ABOUT THE SPEAKER
Karim Abouelnaga - Education entrepreneur
Karim Abouelnaga is working to provide kids with access to high-quality academic summer programming.

Why you should listen

Karim Abouelnaga wants to eliminate summer learning loss in kids and give them a fair chance at realizing their life ambitions. After experiencing the struggle to succeed in under-resourced urban public schools, he was lucky enough to benefit from nonprofits that provided him with great mentors, receiving over $300,000 in scholarships to make his college education possible. Abouelnaga is the founder and CEO of the benefit corporation Practice Makes Perfect, a full-service summer school operator that uses a "near-peer" learning model to drive academic outcomes for thousands of low-income children.

Abouelnaga is a regular contributor for Entrepreneur and Forbes, a co-founder of Gentlemen Ventures, a TED Fellow, Global Shaper and Echoing Green Fellow. He was named to Forbes' 30 under 30 in Education. In 2016 Richtopia ranked him in the top five of most influential entrepreneurs in the world under 25. Abouelnaga graduated from Cornell University with a degree in hotel administration in 2013.

Reach Karim here: karimted@practicemakesperfect.org.

More profile about the speaker
Karim Abouelnaga | Speaker | TED.com
TED2017

Karim Abouelnaga: A summer school kids actually want to attend

Karim Abouelnaga: Shule ya kiangazi watakayo watoto

Filmed:
1,211,003 views

Kipindi cha kiangazi, watoto toka kaya maskini Marekani husahau karibu miezi mitatu ya walichosoma kipindi cha mwaka wa shule. Mjasiriamali wa elimu na Mshirika wa TED Karim Abouelnaga anataka kurekebisha upotevu huu wa elimu, kwa kubadili "anguko la kiangazi" kuwa fursa ya kwenda mbele na kukua kuelekea baadaye ing'arayo zaidi.
- Education entrepreneur
Karim Abouelnaga is working to provide kids with access to high-quality academic summer programming. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:13
GettingKupata a collegechuo educationelimu
0
1280
2021
Kupata elimu ya chuo
00:15
is a 20-year-a investmentuwekezaji.
1
3325
2155
ni uwekezaji wa miaka 20
00:18
When you're growingkukua up poormaskini,
2
6400
1655
Unapokulia katika umaskini,
00:20
you're not accustomedwamezoea
to thinkingkufikiri that farmbali aheadmbele.
3
8080
2936
unakuwa hujazoea
kufikiria mbele kiasi hicho
00:23
InsteadBadala yake, you're thinkingkufikiri about
where you're going to get your nextijayo mealchakula
4
11040
3336
Badala yake,
unafikiria wapi utapata mlo unaofuata
na namna gani familia yako
italipa kodi ya pango kwa mwezi huo
00:26
and how your familyfamilia
is going to paykulipa rentkukodisha that monthmwezi.
5
14400
2856
00:29
BesidesMbali na hilo, my parentswazazi
and my friends'marafiki parentswazazi
6
17280
3136
Mbali na hilo,
wazazi wangu na wazazi wa rafiki zangu
00:32
seemedilionekana to be doing just fine
drivingkuendesha gari taxisteksi and workingkufanya kazi as janitorsmizati.
7
20440
3640
walionekana kuwa vizuri tu wakiendesha
teksi na kufanya kazi za usafi na uhudumu.
00:36
It wasn'thaikuwa untilmpaka I was a teenagerkijana
8
24920
1896
