ABOUT THE SPEAKER
Ruby Sales - Activist, scholar, educator
Ruby Sales has preached around the country on race, class, gender and reconciliation.

Why you should listen

Ruby Sales is the founder and director of the Spirit House Project. She joined the Student Nonviolent Coordinating Committee (SNCC) in the 1960s as a teenager at Tuskegee University and went to work as a student freedom fighter in Lowndes County, Alabama. She is one of 50 African Americans to be spotlighted in the new Smithsonian National Museum of African American History and Culture in Washington, DC.

A deeply committed social activist, scholar, administrator, manager, public theologian and educator in the areas of civil, gender and other human rights, Sales has preached around the country on race, class, gender and reconciliation. She has done groundbreaking work on community and nonviolence formation, and also serves as a national convener of the Every Church A Peace Church Movement. Throughout her career, Sales has mentored young people and provided support and venues for an intergenerational community of developing and seasoned social justice performing and creative artists. She has a deep commitment to providing the education, practical experiences, and frame of references to contest racism and add their voices to the public conversations on the many streams of oppression that emerge from them.

More profile about the speaker
Ruby Sales | Speaker | TED.com
TED Salon Verizon

Ruby Sales: How we can start to heal the pain of racial division

Ruby Sales: Tunaanzaje kutibu maumivu ya mgawanyiko wa kitaifa

Filmed:
1,666,064 views

"Wapi panauma?" Ni swali ambalo mawanaharakati na mkalimu Ruby Sales alisafiri Marekani akiuliza, akiangalia kwa kina kwenye urithi wa nchi wa ubaguzi wa rangi na kutafuta vyanzo vya matibabu. Kwenye haya maongezi ya kuhamasisha, anashirikisha alichojifunza, akitafakari kwenye mda wake kama mpigania uhuru kwenye maandamano ya haki za kiraia na kutoa mawazo mapya kwenye njia ya haki za kitaifa.
- Activist, scholar, educator
Ruby Sales has preached around the country on race, class, gender and reconciliation. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:13
I want to sharekushiriki with you
0
1240
2120
Nataka niwashirikishe
00:17
a momentwakati in my life
1
5200
1840
kipindi cha maisha yangu
00:20
when the hurtkuumiza and woundsmajeraha of racismubaguzi wa rangi
2
8600
4200
ambapo maumivu na majeraha ya ubaguzi
wa rangi
00:25
were bothwote wawili deadlymauti and paralyzingparalyzing for me.
3
13920
4400
yalikua yanaua na yanapoozesha kwangu.
00:32
And I think what I've learnedkujifunza
4
20240
1960
Na nafikiri nilichojifunza
00:35
can be a sourcechanzo of healingkuponya for all of us.
5
23160
4240
kinaweza kua chanzo cha uponyaji kwetu
sote.
00:41
When I was 17 yearsmiaka oldzamani,
6
29320
4840
Nilipokua na miaka 17,
00:47
I was a collegechuo studentmwanafunzi
at TuskegeeTuskegee UniversityChuo Kikuu cha,
7
35920
4800
nilikua mwanafunzi wa chuo cha
Tuskegee,
00:54
and I was a workermfanyakazi
in the SouthernKusini freedomuhuru movementmwendo,
8
42520
4896
na nilikua mfanyakazi
wa harakati ya Uhuru wa Kusini,
00:59
whichambayo we call the CivilAsasi za kijamii RightsHaki za MovementHarakati.
9
47440
2640
ambao tunaita Harakati ya Haki za Kiraia.
01:05
DuringWakati this time,
10
53720
1640
Kwenye kipindi hiki,
01:08
I metalikutana anothermwingine youngvijana 26-year-oldmwenye umri wa miaka,
11
56840
5136
nilikutana na kijana mwingine wa miaka 26,
01:14
whitenyeupe seminarySeminari and collegechuo studentmwanafunzi
12
62000
3016
mweupe wa seminari na mwanafunzi wa chuo
01:17
namedjina lake JonathanYonathani DanielsDaniels,
from CambridgeCambridge, MassachusettsMassachusetts.
13
65040
4360
aitwae Jonathan Daniels,
kutoka Cambridge, Massachusetts.
01:22
He and I
14
70160
1240
Yeye na mimi
01:24
were bothwote wawili partsehemu of a generationkizazi
of idealisticidealistic youngvijana people,
15
72600
5520
tulikua wote sehemu ya kizazi
cha vijana wenye mitazamo,
01:31
whoseambaye life has been ignitedignited
16
79640
3456
ambao maisha yao yamemulikiwa
01:35
by the freedomuhuru firemoto
17
83120
2456
na moto wa uhuru
01:37
that ordinarykawaida blacknyeusi people
were spreadingkueneza around the nationtaifa
18
85600
4976
ambao watu weusi wa kawaida
walikua wakisambaa nchini
01:42
and throughoutkote the SouthKusini.
19
90600
1880
na kupitia Kusini.
01:46
We had come to LowndesLowndes CountyKaunti
20
94400
2560
Tulikuja Jimbo la Lowndes
01:50
to work in the movementmwendo.
21
98120
2120
kufanya kazi kwenye harakati.
