nyingi
bado unaendeshwa na bidhaa,
03:20
and thereforekwa hiyo theirwao
performanceutendaji has slippedslipped.
58
188320
2560
na hivyo utendaji wake
umeteleza
03:23
And now the issuesuala of BrexitBrexit
doesn't make it any easierrahisi.
59
191480
3976
Na sasa suala la kujitoa kwa Uingereza
haifanyi iwe rahisi
03:27
I never knewalijua that the BrexitBrexit could happenkutokea
60
195480
3616
Sikujua kama Uingereza ingejitoa
03:31
and that it could be one of the things
that would causekusababisha globalkimataifa uncertaintykutokuwa na uhakika
61
199120
4136
na hilo lingekuwa moja ya vitu ambavyo
vingeleta kutokuwa na uhakika ulimwenguni
03:35
suchvile as we have.
62
203280
1296
kama tulivyo.
03:36
So now we'vetumekuwa got this situationhali,
63
204600
2176
Hivyo sasa tuna hii hali
03:38
and I think it's time to take stockhisa
64
206800
2856
na ninafikiri ni wakati wakuangalia
03:41
and to say what were the things
that the AfricanAfrika countriesnchi did right?
65
209680
4856
na kusema ni vitu gani ambavyo
nchi za Afrika zilifanya sahihi?
03:46
What did they do wrongsi sawa?
66
214560
1640
Kipi walikosea?
03:48
How do we buildjenga on all of this
and learnkujifunza lessonsmasomo
67
216840
2456
Tutajengaje kwenye haya yote
na kujifunza
03:51
so that we can keep AfricaAfrika risingkupanda?
68
219320
2800
ili kwamba tuendeleze Afrika inayokua?
03:54
So let me talk about sixsita things
that I think we did right.
69
222720
3360
Hivyo ngoja niongelee kuhusu mambo sita
ninayofikiri tulifanya sahihi.
03:58
The first is managingkusimamia
our economiesuchumi better.
70
226720
3296
La kwanza ni kusimamia
uchumi wa nchi zetu vizuri
04:02
The '80s and '90s were the lostpotea decadesmiongo,
when AfricaAfrika was not doing well,
71
230040
4256
Miaka ya 80 na 90 ni miongo iliyopotea,
wakati Afrika haikuwa ikifanya vizuri,
04:06
and some of you will rememberkumbuka
an "EconomistMchumi" coverfunika
72
234320
3616
na baadhi yenu mtakumbuka ukurasa
wa mbele wa gazeti la "Economist"
04:09
that said, "The LostWaliopotea ContinentBara."
73
237960
2016
lililosema, "Bara lililopotea"
04:12
But in the 2000s, policymakerswatunga sera learnedkujifunza
74
240000
4096
Ila miaka ya 2000 watunga sera walijifunza
04:16
that they neededinahitajika to managekusimamia
the macroeconomicuchumi environmentmazingira better,
75
244120
4256
kwamba wanahitaji kusimamia
mazingira ya uchumi vizuri zaidi,
04:20
to ensurekuhakikisha stabilityutulivu,
76
248400
1536
kuhakikisha uthabiti,
04:21
keep inflationmfumuko wa bei lowchini in singlemoja digitsdijiti,
77
249960
2616
kushusha mfumuko wa bei kufika
tarakimu moja,
04:24
keep theirwao fiscalfedha deficitsdeficits lowchini,
belowchini threetatu percentasilimia of GDPPATO LA TAIFA,
78
252600
5576
kushusha nakisi ya bajeti, chini ya
asilimia tatu ya Pato la Taifa,
04:30
give investorswawekezaji, bothwote wawili domesticndani and foreignkigeni,
79
258200
3896
wape wawekezaji, wote wa ndani na wageni,
04:34
some stabilityutulivu so they'llwatakuja have confidencekujiamini
to investwekeza in these economiesuchumi.
80
262120
3816
aina ya uthabiti ili wawe na imani ya
kuwekeza kwenye chumi hizi.
04:37
So that was numbernambari one.
81
265960
1496
Hivyo hiyo ilikuwa namba moja.
04:39
Two, debtdeni.
82
267480
1336
Mbili, deni.
04:40
In 1994, the debt-to-GDPmadeni ya GDP ratiouwiano
of AfricanAfrika countriesnchi was 130 percentasilimia,
83
268840
5696
Mwaka 1994, urari wa deni la Pato la taifa
wa nchi za Kiafrila ulikuwa asilimia 130,
04:46
and they didn't have fiscalfedha spacenafasi.
84
274560
2256
na hawakuwa na nafasi ya fedha nakisi
04:48
They couldn'thaikuweza use theirwao resourcesrasilimali
to investwekeza in theirwao developmentmaendeleo
85
276840
3016
Hawakuweza kutumia rasilimali zao
kuwekeza kwenye maendeleo yao
04:51
because they were payingkulipa debtdeni.