Ni mpaka nilipokuwa kijana
00:38
when I realizedgundua I didn't
want to do those things.
9
26840
2480
nilipogundua sikutaka kufanya kazi zile.
00:42
By then, I was two-thirdstheluthi mbili of the way
throughkupitia my educationelimu,
10
30120
3616
Wakati huo, nilikuwa theluthi mbili
ya muda wa kumaliza elimu yangu
00:45
and it was almostkaribu too latekuchelewa
to turnkugeuka things around.
11
33760
2320
na ilikuwa bado kidogo tu
ningechelewa kufanya mabadiliko.
00:49
When you growkukua up poormaskini,
you want to be richtajiri.
12
37680
2320
Unapokulia umaskini, unataka kuwa tajiri.
00:52
I was no differenttofauti.
13
40800
1200
Sikuwa tofauti
00:54
I'm the second-oldestPili kongwe of sevensaba,
14
42600
1736
Mi ni wa pili kuzaliwa kati ya saba,
00:56
and was raisedalimfufua by a singlemoja mothermama
on governmentserikali aidmisaada
15
44360
2416
na nililelewa na mama pekee
kwa msaada wa serikali
00:58
in QueensMalkia, NewMpya YorkYork.
16
46800
1200
mjini Queens, New York.
Kwa sababu ya kukulia
kwenye kipato cha chini,
01:00
By virtuewema of growingkukua up low-incomekipato cha chini,
17
48720
1936
01:02
my siblingsndugu and I wentakaenda
to some of NewMpya YorkYork City'sWa mji
18
50680
2336
mimi na ndugu zangu tulikwenda
kwenye baadhi ya shule za umma
zilizo duni sana katika Jiji la New York
01:05
mostwengi strugglingwanajitahidi publicumma schoolsshule.
19
53040
1520
01:07
I had over 60 absenceskutokuwepo kwa
when I was in seventhwa saba gradedaraja,
20
55200
3200
Nilikosa shule zaidi ya mara 60
nilipokuwa darasa la 7
01:11
because I didn't feel like going to classdarasa.
21
59280
2000
kwa sababu sikujisikia kwenda darasani.
01:13
My highjuu schoolshule had
a 55 percentasilimia graduationmahafali ratekiwango,
22
61880
3056
Katika shule yangu ya sekondari,
kwa wastani ni 55% walihitimu
01:16
and even worsembaya zaidi,
23
64959
1297
na kibaya zaidi,
01:18
only 20 percentasilimia of the kidswatoto graduatingkuhitimu
24
66280
2296
ni 20% tu ya waliohitimu
01:20
were college-readytayari Chuo.
25
68600
1200
walikuwa tayari kwa chuo.
01:22
When I actuallykwa kweli did make it to collegechuo,
26
70960
2136
Nilipoingia chuo,
nilimwambia rafiki yangu Brennan
01:25
I told my friendrafiki BrennanBrennan
27
73120
1416
01:26
how our teacherswalimu would always askkuuliza us
to raisekuinua our handsmikono
28
74560
3696
jinsi gani walimu wetu
walituambia tunyooshe mikono juu
01:30
if we were going to collegechuo.
29
78280
2000
kama tulitaka kwenda chuo.
01:33
I was takenkuchukuliwa abackaback when BrennanBrennan said,
30
81400
1736
Nilishtushwa pale Brennan aliposema,
01:35
"KarimKarim, I've never been askedaliuliza
that questionswali before."
31
83160
2680
"Karim,
sijawahi kuulizwa swali hilo kabla."
01:38
It was always, "What collegechuo
are you going to?"
32
86720
2976
Daima lilikuwa, "Ni chuo gani unakwenda?"
01:41
Just the way that questionswali is phrasedlugha
33
89720
1936
Namna tu swali lilivyoulizwa
01:43
madealifanya it unacceptablehaikubaliki for him
not to have gonewamekwenda to collegechuo.
34
91680
2760
ilifanya kuwa jambo lisiliokubalika
kwa yeye kutokwenda chuo.
01:47