01:53
And it was a nonviolentnonviolent movementmwendo
22
101160
3296
Na ilikua harakati isiyo na fujo
01:56
to redeemkuwakomboa the soulsroho of AmericaAmerika.
23
104480
2720
kukomboa nafsi ya Marekani.
02:00
We believe that everyonekila mtu,
24
108800
3616
Tuliamini kua kila mtu,
02:04
bothwote wawili blacknyeusi and whitenyeupe,
25
112440
2536
wote weusi kwa weupe,
02:07
people in the SouthKusini,
26
115000
1840
watu wa Kusini,
02:09
could find a redemptiveukombozi pathwaynjia
27
117920
2440
wanaweza kupata njia ya ukombozi
02:13
out of the strangleholdnguvu kubwa of racismubaguzi wa rangi
28
121400
3296
toka kwenye ukandamizi wa ubaguzi
02:16
that had grippedumeandama them
for more than 400 yearsmiaka.
29
124720
3680
ambao ulikua umewakamata
kwa zaidi ya miaka 400.
02:24
And on a hotmoto, summermajira ya joto day in AugustAgosti,
30
132920
3800
Na kwenye siku yenye joto ya Agosti,
02:29
JonathanYonathani and I joinedalijiunga a demonstrationmaonyesho
31
137720
4016
Jonathan na mimi tuliunga maandamano
02:33
of localmitaa youngvijana blacknyeusi people,
32
141760
2736
ya vijana weusi wa mtaani,
02:36
who were protestingkupinga the exploitationunyonyaji
33
144520
3560
waliokua wakilalamikia dhuluma
02:40
[of] blacknyeusi sharecropperssharecroppers
34
148960
4896
[za] wagawanya mavuno weusi
02:45
by richtajiri landardhi holderswamiliki
who cheatedalidanganywa them out of theirwao moneyfedha.
35
153880
5160
na matajiri wa ardhi
ambao waliwalaghai hela zao.
02:54
We decidedaliamua to demonstratekuonyesha alongsidesambamba na them.
36
162920
4200
Tuliamua kuandamana pamoja nao.
02:59
And on the morningasubuhi that we showedilionyesha up
for the demonstrationmaonyesho,
37
167920
3320
Na asubuhi ambayo tulijitokeza
kwa ajili ya maandamano,
03:04
we were metalikutana with a mobgenge
of howlingambao whitenyeupe menwatu
38
172560
4736
tulikutana na kundi la wanaume weupe
wakipiga kelele
03:09
with baseballbaseball batspopo, shotgunsshotguns
39
177320
4120
na bao za mpira, bunduki
03:15
and any weaponsilaha that you could imaginefikiria.
40
183320
2600
na silaha yeyote unayoweza kuwaza.
03:18
And they were threateningkutishia to killkuua us.
41
186760
2560
Na walikua wanatutishia kutuua.
03:22
And the sheriffSheriff,
seeingkuona the dangerhatari that we facedwanakabiliwa,
42
190200
5400
Na polisi,
akiona hatari tuliyonayo,
03:28
arrestedwalikamatwa us and put us on a garbagetakataka trucklori
43
196560
5216
alitukamata na kutuweka kwenye gari
la taka
03:33
and tookalichukua us to the localmitaa jailjela,
44
201800
2000
na kutupeleka kwenye jela ya mtaani,
03:37
where we were put in cellsseli
45
205520
3936
ambapo tuliwekwa kwenye vyumba
03:41
with the mostwengi inhumanekinyama
conditionshali you can imaginefikiria.
46
209480
4120
vyenye hali zisio za kibinaadamu
unazoweza kuwaza.
03:46
And we were threatenedkutishiwa by the jailersmtumishi aadhibiwe
47
214760
3960
Na tulitishiwa na wafungwa
03:51
with drinkingkunywa watermaji
that camealikuja from toiletsvyoo.
48
219880
4240
na maji ya kunywa
yaliyotoka chooni.
03:59
We were finallyhatimaye releasediliyotolewa on the sixthsita day,
49
227840
3240
Hatimae tuliachiwa siku ya sita,
04:05
withoutbila any knowledgeujuzi,
withoutbila any forewarningforewarning.
50
233800
3296
bila ujuzi wowote,
bila onyo lolote.
04:09
Just out of the clearwazi bluebluu skyanga,
51
237120
2776
Ilitokea tu,
04:11
we were madealifanya to leaveshika.
52
239920
1440
tulitolewa.
04:14
And we knewalijua that this
was a dangeroushatari signishara,
53
242840
3696
Na tulijua hii ilikua
ishara ya hatari,
04:18
because GoodmanGoodman, SchwernerSchwerner and ChaneyChaney
had alsopia been forcedkulazimishwa to leaveshika jailjela
54
246560
6376
kwa sababu Goodman, Schwermer na Chaney
walilazimishwa pia kutoka jela
04:24
and were murderedaliuawa because no one knewalijua
what had happenedkilichotokea to them.
55
252960
3520
na waliuwawa kwa sababu hakuna
aliejua kilichowatokea.