86
279880
1456
kwakuwa walikuwa wanalipa deni
04:53
There mayinaweza be some of you in this roomchumba
who workedkazi to supportmsaada AfricanAfrika countriesnchi
87
281360
4736
kwaweza kuwa na baadhi yenu humu ndani
mliofanyakazi kusaidia nchi za Afrika
04:58
to get debtdeni reliefmisaada.
88
286120
1296
kupata unafuu wa madeni.
04:59
So privatePrivat creditorswadai, multilateralsmultilaterals
and bilateralsbilaterals camealikuja togetherpamoja
89
287440
4456
Hivyo wadai binafsi, wa pande mbalimbali
na pande mbili waliunganika
05:03
and decidedaliamua to do the HighlySana IndebtedDeni
PoorMaskini CountriesNchi InitiativeMpango
90
291920
3616
na kuamua kuanzisha mpango wa
Nchi Fukara zenye Mzigo wa madeni
05:07
and give debtdeni reliefmisaada.
91
295560
1256
na kutoa unafuu wa madeni.
05:08
So this debtdeni reliefmisaada in 2005
92
296840
2096
Hivyo unafuu huu wa madeni mwaka 2005
05:10
madealifanya the debt-to-GDPmadeni ya GDP ratiouwiano
fallkuanguka down to about 30 percentasilimia,
93
298960
3936
ulifanya urari wa deni kwa Pato la taifa
kushuka hadi takriban asilimia 30,
05:14
and there was enoughkutosha resourcesrasilimali
to try and reinvestkuwekeza.
94
302920
3896
na kulikuwa na rasilimali za kutosha
kujaribu na kuwekeza upya.
05:18
The thirdtatu thing was
loss-makinghasara maamuzi enterprisesmakampuni.
95
306840
2456
Kitu cha tatu kilikuwa
makampuni yaliyopata hasara
05:21
GovernmentsSerikali were involvedhusika in businessbiashara
96
309320
2056
Serikali zilishiriki katika biashara
05:23
whichambayo they had no businessbiashara beingkuwa in.
97
311400
2256
ambazo hawakupaswa kuzifanya.
05:25
And they were runningKimbia businessesbiashara,
they were makingkufanya losseshasara.
98
313680
3096
Na walikuwa wanaendesha biashara,
walikuwa wanapata hasara.
05:28
So some of these enterprisesmakampuni
were restructuredmarekebisho,
99
316800
2736
Hivyo baadhi ya makampuni haya
yaliundwa upya,
05:31
commercializedkibiashara, privatizedyaliyobinafsishwa or closedimefungwa,
100
319560
2416
kuwa kibiashara,kubinafsishwa au kufungwa,
05:34
and they becameikawa
lesschini of a burdenmzigo on governmentserikali.
101
322000
3200
na kupunguza mzigo mkubwa
kwa serikali.
05:38
The fourthnne thing
was a very interestingkuvutia thing.
102
326080
2400
Kitu cha nne kilikuwa
kitu cha kuvutia sana
05:41
The telecomstelecoms revolutionmapinduzi camealikuja,
103
329200
2296
Mapinduzi ya makampuni ya simu yakaja,
05:43
and AfricanAfrika countriesnchi jumpedakaruka on it.
104
331520
2576
na nchi za Kiafrika zikarukia.
05:46
In 2000, we had 11 millionmilioni phonesimu linesmistari.
105
334120
2616
Mwaka 2000, laini za simu zilikuwa
milioni 11
05:48
TodayLeo, we have about 687 millionmilioni
mobilerununu linesmistari on the continentbara.
106
336760
5336
Leo, tuna takriban laini milioni 687
za simu za mkononi barani.
05:54
And this has enabledimewezeshwa us
107
342120
1816
Na hi imetuwezesha
05:55
to go, movehoja forwardmbele
with some mobilerununu technologyteknolojia
108
343960
2656
kwenda na kusonga mbele
na teknolojia ya simu za mkononi
05:58
where AfricaAfrika is actuallykwa kweli leadingkuongoza.
109
346640
2616
ambapo Afrika hakika inaongoza.
06:01
In KenyaKenya, the developmentmaendeleo
of mobilerununu moneyfedha --
110
349280
2536
Nchini Kenya, maendeleo ya kutuma
fedha kwa simu
06:03
M-PesaM-Pesa, whichambayo all of you
have heardkusikia about --
111
351840
2776
M-Pesa, ambayo nyote
mmesikia habari zake--
06:06
it tookalichukua some time for the worldulimwengu
to noticetazama that AfricaAfrika was aheadmbele
112
354640
3456
ilichukua muda kwa dunia
kuona kwamba Afrika ipo mbele
06:10
in this particularhasa technologyteknolojia.
113
358120
1536
katika hii teknolojia.
06:11
And this mobilerununu moneyfedha
is alsopia providingkutoa a platformjukwaa
114
359680
3216
na hii kutuma pesa kwa simu za mkononi
pia inatoa jukwaa
06:14
for accessupatikanaji to alternativembadala energynishati.