NowadaysSiku hizi I get askedaliuliza a differenttofauti questionswali.
35
95960
2040
Sikuhizi naulizwa swali tofauti.
01:50
"How were you ableinaweza to make it out?"
36
98680
2280
"Uliwezaje kufanikiwa kutoka?"
01:53
For yearsmiaka I said I was luckybahati,
37
101760
2360
Kwa miaka nilisema nilikuwa na bahati,
01:57
but it's not just luckbahati.
38
105320
1200
Lakini haikuwa bahati tu.
01:59
When my olderwakubwa brotherndugu and I
graduatedalihitimu from highjuu schoolshule
39
107280
2576
Mimi na kaka yangu mkubwa
tulipomaliza sekondari
02:01
at the very samesawa time
40
109880
1256
katika wakati mmoja
02:03
and he laterbaadae droppedimeshuka out
of a two-yearmiaka miwili collegechuo,
41
111160
2216
na baadaye akaacha chuo
chuo cha miaka miwili
02:05
I wanted to understandkuelewa why he droppedimeshuka out
42
113400
2456
Nilitaka kujua kwanini aliacha
02:07
and I keptimehifadhiwa studyingkusoma.
43
115880
1200
na niliendelea kusoma
02:10
It wasn'thaikuwa untilmpaka I got to CornellCornell
as a PresidentialRais ResearchUtafiti ScholarMsomi
44
118240
3376
Ni mpaka nilipofika Cornell
kama Mwafunzi wa Utafiti wa Kirais
02:13
that I startedilianza to learnkujifunza about
the very realhalisi educationalelimu consequencesmatokeo
45
121640
3736
ndipo nilipoanza kujifunza
juu ya matokeo halisi ya kielimu
02:17
of beingkuwa raisedalimfufua by a singlemoja mothermama
on governmentserikali aidmisaada
46
125400
2775
yatokanayo na malezi ya mama pekee
kwa msaada wa serikali
02:20
and attendingkuhudhuria the schoolsshule that I did.
47
128199
1801
na kusoma shule nilizosoma.
02:22
That's when my olderwakubwa brother'swa ndugu trajectorytrajectory
beganilianza to make completekamili sensehisia to me.
48
130919
3841
Pale ndipo njia ya kaka yangu mkubwa
ilipoanza kuleta maana kamili kwangu.
02:28
I alsopia learnedkujifunza that our mostwengi admirablekupendeza
educationelimu reformerswanamageuzi,
49
136280
3376
Nilijifunza pia kuwa
wanamaboresho elimu wetu maarufu
02:31
people like ArneArne DuncanDuncan,
the formerzamani US SecretaryKatibu of EducationElimu,
50
139680
3656
watu kama Arne Duncan,
Waziri wa zamani wa Elimu Marekani
02:35
or WendyWendy KoppKenya, the foundermwanzilishi
of TeachKufundisha For AmericaAmerika,
51
143360
2696
au Wendy Kopp,
mwanzilishi wa Teach For America,
02:38
had never attendedwalihudhuria an innerndani cityjiji
publicumma schoolshule like I had.
52
146080
2800
hawajawahi kusoma kwenye shule za umma
za ndani ndani ya jiji kama mimi.
02:41
So much of our educationelimu reformmageuzi
is driveninaendeshwa by a sympathetichuruma approachmbinu,
53
149520
3816
Kwa hiyo maboresho mengi ya elimu
yanaendeshwa na mtazamo wa kihuruma
02:45
where people are sayingkusema,
54
153360
1256
ambapo watu wanasema
02:46
"Let's go and help
these poormaskini innerndani cityjiji kidswatoto,
55
154640
3016
"Twende tukasaidie hawa watoto maskini
wa ndani ndani ya jiji
02:49
or these poormaskini blacknyeusi and LatinoLatino kidswatoto,"
56
157680
2000
au hawa watoto maskini weusi na wakilatino
02:52
insteadbadala yake of an empatheticempathetic approachmbinu,
57
160320
2376
badala ya mtazamo wa uelewa,