04:29
And so, despitelicha ya our ferventdhati resistanceupinzani,
56
257640
5120
Hivyo, licha ya ukinzani wetu,
04:35
the sheriffSheriff madealifanya us leaveshika the jailjela,
57
263520
2856
polisi alitufanya tutoke jela,
04:38
and of coursebila shaka, nobodyhakuna was waitingkusubiri for us.
58
266400
2760
na hakika, hakuna aliekua anatungoja.
04:44
It was hotmoto,
59
272040
1680
Ilikua joto,
04:48
one of those SouthernKusini dayssiku
60
276080
2736
moja ya zile siku za Kusini
04:50
where you could
literallyhalisi feel the pavementsakafu --
61
278840
2720
ambapo ungeweza kuhisi
lami kabisa --
04:54
the vapormvuke seepingkuzingatia out of the pavementsakafu.
62
282960
4040
mvuko ukipenya nje ya lami.
05:00
And the groupkikundi of about 14 of us
63
288720
3480
Na kundi la karibia watu 14,
05:05
selectedkuchaguliwa JonathanYonathani DanielsDaniels,
64
293840
2600
likamchagua Jonathan Daniels,
05:09
FatherBaba MorrisroeMorrisroe, who had recentlyhivi karibuni
come to the countykata,
65
297440
4096
Padre Morrisroe, ambae alikuja
kwenye jimbo hivi karibuni,
05:13
JoyceJoyce BaileyBailey, a localmitaa 17-year-oldmwenye umri wa miaka girlmsichana
66
301560
5856
Joyce Bailey, binti wa miaka 17
05:19
and I to go and get the drinksVinywaji.
67
307440
2080
na mimi kwenda kufuata vinywaji.
05:23
When we got to the doormlango,
68
311440
1800
Tulipofika mlangoni,
05:26
a whitenyeupe man was standingmsimamo
in the doorwaymlango with a shotgunshotgun,
69
314680
4016
mwanaume mweupe alikua amesimama
njia ya mlango na bunduki,
05:30
and he said, "BitchKahaba,
I'll blowpigo your brainsakili out!"
70
318720
4480
na akasema, "Malaya
nitalipua ubongo wako!"
05:36
And before I could even reactkuitikia,
71
324680
3056
Na kabla hata sijajibu,
05:39
before I could even processmchakato
what was going on,
72
327760
3856
kabla hata sijaelewa
kinachoendelea,
05:43
JonathanYonathani intentionallykwa makusudi pulledvunjwa my blouseblouse,
73
331640
3120
Jonathan akavuta nguo yangu kwa makusudi,
05:48
and I fellakaanguka back, thinkingkufikiri that I was deadwamekufa.
74
336280
3440
na nikaanguka nyuma, nikifikiri nimekufa.
05:53
And in that instantpapo, when I lookedilionekana up,
75
341440
3176
Na mara moja, nilipoangalia juu,
05:56
JonathanYonathani DanielsDaniels
was standingmsimamo in the linemstari of firemoto,
76
344640
3800
Jonathan Daniels
alikua amesimama mbele ya risasi,
06:01
and he tookalichukua the blastmlipuko,
77
349440
2040
na akachukua mlipuko,
06:04
and he savedimehifadhiwa my life.
78
352840
1880
na akaokoa maisha yangu.
06:15
I was so traumatizedwana matatizo
79
363120
3600
Nilikua kwenye mshtuko mkubwa
06:19
and paralyzedwalipooza by that eventtukio,
80
367800
4000
na kupooza kwa tukio hilo,
06:24
where TomTom ColemanColeman deliberatelykwa makusudi,
81
372720
4120
ambapo Tom Coleman kwa makusudi,
06:30
with malicioushasidi intentnia,
82
378160
2080
na nia ya kudhuru,
06:33
killedaliuawa my belovedwapenzi friendrafiki and colleaguemwenzake,
83
381280
4136
alimuua rafiki yangu mpendwa na mwenzangu,
06:37
JonathanYonathani MyrickMyrick DanielsDaniels.
84
385440
2920
Jonathan Myrick Daniels.
06:47
On that day,
85
395040
1560
Siku hiyo,
06:50
whichambayo was one of the mostwengi
importantmuhimu dayssiku in my life,
86
398400
3280
ambayo ilikua moja ya siku
muhimu kwenye maisha yangu,
06:54
I saw bothwote wawili love and hatechukia
87
402800
2400
niliona vyote upendo na chuki
06:58
comingkuja from two very differenttofauti whitenyeupe menwatu
88
406680
4256
vikitoka kwa wanaume weupe wawili tofauti
07:02
that representedkuwakilishwa the bestbora
and the worstmbaya zaidi of whitenyeupe AmericaAmerika.
89
410960
6040
ambayo ilionyesha ubora na
ubaya wa Marekani nyeupe.
07:10
So deepkina was my hurtkuumiza
90
418800
1776
Kwa kina sana ulikua uchungu wangu
07:12
at seeingkuona TomTom ColemanColeman
murdermauaji JonathanYonathani before my eyesmacho,
91
420600
4736
wa kumuona Tom Coleman
akimuua Jonathan mbele ya macho yangu,
07:17
that I becameikawa a silentkimya personmtu,
92
425360
2896
mpaka mikawa mtu mkimya,
07:20
and I did not speaksema
93
428280
1760
na sikuongea
07:23
for sixsita monthsmiezi.