115
362920
2456
kwa upatikanaji wa nishati mbadala
06:17
You know, people who can now paykulipa for solarjua
116
365400
3496
Unajua, watu wanaoweza sasa kulipia sola
06:20
the samesawa way they paykulipa
for cardskadi for theirwao telephonesimu.
117
368920
4216
kwa njia wanayotumia kulipia
kwa kadi kwenye simu zao.
06:25
So this was a very good developmentmaendeleo,
something that wentakaenda right.
118
373160
4520
Hivyo haya yalikuwa maendeleo mazuri sana
kitu ambacho kilikwenda sahihi.
06:30
We alsopia investedimewekeza more
in educationelimu and healthafya, not enoughkutosha,
119
378240
4496
Tuliwekeza zaidi kwenye elimu
na afya, isivyo vyakutosha,
06:34
but there were some improvementsmaboresho.
120
382760
1656
lakini kulikuwa na maboresho.
06:36
250 millionmilioni childrenwatoto were immunizedimmunized
in the last one and a halfnusu decadesmiongo.
121
384440
5520
Watoto milioni 25 walipata chanjo
katika muogo mmoja nanusu uliopita.
06:42
The other thing was
that conflictsmigogoro decreasedilipungua.
122
390520
3376
Kitu kingine ilikuwa
kwamba migogoro ilipungua.
06:45
There were manywengi conflictsmigogoro
on the continentbara.
123
393920
2056
Kulikuwa na migogoro mingi
barani.
06:48
ManyWengi of you are awarekufahamu of that.
124
396000
1456
Wengi wenu mnafahamu hilo.
06:49
But they camealikuja down, and our leadersviongozi
even managedimeweza to dampenkufisha moyo some coupsMapinduzi.
125
397480
4816
Lakini ilipungua, na viongozi wetu
waliweza hata kufifiza mapinduzi.
06:54
NewMpya typesaina of conflictsmigogoro have emergediliibuka,
and I'll referrejea to those laterbaadae.
126
402320
4056
Aina mpya ya migogoro imeibuka,
na nitaielezea hiyo baadaye.
06:58
So basedmsingi on all this, there's alsopia
some differentiationtofauti on the continentbara
127
406400
3616
Hivyo kutokana na yote haya, pia
kuna baadhi ya utofautishaji barani
07:02
that I want you to know about,
128
410040
1456
ambao nataka muufahamu,
07:03
because even as
the doomadhabu and gloomutusitusi is here,
129
411520
2496
kwasababu pamoja na kuwa
07:06
there are some countriesnchi --
tete d'IvoireCoast, KenyaKenya, EthiopiaEthiopia,
130
414040
3976
kuna baadhi ya nchi--
Cote d'Ivoire, Kenya, Ethiopia
07:10
TanzaniaTanzania and SenegalSenegal are performingkufanya
relativelykiasi well at the momentwakati.
131
418040
4280
Tanzania na Senegal
zinafanya vizuri kwa sasa
07:15
But what did we do wrongsi sawa?
132
423120
2136
Lakini tulikosea wapi?
07:17
Let me mentionkutaja eightnane things.
133
425280
1376
Ngoja nitaje mambo nane.
07:18
You have to have
more things wrongsi sawa than right.
134
426680
2176
Unapaswa kuwa umekosea zaidi
kuliko kupatia.
07:20
(LaughterKicheko)
135
428880
1456
(Kicheko)
07:22
So there are eightnane things we did wrongsi sawa.
136
430360
2376
Hivyo kuna mambo nane tulikosea.
07:24
The first was that even thoughingawa we grewilikua,
we didn't createkuunda enoughkutosha jobskazi.
137
432760
3520
La kwanza ilikuwa pamoja na kukua
hatukutengeneza ajira za kutosha.
07:28
We didn't createkuunda jobskazi for our youthvijana.
138
436800
1896
Hatukutengeneza ajira kwa vijana wetu.
07:30
YouthVijana unemploymentukosefu wa ajira on the continentbara
is about 15 percentasilimia,
139
438720
2936
Ukosefu wa ajira kwa vijana barani
ni karibia asilimia 15,
07:33
and underemploymentna hivyo is a seriousmbaya problemtatizo.
140
441680
3040
na upungufu wa ajira ni tatizo kubwa.
07:37
The secondpili thing that we did is that
the qualityubora of growthukuaji was not good enoughkutosha.
141
445400
5536
Jambo la pili tulichofanya ni kuwa kiwango
cha ukuaji hakikuwa kizuri vyakutosha
07:42
Even those jobskazi we createdimeundwa
were low-productivityuzalishaji wa chini jobskazi,
142
450960
3536
Hata ajira zilizoundwa
zilikuwa ni ajira zenye tija ndogo sana,
07:46
so we movedwakiongozwa people
from low-productivityuzalishaji wa chini agriculturekilimo
143
454520
3496
hivyo tulihamisha watu
kutoka kilimo duni kisicho na tija
07:50
to low-productivityuzalishaji wa chini commercebiashara
and workingkufanya kazi in the informalisiyo rasmi sectorsekta
144
458040
3936
kwenda biashara zisizo na tija
na kufanyia kazi sekta isiyo rasmi
07:54
in the urbanmijini areasmaeneo.