02:54
where someonemtu like me, who had grownmzima up
in this environmentmazingira, could say,
58
162720
3416
ambapo mtu ka' mimi, aliyekulia
katika mazingira haya, ningeweza kusema,
02:58
"I know the adversitiesdhiki that you're facinginakabiliwa
59
166160
2216
"Najua taabu mnazokumbana nazo
03:00
and I want to help you overcomekushinda them."
60
168400
1840
na ninataka kuwasaidia kuzishinda."
03:03
TodayLeo when I get questionsmaswali
about how I madealifanya it out,
61
171560
2696
Leo nipatapo maswali kuhusu
jinsi nilivyofanikiwa kutoka,
03:06
I sharekushiriki that one of the biggestkubwa reasonssababu
62
174280
2496
Natoa sababu moja wapo kubwa
03:08
is that I wasn'thaikuwa ashamedaibu to askkuuliza for help.
63
176800
2080
kuwa sikuwa na aibu kuomba msaada.
03:11
In a typicalkawaida middlekatikati classdarasa
or affluentmatajiri householdkaya,
64
179840
2616
Katika tabaka la hali ya kati
au kaya tajiri,
03:14
if a kidmtoto is strugglingwanajitahidi,
65
182480
1776
kama mwanafunzi atakuwa na shida
03:16
there's a good chancenafasi that a parentmzazi
or a teachermwalimu will come to theirwao rescuekuokoa
66
184280
3936
kuna uwezekano mkubwa kuwa
mzazi au mwalimu atakuja kumsaidia
03:20
even if they don't askkuuliza for help.
67
188240
1936
hata asipoomba msaada.
Lakini, kama mtoto huyo
amekulia katika umaskini
03:22
HoweverHata hivyo, if that samesawa kidmtoto
is growingkukua up poormaskini
68
190200
2136
03:24
and doesn't askkuuliza for help,
69
192360
1240
na hataomba msaada,
03:26
there's a good chancenafasi
that no one will help them.
70
194240
2320
kuna uwezekano mkubwa
hakuna atakayemsaidia.
03:28
There are virtuallykaribu
no socialkijamii safetyusalama netsnyavu availableinapatikana.
71
196880
3000
Hakuna wigo wa usalama wa kijamii
unaopatikana.
Kwa hiyo miaka saba iliyopita,
03:33
So sevensaba yearsmiaka agoiliyopita,
72
201160
1376
03:34
I startedilianza to reformmageuzi
our publicumma educationelimu systemmfumo
73
202560
2816
Nilianza kuboresha
mfumo wetu wa elimu ya umma
03:37
shapedumbo by my firsthandmwenyewe perspectivemtazamo.
74
205400
2320
nikichukua taswira
ya mtazamo wangu wa moja kwa moja.
03:40
And I startedilianza with summermajira ya joto schoolshule.
75
208960
1572
Na nilianza na shule ya kiangazi.
03:43
ResearchUtafiti tellsanasema us that two-thirdstheluthi mbili
of the achievementmafanikio gappengo,
76
211960
3336
Utafiti unatuambia kuwa
theluthi mbili ya pengo la ufaulu,
03:47
whichambayo is the disparityusawa
in educationalelimu attainmentufikiwaji husika
77
215320
2336
ambayo
ni tofauti katika upatikanaji wa elimu
03:49
betweenkati richtajiri kidswatoto and poormaskini kidswatoto
78
217680
2176
kati ya watoto matajiri na watoto maskini
03:51
or blacknyeusi kidswatoto and whitenyeupe kidswatoto,
79
219880
2136
au watoto weusi na watoto weupe
03:54
could be directlymoja kwa moja attributedkuhusishwa
to the summermajira ya joto learningkujifunza losskupoteza.
80
222040
2680
inaweza kuhusishwa moja kwa moja na
upotevu wa elimu kipindi cha kiangazi
03:57
In low-incomekipato cha chini neighborhoodsvitongoji,
kidswatoto forgetkusahau almostkaribu threetatu monthsmiezi