94
431760
1440
kwa miezi sita.
07:28
I finallyhatimaye learnedkujifunza to touchkugusa that hurtkuumiza in me
95
436360
4696
Hatimae nikajifunza kugusa maumivu
ndani yangu
07:33
as I becameikawa olderwakubwa
96
441080
2496
kadri nilivyokua mkubwa
07:35
and beganilianza to talk about
the SouthernKusini freedomuhuru movementmwendo,
97
443600
4376
na nikaanza kuongelea kuhusu
maandamano ya uhuru ya Kusini,
07:40
and beganilianza to connectkuungana my storieshadithi
98
448000
2816
na nikaanza kuunganisha hadithi zangu
07:42
with the storieshadithi of my other colleagueswenzake
and freedomuhuru fighterswapiganaji,
99
450840
5736
na hadithi za wenzangu na
wapigania uhuru,
07:48
who, like me, had facedwanakabiliwa
deadlymauti traumakiwewe of racismubaguzi wa rangi,
100
456600
5616
ambao, kama mimi, waliona
madhara hatari vya ubaguzi wa rangi,
07:54
and who had lostpotea friendsmarafiki alongkando the way,
101
462240
3256
na mabao walipoteza marafiki njiani,
07:57
and who themselveswenyewe
have been beatenkupigwa and thrownkutupwa in jailjela.
102
465520
3800
na ambao wenyewe
walipigwa na kutupwa jela.
08:07
It is 50 yearsmiaka laterbaadae.
103
475200
2400
Ni miaka 50 baadae.
08:13
ManyWengi people were beatenkupigwa
and thrownkutupwa in jailjela.
104
481280
4280
Watu wengi wanapigwa na
kutupwa jela.
08:18
OthersWengine were murderedaliuawa
like JonathanYonathani DanielsDaniels.
105
486880
3000
Wengine wanauliwa
kama Jonathan Daniels.
08:22
And yetbado, we are still, as a nationtaifa,
106
490720
5096
Na bado, sisi bado, kama taifa,
08:27
miredlimekumbwa na down
107
495840
1960
tumezama chini
08:30
in the quicksandquicksand of racismubaguzi wa rangi.
108
498760
2160
kwenye udongo wa ubaguzi wa rangi.
08:38
And everywherekila mahali I go around the nationtaifa,
109
506520
3616
Na kila mahali ninapoenda kuzunguka nchi,
08:42
I see and hearkusikia the hurtkuumiza.
110
510160
3879
ninaona na kusikia yale maumivu.
08:47
And I askkuuliza people everywherekila mahali,
111
515000
2655
Na ninauliza watu kila mahali,
08:49
"Tell me, where does it hurtkuumiza?"
112
517679
2521
"Niambie, wapi panauma?"
08:53
Do you see and feel the hurtkuumiza
113
521600
3496
Unaona na kusikia maumivu
08:57
that I see and feel?
114
525120
1720
ambayo ninaona na kusikia?
09:01
I feel and see the hurtkuumiza
in blacknyeusi and brownkahawia people
115
529240
5960
Ninasikia na kuona yale maumivu
kwa watu weusi na wa maji ya kunde
09:07
who everykila day feel
the viciousmatata volleyumwaka utaha of racismubaguzi wa rangi
116
535880
6600
ambao kila siku wanasikia
gharika la hatari la ubaguzi wa rangi
09:16
and everykila day have theirwao
civilkiraia and humanbinadamu rightshaki strippedkupigwa away.
117
544320
4960
na kila siku haki zao
za kiraia na kibinadamu zinachukuliwa.
09:22
And the people who do this
use stereotypesubaguzi and mythshadithi
118
550040
5176
Na watu waliofanya hivi
wanatumia unyanyapaaji na dhana
09:27
to justifykuhalalisha doing it.
119
555240
2120
kuhalalisha kufanya hivyo.
09:33
EverywhereKila mahali I go,
120
561920
1520
Kila ninapoenda,
09:36
I see and hearkusikia womenwanawake
121
564880
3800
ninaona na kusikia wanawake
09:43
who speaksema out againstdhidi --
122
571000
3736
wanaoongelea dhidi --
09:46
who speaksema out againstdhidi
menwatu who invadepanga our bodiesmiili.
123
574760
4280
wanaoongelea dhidi ya
wanaume wanaoingilia miili yao.
09:52
These samesawa menwatu who then turnkugeuka around --
124
580720
3776
Hawa hawa wanaume ambao tena wanageuka --
09:56
the samesawa menwatu who promotekukuza racismubaguzi wa rangi
125
584520
2496
hawa hawa wanaume wanaochochea ubaguzi wa
rangi
09:59
and then turnkugeuka around and stealkuiba our laborkazi
and paykulipa us unequalusawa wagesmshahara.
126
587040
5800
na kisha wanageuka na kutuibia kazi zetu
na kutulipa mishahara isiyo na haki.