145
462000
1720
katika maeneo ya mijini.
07:56
The thirdtatu thing
is that inequalitykutofautiana increasedimeongezeka.
146
464240
3800
Jambo la tatu ni kwamba
kukosekana kwa usawa kuliongezeka.
08:00
So we createdimeundwa more billionairesmabilionea.
147
468600
4976
Hivyo tuliunda mabilionea zaidi.
08:05
50 billionairesmabilionea worththamani 96 billionbilioni dollarsdola
148
473600
2696
mabilionea 50 wenye thamani ya dola
bilioni 96
08:08
ownmwenyewe more wealthutajiri than the bottomchini
75 millionmilioni people on the continentbara.
149
476320
4840
wanamiliki utajiri zaidi kuliko watu
milioni 75 wa chini barani.
08:13
PovertyUmaskini,
150
481920
1576
Umaskini,
08:15
the proportionuwiano of people in povertyumasikini --
that's the fourthnne thing -- did decreasekupungua,
151
483520
4376
uwiano wa watu katika umaskini--
hilo ni jambo la nne--ulipungua
08:19
but the absolutekabisa numbersnambari did not
because of populationidadi ya watu growthukuaji.
152
487920
4096
lakini namba halisi hazikupungua
kwasababu ya ongezeko la idadi ya watu.
08:24
And populationidadi ya watu growthukuaji is something
153
492040
2576
Na ongezeko la idadi ya watu ni jambo
08:26
that we don't have enoughkutosha
of a dialoguemajadiliano about on the continentbara.
154
494640
3416
ambalo hatujafanyia
mazungumzo ya kutosha barani.
08:30
And I think we will need
to get a handlekushughulikia on it,
155
498080
3136
Na ninafikiri tutahitaji
kulielewa na kulifanyia kazi
08:33
particularlyhasa how we educatekuelimisha girlswasichana.
156
501240
3256
haswa jinsi ya kuelimisha wasichana.
08:36
That is the roadbarabara to really workingkufanya kazi
on this particularhasa issuesuala.
157
504520
4640
Hiyo ndio njia haswa kufanyia kazi
hasusan kwenye suala hili.
08:41
The fifthtano thing is that we didn't investwekeza
enoughkutosha in infrastructuremiundombinu.
158
509880
6816
Jambo la tano ni kwamba hatukuwekeza
vya kutosha kwenye miundombinu.
08:48
We had investmentuwekezaji from the ChineseKichina.
159
516720
2096
Tulikuwa na uwekezaji kutoka kwa Wachina.
08:50
That helpedimesaidia some countriesnchi,
but it's not enoughkutosha.
160
518840
3216
Ambao ulisaidia baadhi ya nchi,
lakini haitoshi.
08:54
The consumptionmatumizi of electricityumeme
in AfricaAfrika on the continentbara
161
522080
3336
Utumiaji wa umeme
barani Afrika
08:57
in Sub-SaharanSahara AfricaAfrika
is equivalentsawa to SpainUhispania.
162
525440
3576
Kusini mwa jangwa la Sahara Afrika
ni sawasawa na Hispania.
09:01
The totaljumla consumptionmatumizi
is equivalentsawa to that of SpainUhispania.
163
529040
3456
Utumiaji kwa ujumla
ni sawasawa na ule wa Hispania
09:04
So manywengi people are livingwanaishi in the darkgiza,
164
532520
2656
Hivyo watu wengi wanaishi gizani,
09:07
and as the PresidentRais of the AfricanAfrika
DevelopmentMaendeleo BankBenki said recentlyhivi karibuni,
165
535200
3576
na kama Rais wa Benki ya Maendeleo
Afrika alivyosema hivi karibuni,
09:10
AfricaAfrika cannothaiwezi developkuendeleza in the darkgiza.
166
538800
2280
Afrika haiwezi kuendelea gizani.
09:14
The other thing we have not donekufanyika
167
542120
2136
Kitu kingine ambacho hatujafanya
09:16
is that our economiesuchumi
retainkuhifadhi the samesawa structuremuundo
168
544280
5416
ni kwamba chumi zetu
zimeshikilia muundo uliofanana
09:21
that we'vetumekuwa had for decadesmiongo.
169
549720
1616
ambao tumekuwa nao kwa miongo.
09:23
So even thoughingawa we'vetumekuwa been growingkukua,
170
551360
1656
Hivyo pamoja na kwamba tumekua
09:25
the structuremuundo of the economiesuchumi
has not changediliyopita very much.
171
553040
2696
muundo wa chumi zetu
haujabadilika kwa kiasi kikubwa.
09:27
We are still exportingkuhamisha commoditiesbidhaa,
172
555760
2576
Bado tunauza bidhaa nchi za nje
09:30
and exportingkuhamisha commoditiesbidhaa is what?
It's exportingkuhamisha jobskazi.
173
558360
3856
na kuuza bidhaa nchi za nje ni nini?
kuuza ajira nchi za nje.
09:34
Our manufacturingviwanda value-addedmaeneo
is only 11 percentasilimia.
174
562240
3296
Ongezeko la thamani ya uzalishaji wetu
ni asilimia 11 tu
09:37
We are not creatingkujenga enoughkutosha
decentheshima manufacturingviwanda jobskazi for our youthvijana,
175
565560
4536
Hatuundi ajira za kutosha kwenye
uzalishaji kwa vijana wetu,
09:42
and tradebiashara amongmiongoni mwa ourselvessisi wenyewe is lowchini.
176
570120
2616
na biashara kati yetu ni kidogo.
09:44
Only about 12 percentasilimia of our tradebiashara
is amongmiongoni mwa ourselvessisi wenyewe.
177
572760
3496
Takriban asilimi 12 tu ya biashara
kati yetu sisi wenyewe
09:48
So that's anothermwingine seriousmbaya problemtatizo.
178
576280
2696
Hivyo hilo ni tatizo lingine zito sana.
09:51
Then governanceutawala.
179
579000
2096
Kisha utawala bora.
09:53
GovernanceUtawala is a seriousmbaya issuesuala.
180
581120
2416
Utawala bora ni suala zito.
09:55
We have weakdhaifu institutionstaasisi,
181
583560
2216
Tuna taasisi dhaifu,
09:57
and sometimesmara nyingine nonexistentwatatoweka institutionstaasisi,
and I think this givesanatoa way for corruptionrushwa.
182
585800
5016
na wakati mwingine taasisi hewa,
ninafikiri hii inaleta mwanya wa rushwa.
10:02
CorruptionRushwa is an issuesuala that we have not
yetbado gottenimepata a good enoughkutosha handlekushughulikia on,
183
590840
5216
Rushwa ni suala ambalo bado
hatujalimudu kiasi cha kutosha,
10:08
and we have to fightkupigana toothjino and nailmsumari,
184
596080
2616
na tunatakuwa kupambana kufa na kupona,
10:10
that and increasedimeongezeka transparencyuwazi
in the way we managekusimamia our economiesuchumi
185
598720
3576
hiyo na ongezeko la uwazi katika
jinsi tunavyosimamia chumi zetu
10:14
and the way we managekusimamia our financesfedha.
186
602320
2456
na jinsi tunavyosimamia fedha zetu.
10:16
We alsopia need to be warytahadhari of newmpya conflictsmigogoro,
187
604800
4736
Tunahitaji pia kujihadhari na migogoro
mipya,
10:21
newmpya typesaina of conflictsmigogoro,
188
609560
1936
aina mpya ya migogoro,
10:23
suchvile as we have with BokoBoko HaramHaram
in my countrynchi, NigeriaNigeria,
189
611520
3216
kama tuliyonayo na Boko Haram
katika nchi yangu, Nigeria,
10:26
and with Al-ShabaabAl-Shabaab in KenyaKenya.
190
614760
2056
Na Al-Shabaab nchini Kenya.
10:28
We need to partnermpenzi
with internationalkimataifa partnerswashirika,
191
616840
3336
Tunahitaji kushirikiana na
washiriki wa kimataifa,
10:32
developedmaendeleo countriesnchi,
to fightkupigana this togetherpamoja.
192
620200
2856
nchi zilizoendelea,
kupambana juu ya hili pamoja.
10:35
OtherwiseVinginevyo, we createkuunda a newmpya realityukweli
193
623080
1896
Ama sivyo, tunaunda ukweli mpya
10:37
whichambayo is not the typeaina
we want for a risingkupanda AfricaAfrika.
194
625000
3256
ambao sio aina tunayotaka
kwa Afrika inayokua.
10:40
And finallyhatimaye, the issuesuala of educationelimu.
195
628280
3536
Na mwisho, ni suala la elimu.
10:43
Our educationelimu systemsmifumo
in manywengi countriesnchi are brokenkuvunjwa.
196
631840
3296
Mifumo yetu ya elimu
katika nchi nyingi imevunjika.
10:47
We are not creatingkujenga the typesaina of skillsujuzi
neededinahitajika for the futurebaadaye.
197
635160
4536
Hatuundi aina ya stadi
zinazohitajika kwa siku za usoni
10:51
So we have to find a way
to educatekuelimisha better.
198
639720
2640
Hivyo tunatakiwa tutafute njia
ya kutoa elimu kwa ubora.
10:54
So those are the things
that we are not doing right.
199
642920
2720
Hivyo hayo ni mambo ambayo
hatufanyi kwa usahihi.
10:58
Now, where do we go from there?
200
646240
2400
Sasa, tunaenda wapi kutokea hapo?
11:01
I believe that the way forwardmbele
is to learnkujifunza to managekusimamia successmafanikio.
201
649240
4696
Ninaamini njia ya kusongambele
ni kujifunza kusimamia mafanikio.