10:07
I hearkusikia and feel the hurtkuumiza of whitenyeupe menwatu
127
595200
4176
Ninasikia na kuhisi maumivu ya wanaume
weupe
10:11
at the betrayalusaliti by
the samesawa powerfulnguvu whitenyeupe menwatu
128
599400
4080
waliosalitiwa na wale wale
wanaume weupe wenye nguvu
10:16
who tell them that theirwao skinngozi colorrangi
129
604760
2920
wanaowaambia kua rangi ya ngozi zao
10:20
is theirwao tickettiketi to a good life and powernguvu,
130
608760
3416
ni tiketi ya maisha bora na yenye nguvu,
10:24
only to discovergundua,
131
612200
2816
kuja kugundua,
10:27
as the circlemzunguko of whitenessweupe narrowshupungua,
132
615040
3456
kadri duara la uweupe linavyokua dogo,
10:30
that theirwao ticketstiketi have expiredkimeisha muda wake
133
618520
3176
ndipo tiketi zao zinapoharibika
10:33
and no longertena carrykubeba first-classkwanza ya darasa statushali.
134
621720
3720
na hawabebi tena hadhi ya daraja la
kwanza.
10:39
Now that we'vetumekuwa touchedkuguswa the hurtkuumiza,
135
627480
2160
Sasa kwa kua tumegusa maumivu,
10:42
we mustlazima askkuuliza ourselvessisi wenyewe,
136
630640
2776
tunalazimika kujiuliza,
10:45
"Where does it hurtkuumiza
137
633440
1640
"Wapi panapouma
10:48
and what is the sourcechanzo of the hurtkuumiza?"
138
636480
2600
na nini chanzo cha maumivu hayo?"
10:55
I proposependekeza that we mustlazima look
139
643440
5176
Ninapendekeza kua ni lazima kuangalia
11:00
deeplykwa undani into the cultureutamaduni of whitenessweupe.
140
648640
3360
kwa kina kwenye utamaduni wa uweupe.
11:04
That is a riverMto that drownsdrowns out
all of our identitiesvitambulisho
141
652960
4776
Ambao ni mto unaozamisha utambulisho
wetu wote
11:09
and drownsdrowns us in falseuongo uniformitysare
to protectkulinda the statushali quosasa.
142
657760
5520
na inatuzamisha kwenye umoja wa uwongo
kulinda hadhi iliopo.
11:16
NoticeIlani, everybodykila mtu,
I said cultureutamaduni of whitenessweupe,
143
664760
5136
Tazama, kila mtu,
nimesema utamaduni wa uweupe,
11:21
and not whitenyeupe people.
144
669920
2056
na sio watu weupe.
11:24
Because in my estimationmakadirio,
145
672000
2976
Kwa sababu kwenye makadirio yangu,
11:27
the problemtatizo is not whitenyeupe people.
146
675000
2120
tatizo sio watu weupe.
11:30
InsteadBadala yake, it is the cultureutamaduni of whitenessweupe.
147
678120
3440
Badala yake, ni utamaduni wa uweupe.
11:34
And by cultureutamaduni of whitenessweupe,
148
682320
1376
Na kwa utamaduni wa uweupe,
11:35
I mean a systemicutaratibu and organizediliyoandaliwa
setkuweka of beliefsimani,
149
683720
5976
ninamaanisha mfumo na mpangilio
wa aina za imani,
11:41
valuesmaadili, canonizedheshima knowledgeujuzi
and even religiondini,
150
689720
6480
thamani, maarifa yenye kanuni
na hata dini,
11:49
to maintainkudumisha a hierarchicalkitabaka,
over-and-againstjuu-na-dhidi ya powernguvu structuremuundo
151
697840
5536
kuendeleza uongozi, muundo
wa nguvu iliyopitiliza na inayopinga
11:55
basedmsingi on skinngozi colorrangi,
againstdhidi people of colorrangi.
152
703400
3600
kulingana na rangi ya ngozi,
dhidi ya watu wa rangi.
12:03
It is a cultureutamaduni
153
711640
3800
Ni utamaduni
12:08
where whitenyeupe people are seenkuonekana
as necessarymuhimu and friendlykirafiki insiderskisirisiri,
154
716240
6280
ambapo watu weupe wanaonekana
kama wa ulazima na urafiki wa ndani,
12:15
while people of colorrangi,
especiallyhasa blacknyeusi people,
155
723680
3000
wakati watu wenye rangi,
haswa watu weusi,
12:19
are seenkuonekana as dangeroushatari
156
727720
2640
wanaonekana kama ni hatari
12:23
and threateningkutishia outsidersnje,
157
731760
2816
na wakutishia wa nje,
12:26
who posepose a clearwazi and presentsasa dangerhatari
158
734600
3256
wanaoweka hatari ya wazi na ya sasa
12:29
to the safetyusalama and the efficacyufaafu
159
737880
3200
kwenye usalama na matokeo
12:35
of the cultureutamaduni of whitenessweupe.
160
743000
2920
ya utamaduni wa uweupe.
12:44
Listen to me and see if you can imaginefikiria
161
752880
4296
Nisikilize na uone kama unaweza kuwaza
12:49
the cultureutamaduni of whitenessweupe
as a dehumanizingkudanganya processmchakato
162
757200
5336
utamaduni wa uweupe kama
harakati inayoondoa utu
12:54
that meltshutengana away
163
762560
1456
inayoyeyusha mbali
12:56
all of our multiplenyingi
and interlockinginayofunga identitiesvitambulisho,
164
764040
5936
utambulisho wetu wote
wa utofauti na unaofungana,
13:02
suchvile as racembio, classdarasa,
genderjinsia and sexualitiessexualities,
165
770000
5816
kama vile taifa, daraja,
na jinsia,
13:07
so that ...