11:05
Very oftenmara nyingi, when people succeedkufanikiwa
or countriesnchi succeedkufanikiwa,
202
653960
3736
Mara nyingi, watu wanapofanikiwa
au nchi zinapofanikiwa
11:09
they forgetkusahau what madealifanya them succeedkufanikiwa.
203
657720
2200
husahau kullichowafanya wafanikiwe.
11:12
LearningKujifunza what you're successfulimefanikiwa at,
204
660680
2536
Kujifunza kile unachoweza kufanikiwa,
11:15
managingkusimamia it and keepingkuweka it
is vitalmuhimu for us.
205
663240
2416
kukisimamia na kukitunza
ni jambo muhimu kwetu.
11:17
So all those things I said we did right,
206
665680
2216
Hivyo vitu vyote nilivyosema
tulifanya sahihi,
11:19
we have to learnkujifunza to do it right again,
keep doing it right.
207
667920
3896
tunatakiwa kujifunza kuvifanya kwa usahihi
tena, na kuviendeleza.
11:23
ManagingKusimamia the economyuchumi well,
creatingkujenga stabilityutulivu is vitalmuhimu,
208
671840
3576
Kusimamia uchumi wakati
unaunda ustawi ni muhimu,
11:27
gettingkupata pricesbei right,
and policysera consistencymsimamo.
209
675440
3496
kupata bei sahihi
na sera thabiti.
11:30
Very oftenmara nyingi, we are not consistentthabiti.
210
678960
2376
Mara nyingi hatuna uthabiti
11:33
One regimeutawala goeshuenda out, anothermwingine comesinakuja in
211
681360
2256
Mfumo wa utawala mmoja ukitoka
unaingia mwingine
11:35
and they throwkutupa away even the functioningkazi
policiessera that were there before.
212
683640
3456
na wanatupa mbali hata sera zilizokuwa
zinafanyakazi vizuri awali
11:39
What does this do?
213
687120
1256
Hii inafanya nini?
11:40
It createshujenga uncertaintykutokuwa na uhakika
for people, for householdskaya,
214
688400
2376
Inaleta sintofahamu kwa watu,
kaya
11:42
uncertaintiesyasiyofahamika for businessbiashara.
215
690800
1376
sintofahamu kwa biashara
11:44
They don't know whetherkama and how to investwekeza.
216
692200
2696
Hawajui jinsi na wakati wa kuwekeza.
11:46
DebtMadeni: we mustlazima managekusimamia
the successmafanikio we had in reducingkupunguza our debtdeni,
217
694920
4336
Deni: tunatakiwa tusimamie' mafanikio
tuliyopata katika kupunguza deni letu,
11:51
but now countriesnchi
are back to borrowingkukopa again,
218
699280
2536
lakini sasa nchi zimerudia
katika kukopa tena,
11:53
and we see our debt-to-GDPmadeni ya GDP ratiouwiano
beginningmwanzo to creephuenda up,
219
701840
3416
na tumeona urari wa deni kwa Pato la taifa
unaanza kupanda tena,
11:57
and in certainfulani countriesnchi,
220
705280
1456
na katika baadhi ya nchi,
11:58
debtdeni is becomingkuwa a problemtatizo,
so we have to avoidkuepuka that.
221
706760
2496
deni linakuwa ni tatizo,
hivyo tunatakiwa tuliepuke.
12:01
So managingkusimamia successmafanikio.
222
709280
1456
Hivyo usimamizi wa mafanikio
12:02
The nextijayo thing
is focusingkuzingatia with a laserlaser beamboriti
223
710760
2656
Kinachofuata
ni kuwa makini sana
12:05
on those things we did not do well.
224
713440
1856
na yale mambo ambayo
hatukufanya vizuri.
12:07
First and foremostmbele is infrastructuremiundombinu.
225
715320
1856
Kitu cha kwanza kabisa ni miundombinu
12:09
Yes, mostwengi countriesnchi now recognizekutambua
they have to investwekeza in this,
226
717200
3576
Ndio, nchi nyingi sasa zinatambua
zinahitaji kuwekeza kwenye hili,
12:12
and they are tryingkujaribu to do
the bestbora they can to do that.
227
720800
2616
na zinajaribu kufanya
kadiri ziwezavyo kufanya hivyo.
12:15
We mustlazima.
228
723440
1216
Lazima.
12:16
The mostwengi importantmuhimu thing is powernguvu.
229
724680
1656
Kitu muhimu sana ni umeme.
12:18
You cannothaiwezi developkuendeleza in the darkgiza.
230
726360
2256
Huwezi kuendelea katika giza.
12:20
And then governanceutawala and corruptionrushwa:
231
728640
2256
Na kisha utawala bora na rushwa:
12:22
we have to fightkupigana.
232
730920
1216
tunatakiwa tupambane.
12:24
We have to make our countriesnchi transparentuwazi.
233
732160
2776
Tunatakiwa kuendesha nchi zetu kwa uwazi.
12:26
And abovehapo juu all, we have to
engagekushiriki our youngvijana people.
234
734960
3576
Pamoja na yote hayo, lazima
tuwashirikishe vijana.
12:30
We have geniusfikra in our youngvijana people.
235
738560
2216
Tuna ubunifu katika vijana wetu
12:32
I see it everykila day.
236
740800
1256
Ninauona kila siku.
12:34
It's what makeshufanya me wakewake up
in the morningasubuhi and feel readytayari to go.
237
742080
3536
Ndio kinachoniamsha asubuhi
na kujisikia tayari kwenda.
12:37
We have to unleashunaongeza
the geniusfikra of our youngvijana people,
238
745640
2376
Tunatakiwa tusibanie ubunifu
katika vijana wetu,
12:40
get out of theirwao way,
supportmsaada them to createkuunda and innovateinnovation
239
748040
3256
tusiwazibie njia,
tuwaunge mkono kuunda na ugunduzi
12:43
and leadkuongoza the way.
240
751320
1216
na kuongoza njia.
12:44
And I know that they will leadkuongoza us
in the right directionmwelekeo.
241
752560
2696
Na ninajua kwamba watatuongoza
katika mwelekeo sahihi.
12:47
And our womenwanawake, and our girlswasichana:
242
755280
2176
Na wanawake wetu, na wasichana wetu:
12:49
we have to recognizekutambua
that girlswasichana and womenwanawake are a giftzawadi.
243
757480
3056
tunatakiwa tutambue kwamba
wanawake na wasichana ni zawadi.
12:52
They have strengthnguvu,
244
760560
1496
Wana nguvu,
12:54
and we have to unleashunaongeza that strengthnguvu
245
762080
2136
na tunatakiwa tusiwabanie hiyo nguvu
12:56
so that they can
contributekuchangia to the continentbara.
246
764240
2936
ili waweze kutoa mchango
wao barani.
12:59
I stronglykwa nguvu believe
that when we do all of these things,
247
767200
3816
Nina amini kwa nguvu
kwamba tukifanya hayo yote,
13:03
we find that the risingkupanda AfricaAfrika narrativemaelezo
248
771040
3216
tutakuta kwamba simulizi za Afrika
inayokua
13:06
is not a flukeFLUKE.
249
774280
1576
sio ubabaishaji.
13:07
It's a trendmwenendo.
250
775880
1240
ni harakati.
13:09
It's a trendmwenendo, and if we continueendelea,
if we unleashunaongeza our youthvijana,
251
777720
3816
Ni harakati, na tukiendelea,
tusipowabania vijana wetu,
13:13
if we unleashunaongeza our womenwanawake,
252
781560
1336
tusipowabania wanawake wetu,
13:14
we mayinaweza stephatua backwardsnyuma sometimesmara nyingine,
253
782920
2016
wakati mwingine tunaweza kurudi nyuma,
13:16
we mayinaweza even stephatua sidewayssideways,
254
784960
1896
tunaweza pia kukaa pembezoni,
13:18
but the trendmwenendo is clearwazi.
255
786880
1616
lakini harakati ziko wazi.
13:20
AfricaAfrika will continueendelea to risekupanda.
256
788520
2016
Afrika itaendelea kukua.
13:22
And I tell you businesspeoplewafanyabiashara
in the audiencewatazamaji,
257
790560
3736
Na ninawaambia wafanyabiashara
mliopo kwenye hadhira hii,
13:26
investmentuwekezaji in AfricaAfrika is not for todayleo,
is not for tomorrowkesho,
258
794320
3456
uwekezaji Afrika sio kwa ajili ya leo,
sio kwa ajili ya kesho,
13:29
it's not a short-termmuda mfupi thing,
it's a longertena termmuda thing.
259
797800
3256
sio kitu cha muda mfupi,
ni kitu cha muda mrefu.
13:33
But if you are not investedimewekeza in AfricaAfrika,
260
801080
2416
Lakini ikiwa hamtawekeza Afrika,
13:35
then you will be missinghaipo
261
803520
1416
basi mtakuwa mnakosa
13:36
one of the mostwengi importantmuhimu
emergingkujitokeza opportunitiesfursa in the worldulimwengu.
262
804960
4256
mojawapo ya fursa zinazoibuka
duniani.
13:41
Thank you.
263
809240
1216
Asante.
13:42
(ApplauseMakofi)
264
810480
2520
(Makofi)
13:51
KellyKelly StoetzelStoetzel: So you mentionedzilizotajwa
corruptionrushwa in your talk,
265
819227
2669
Kelly Stoetzel: Umegusia rushwa
katika mazungumzo yako
13:53
and you're knowninayojulikana, well-knownmaalumu
as a strongnguvu anticorruptionanticorruption fighterkipande kimoja.
266
821920
3496
na unafahamika vizuri
kuwa mpambanaji thabiti wa rushwa.
13:57
But that's had consequencesmatokeo.
267
825440
2536
Lakini hiyo ilikuwa na matokeo yake.
14:00
People have foughtwalipigana back,
and your mothermama was kidnappednyara.
268
828000
2936
Watu walijibu mashambulizi,
na mama yako alitekwa nyara.
14:02
How have you been handlingutunzaji this?