166
775840
1200
ilimradi ...
13:10
so that unityUmoja is maintainediimarishwe for powernguvu.
167
778880
4760
ili umoja uendelee kwa ajili ya nguvu.
13:18
I believe, because I know
168
786640
2400
Ninaamini, kwa sababu ninajua
13:22
and believe that the cultureutamaduni of whitenessweupe
169
790600
4896
na kuamini kua utamaduni wa uweupe
13:27
is a socialkijamii constructkujenga.
170
795520
2040
ni muundo wa kijamii.
13:32
EachKila of us, from birthkuzaliwa to deathkifo,
171
800720
3776
Kila mmoja wetu, tunapozaliwa
mpaka tunakufa,
13:36
are socializedkufahamiana in this cultureutamaduni.
172
804520
3296
tumejumuika kwenye huu utamaduni.
13:39
And it marksalama people of colorrangi alsopia.
173
807840
3016
Na inaathiri watu wa rangi pia.
13:42
And it makeshufanya people of colorrangi,
like whitenyeupe people,
174
810880
4536
Na inafanya watu wa rangi,
kama watu weupe,
13:47
votekupiga kura againstdhidi our interestsmaslahi.
175
815440
3240
kuchagua kinyume na mapendeleo yetu.
13:57
Some of you mightnguvu askkuuliza --
176
825080
1456
Baadhi yenu mnaweza kuuliza --
13:58
and my studentswanafunzi always tell me
I give hardngumu assignmentskazi --
177
826560
4256
na wanafunzi wangu wananiambia
ninatoa kazi ngumu --
14:02
some of you mightnguvu askkuuliza, and rightfullyhaki so,
178
830840
2840
baadhi yenu mnaweza kuuliza, na kwa
usahihi kabisa,
14:07
"How do we fixtengeneza this?
179
835640
2736
"Tunawezaje kurekebisha hili?
14:10
It seemsinaonekana so all-powerfulanayejua
and overwhelmingmno."
180
838400
3240
Inaonekana ina nguvu sana
na inatutawala."
14:16
I believe that we mustlazima fixtengeneza it,
181
844920
3176
Ninaamini kua ni lazima kuirekebisha,
14:20
because we cannothaiwezi humanizehumanize our futurebaadaye
182
848120
3456
kwa sababu hatuwezi kuwa na utu mbeleni
14:23
if we continueendelea to be complicitkuhusisha
183
851600
3736
kama tutaendelea kukubaliana
14:27
with the cultureutamaduni of whitenessweupe.
184
855360
2360
na utamaduni wa uweupe.
14:30
EachKila of us mustlazima connectkuungana
with our authentichalisi selvesninyi,
185
858680
5416
Kila mmoja wetu ni lazima aungane
na asili yetu wenyewe,
14:36
with our authentichalisi ethnickikabila selvesninyi.
186
864120
3256
na asili yetu ya kiutamaduni.
14:39
And we mustlazima connectkuungana
with the other aspectsmambo of our identitiesvitambulisho.
187
867400
4120
Na ni lazima tuungane
na mambo mengine ya utambulisho wetu.
14:44
And we mustlazima movehoja out of the constructshujenga
188
872960
3416
Na ni lazima tutoke kwenye muundo
14:48
of whitenessweupe, brownnessbrownness and blacknessweusi
189
876400
4616
wa uweupe, umaji-ya-kunde na uweusi
14:53
to becomekuwa who we are at our fullestukamilifu.
190
881040
4120
kua jinsi tulivyo kikamili.
15:02
How do we do this?
191
890080
3376
Tunafanyaje hivi?
15:05
I believe that we do this
throughkupitia our collectivepamoja narrativeshadithi.
192
893480
4496
Ninaamini tunafanya hivi
kwa simulizi zetu kwa pamoja.
15:10
And our collectivepamoja narrativeshadithi
mustlazima containvyenye our individualmtu binafsi storieshadithi,
193
898000
5160
Na simulizi zetu kwa pamoja
zinatakiwa kuwa na hadithi zetu binafsi,
15:16
the artssanaa,
194
904240
2216
sanaa,
15:18
spiritualkiroho reflectionsTafakari,
195
906480
2200
tafakari za dini,
15:22
literaturefasihi,
196
910480
1520
maandiko
15:26
and yes, even drummingngoma.
197
914040
2336
na ndio, hata ngoma.
15:28
(LaughterKicheko)
198
916400
1600
(Kicheko)
15:32
It mustlazima be a collectivepamoja tellingkuwaambia,
199
920080
3296
Inatakiwa iwe misemo ya pamoja,
15:35
because individualmtu binafsi storieshadithi
just createkuunda a paradigmdhana
200
923400
4416
kwa sababu hadithi binafsi
hutengeneza namna
15:39
where we are pittingkuchimba mashimo one storyhadithi
againstdhidi anothermwingine storyhadithi.