269
830960
1560
Umewezaje kulimudu hili?
14:05
NgoziNgozi Okonjo-IwealaOkonjo-Iweala:
It's been very difficultvigumu.
270
833280
2176
Ngozi Okonjo-Iweala:
Imekuwa ngumu sana.
14:07
Thank you for mentioningkutaja
the issuesuala of the kidnapkat of my mothermama.
271
835480
4336
Asante kwa kugusia
suala la kutekwa nyara mama yangu
14:11
It's a very difficultvigumu subjectsomo.
272
839840
2576
Ni mada ngumu sana.
14:14
But what it meansina maana
is that when you fightkupigana corruptionrushwa,
273
842440
3856
Lakini inachomaanisha
ni kwamba unapopambana na rushwa,
14:18
when you touchkugusa the pocketsmifuko
of people who are stealingkuiba moneyfedha,
274
846320
3416
unapogusa mifuko ya watu
wanaoiba pesa,
14:21
they don't just keep quietutulivu.
275
849760
1856
hawanyamazi kimya tu.
14:23
They fightkupigana back, and the issuesuala for you
is when they try to intimidatetishia you,
276
851640
3656
Watajibu mashambulizi, na suala kubwa
ni wanapojaribu kutumia vitisho
14:27
do you give up, or do you fightkupigana on?
277
855320
3456
unakata tamaa, au unaendeleza mapambano?
14:30
Do you find a way
to staykaa on and fightkupigana back?
278
858800
3136
Unatafuta njia ya kubakia
na kujibu mashambulizi?
14:33
And the answerjibu that I had
with the teamstimu I workedkazi with
279
861960
4256
Na jibu nililokuwa nalo
nikiwa na timu zilizofanya nazo kazi
14:38
is we have to fightkupigana on.
280
866240
1776
ni kuendeleza mapambano
14:40
We have to createkuunda those institutionstaasisi.
281
868040
1816
Tunatakiwa kuunda hizo taasisi.
14:41
We have to find waysnjia to stop these people
282
869880
3216
Tunatakiwa kutafuta njia ya kuwazuia
hawa watu
14:45
from takingkuchukua away
the heritageurithi of the futurebaadaye.
283
873120
3176
waache kuchukua urithi
wa baadaye.
14:48
And so that's what we did.
284
876320
1896
Na hicho ndicho tulichofanya.
14:50
And even out of governmentserikali,
we continuediliendelea to make that pointuhakika.
285
878240
3616
Na hata nje ya serikali,
tuliendelea kuweka msisitizo.
14:53
In our countriesnchi, nobodyhakuna,
nobodyhakuna is going to fightkupigana corruptionrushwa
286
881880
3976
Katika nchi zetu, hakuna,
hakuna atakaye pambana na rushwa
14:57
for us but us.
287
885880
1536
isipokuwa sisi wenyewe.
14:59
And thereforekwa hiyo,
that comesinakuja with consequencesmatokeo,
288
887440
2216
kwa hiyo,
hilo linakuja na matokeo,
15:01
and we just have to do the bestbora we can.
289
889680
1896
na tunatakiwa kufanya kadiri tuwezavyo.
15:03
But I thank you and thank TEDTED
for givingkutoa us a voicesauti
290
891600
3416
Lakini nakushukuru na kuwashukuru TED
kutupa sauti
15:07
to say to those people, you will not winkushinda,
291
895040
3296
kuwaambia hao watu, hamtashinda,
15:10
and we will not be intimidatedkutishwa.
292
898360
2336
na hatutatishika
15:12
Thank you.
293
900720
1216
Asante.
15:13
(ApplauseMakofi)
294
901960
1216
(Makofi)
15:15
KellyKelly StoetzelStoetzel: Thank you so much
for your great talk and importantmuhimu work.
295
903200
3466
Kelly Stoetzel: Asante sana
kwa mazungumzo yako mazuri na kazi muhimu.
15:18
(ApplauseMakofi)
296
906690
3370
(Makofi)
Translated by Leah Ligate
Reviewed by Joachim Mangilima

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Ngozi Okonjo-Iweala - Economist
Ngozi Okonjo-Iweala is a respected global economist.

Why you should listen

Okonjo-Iweala was the Finance Minister of Nigeria, Africa’s largest economy, from 2003 to 2006, and then briefly the country’s Foreign Affairs Minister, the first woman to hold either position. From 2011 to 2015 she was again named Minister of Finance and Coordinating Minister for the Economy of Nigeria. Between those terms, from 2007 to 2011, she was one of the managing director of the World Bank and a candidate to the organization’s presidency. She is now a senior advisor at financial advisory and asset management firm Lazard, and she chairs the Board of the Global Alliance for Vaccines and Immunization. At the World Bank, she worked for change in Africa and assistance for low-income countries. As Finance Minister, she attacked corruption to make Nigeria more transparent and desirable for investment and jobs, an activism that attracted criticism from circles opposed to reform.

More profile about the speaker
Ngozi Okonjo-Iweala | Speaker | TED.com