201
927840
3920
ambapo tutashindanisha hadithi moja
dhidi ya nyingine.
15:49
These differenttofauti modelsmifano
that I have talkedaliongea about tonightusiku wa leo
202
937120
3800
Hii mitindo tofauti niliyoyaongelea
usiku wa leo
15:54
I think are essentialmuhimu
to providingkutoa us a pathwaynjia
203
942520
5096
ninafikiri ni muhimu
kutupatia njia
15:59
out of the quagmirequagmire of racismubaguzi wa rangi.
204
947640
4056
nje ya bwawa la ubaguzi wa rangi.
16:03
And I want to talk about
anothermwingine very importantmuhimu modelmfano.
205
951720
4936
Na nataka niongelee kuhusu
mtindo mwingine wa muhimu sana.
16:08
And that is redemptionukombozi.
206
956680
2640
Na huo ni ukombozi.
16:12
I believe that movementsharakati
for racialrangi justicehaki
207
960680
4976
Nina imani kua maandamano
ya haki za kirangi
16:17
mustlazima be redemptiveukombozi ratherbadala than punitivekutoa adhabu.
208
965680
4856
zinalazimika kua za ukombozi na sio
uhalifu.
16:22
And yes, I believe
209
970560
2856
Na ndio, ninaamini
16:25
that we mustlazima providekutoa the possibilityuwezekano
of redemptionukombozi for everyonekila mtu.
210
973440
4200
kua tunatakiwa kutoa uwezekano
wa ukombozi kwa kila mtu.
16:30
And we mustlazima be willingtayari,
211
978720
2216
Na tunatakiwa kuwa tayari,
16:32
despitelicha ya some of the vitriolicutunu languagelugha
212
980960
3416
licha ya baadhi ya lugha kali
16:36
that mightnguvu come from
those very people who oppresskusumbua us,
213
984400
5016
zinazotoka kwa hao hao watu
wanaotukandamiza,
16:41
I think that we mustlazima listen to them
214
989440
4536
nafikiri ni lazima tuwasikilize
16:46
and try to figuretakwimu out where do they hurtkuumiza.
215
994000
2920
na kujaribu kuelewa wapi wanapoumia.
16:50
We mustlazima do this, I believe,
216
998120
1896
Ni lazima tufanye hivi, ninaamini,
16:52
because our redemptionukombozi
is tiedamefungwa into theirwao redemptionukombozi,
217
1000040
5896
kwa sababu ukombozi wetu
umefungana na ukombozi wao.
16:57
And we will not be freebure
218
1005960
2496
Na hatutakua huru
17:00
untilmpaka we'vetumekuwa all been redeemedkukombolewa
from unredemptiveunredemptive angerhasira.
219
1008480
4640
mpaka tuwe tumekombolewa
kutoka kwenye hasira ya kukosa ukombozi.
17:14
The challengechangamoto is not easyrahisi.
220
1022200
2200
Changamoto sio rahisi.
17:17
And in a technologicalteknolojia societyjamii,
it growsinakua even more complicatedngumu,
221
1025319
5457
Na kwenye jamii ya teknolojia,
inakua ina utata zaidi,
17:22
because oftenmara nyingi we use technologiesteknolojia
222
1030800
2696
kwa sababu mara nyingi tunatumia
teknolojia
17:25
to perpetuatekuendeleza the very valuesmaadili of racismubaguzi wa rangi
that we indulgekujiingiza in everykila day.
223
1033520
5720
kudumisha thamani za ubaguzi wa rangi
ambazo tunaruhusu kila siku.
17:33
We use technologyteknolojia to bullyAngry,
224
1041280
2559
Tunatumia teknolojia kuonea,
17:37
to perpetuatekuendeleza hatechukia speechhotuba
225
1045119
2240
kuendeleza maongezi ya chuki
17:40
and to degradeonyesha eachkila mmoja other'snyingine humanitiesbinadamu.
226
1048720
3440
na kushushiana utu wetu.
17:45
And so I believe that
if we're going to humanizehumanize the futurebaadaye,
227
1053120
4536
Na hivyo ninaamini kua
kama tutaenda kujenga utu mbeleni,
17:49
we mustlazima designkubuni waysnjia to use technologyteknolojia
228
1057680
3256
ni lazima tupange njia za kutumia
teknolojia
17:52
not to degradeonyesha us, but to elevatekuinua us
229
1060960
3456
bila kutushusha, lakini kutuinua
17:56
so that we can livekuishi
into the fullestukamilifu of our capacitiesuwezo.
230
1064440
4376
ili tuweze kuishi kwa ukamili
wa uwezo wetu.
18:00
And I believe that technologyteknolojia
231
1068840
2736
Na ninaamini kua teknolojia
18:03
mustlazima providekutoa us largerkubwa vistasmandhari
232
1071600
4256
lazima itupatie mandhari makubwa zaidi
18:07
so that we mightnguvu engagekushiriki with eachkila mmoja other
233
1075880
2656
ili tuweze kuhusiana wenyewe kwa
wenyewe
18:10
and movehoja beyondzaidi the segregatedimegawanyika spacesnafasi
that we livekuishi in, everykila day of our livesanaishi.
234
1078560
5200
na kusogea zaidi ya maeneo yaliyojitenga
ambayo tunaishi, kila siku ya maisha yetu.
18:17
I believe
235
1085880
1480
Ninaamini
18:21
that we can achievekufikia this
if we setkuweka our mindsakili
236
1089240
4960
kua tunaweza kupata haya
kama tukiweka akili zetu
18:27
and hopesmatumaini on the prizetuzo.
237
1095400
2880
na matumaini kwenye tuzo.
18:32
The questionswali before us tonightusiku wa leo
238
1100880
2240
Swali mbele yetu usiku wa leo
18:37
is very seriousmbaya.
239
1105360
1880
ni la muhimu sana.
18:40
It is: "Do you want to be healedkuponywa?
240
1108840
3400
Nalo ni: "Unataka kupona?
18:45
Do you want to be healedkuponywa?"
241
1113720
2080
Unataka kupona?"
18:49
Do you want to becomekuwa wholeyote
and livekuishi into all of your identitiesvitambulisho?
242
1117520
5096
Unataka kua mzima na
kuishi kwenye utambulisho wako wote?
18:54
Or do you want to continueendelea
to cannibalizecannibalize your multiplenyingi identitiesvitambulisho
243
1122640
6576
Au unataka kuendelea
kubagua utambulisho wako mwingi
19:01
and privilegeupendeleo one identityutambulisho over the other?
244
1129240
2480
na kupendelea utambulisho mmoja juu ya
mwingine?
19:07
Do you want to joinkujiunga a long linemstari
245
1135240
3560
Unataka kuunga mstari mrefu
19:12
of generationsvizazi of people
246
1140240
2480
wa vizazi vya watu
19:15
who believedaliamini in the promiseahadi of AmericaAmerika
247
1143880
3576
walioamini kwenye ahadi ya Marekani
19:19
and had the faithimani to upbuildupbuild democracydemokrasia?
248
1147480
4440
na walikua na imani ya kujenga zaidi
demokrasia?
19:28
Do you want to livekuishi
into the fullestukamilifu of your potentialuwezo?
249
1156760
4656
Unataka kuishi kwenye
uwezo wako kamili?
19:33
I certainlyhakika do.
250
1161440
1576
Ndio kabisa.
19:35
And I believe you do, too.
251
1163040
1720
Na ninaamini ungependa pia.
19:39
Let me just say, quitekabisa seriouslykwa uzito,
252
1167920
4136
Wacha niseme tu, kwa uzito kabisa,
19:44
I believe in you.
253
1172080
1640
ninakuamini.
19:47
And despitelicha ya everything,
254
1175080
1680
Na licha ya kila kitu,
19:49
I still believe in AmericaAmerika.
255
1177960
3600
bado ninaamini Marekani.
19:55
I hopetumaini that this offeringsadaka
that I've givenalipewa to you tonightusiku wa leo,
256
1183760
3536
Ninatumaini kua hii sadaka
niliyowapa usiku wa leo,
19:59
that I've sharedimeshirikiwa with you tonightusiku wa leo,
257
1187320
2536
niliyowashirikisha usiku wa leo,
20:01
will providekutoa redemptiveukombozi pathwaysnjia
258
1189880
3776
italeta njia za ukombozi
20:05
so that you mightnguvu claimkudai
the fullestukamilifu of your identityutambulisho
259
1193680
4576
ili uweze kudai
utambulisho wako kikamilifu
20:10
and becomekuwa a majorkubwa participantmshiriki
260
1198280
2816
na kua mshiriki mkubwa
20:13
in humanizinghumanizing not only
the futurebaadaye for yourselvesninyi wenyewe,
261
1201120
5416
kujenga utu sio tu
wa kwetu mbeleni,
20:18
but alsopia for our democracydemokrasia.
262
1206560
2280
lakini pia kwa demokrasia
20:21
Thank you.
263
1209520
1256
Asanteni.
20:22
(ApplauseMakofi)
264
1210800
4200
(Makofi)
Translated by Doris Mangalu
Reviewed by Nelson Simfukwe

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Ruby Sales - Activist, scholar, educator
Ruby Sales has preached around the country on race, class, gender and reconciliation.

Why you should listen

Ruby Sales is the founder and director of the Spirit House Project. She joined the Student Nonviolent Coordinating Committee (SNCC) in the 1960s as a teenager at Tuskegee University and went to work as a student freedom fighter in Lowndes County, Alabama. She is one of 50 African Americans to be spotlighted in the new Smithsonian National Museum of African American History and Culture in Washington, DC.

A deeply committed social activist, scholar, administrator, manager, public theologian and educator in the areas of civil, gender and other human rights, Sales has preached around the country on race, class, gender and reconciliation. She has done groundbreaking work on community and nonviolence formation, and also serves as a national convener of the Every Church A Peace Church Movement. Throughout her career, Sales has mentored young people and provided support and venues for an intergenerational community of developing and seasoned social justice performing and creative artists. She has a deep commitment to providing the education, practical experiences, and frame of references to contest racism and add their voices to the public conversations on the many streams of oppression that emerge from them.

More profile about the speaker
Ruby Sales | Speaker | TED.com