81
225640
2816
Katika kaya maskini,
watoto husahau karibu miezi mitatu
ya walichosoma kipindi cha mwaka wa shule
04:00
of what they learnedkujifunza
duringwakati the schoolshule yearmwaka
82
228480
2056
04:02
over the summermajira ya joto.
83
230560
1336
wakati wa kiangazi.
04:03
They returnkurudi to schoolshule in the fallkuanguka,
84
231920
1616
Wanarudi shule kipindi cha vuli,
04:05
and theirwao teacherswalimu
spendtumia anothermwingine two monthsmiezi
85
233560
2056
na walimu wao
wanatumia miezi miwili mingine
04:07
reteachingreteaching them oldzamani materialvifaa.
86
235640
1416
kurudia tena kuwafundisha.
04:09
That's fivetano monthsmiezi.
87
237080
1496
Hiyo ni miezi mitano.
04:10
The schoolshule yearmwaka in the UnitedMuungano StatesMarekani
is only 10 monthsmiezi.
88
238600
2616
Mwaka wa shule Marekani ni miezi 10 tu.
04:13
If kidswatoto losekupoteza fivetano monthsmiezi of learningkujifunza
everykila singlemoja yearmwaka,
89
241240
2616
Kama watoto watapoteza miezi 5
ya kujifunza kila mwaka
04:15
that's halfnusu of theirwao educationelimu.
90
243880
1480
hiyo ni nusu ya elimu yao.
04:18
HalfNusu.
91
246120
1200
Nusu.
04:20
If kidswatoto were in schoolshule over the summermajira ya joto,
then they couldn'thaikuweza regressTumeishafanya,
92
248080
3160
Kama watoto wangekuwa shule
kipindi cha kiangazi, wasingerudi nyuma,
04:24
but traditionaljadi summermajira ya joto schoolshule
is poorlyvibaya designediliyoundwa.
93
252000
2320
lakini shule ya kiangazi iliyozoeleka
imeundwa vibaya.
04:26
For kidswatoto it feelsanahisi like punishmentadhabu,
94
254920
2056
Kwa watoto inaonekana kama adhabu,
04:29
and for teacherswalimu
it feelsanahisi like babysittingbabysitting.
95
257000
2040
na kwa walimu inaonekana kama uyaya.
04:32
But how can we expectwanatarajia principalswakuu wa
to executekutekeleza an effectiveufanisi summermajira ya joto programprogramu
96
260320
4016
Lakini tunatarajia vipi walimu wakuu
kutekeleza programu madhubuti ya kiangazi
04:36
when the schoolshule yearmwaka
endshuisha the last weekwiki of JuneJuni
97
264360
2456
ikiwa mwaka wa shule unaisha
juma la mwisho la Juni
04:38
and then summermajira ya joto schoolshule startskuanza
just one weekwiki laterbaadae?
98
266840
2360
na shule ya kiangazi inaanza
juma moja tu baadaye?
04:41
There just isn't enoughkutosha time
to find the right people,
99
269960
2576
Yaani hakuna wakati wa kutosha
kupata watu sahihi
kuratibu ugavi,
04:44
sortfanya out the logisticsvifaa,
100
272560
1256
04:45
and designkubuni an engagingkushiriki curriculummtaala
that exciteshuvutia kidswatoto and teacherswalimu.
101
273840
4200
na kuunda mtaala mahsusi
unaowavutia watoto na walimu.
04:51
But what if we createdimeundwa a programprogramu
over the summermajira ya joto
102
279760
3976
Lakini vipi kama tungetengeneza
programu ya kiangazi
04:55
that empoweredimetumiwa nguvu teacherswalimu
as teachingkufundisha coachesmakocha
103
283760
3696
ambayo ingewapa nguvu walimu
kama makocha wa kufundisha
04:59
to developkuendeleza aspiringanatamani educatorsWaelimishaji?
104
287480
2000
kuendeleza waelimishaji watarajiwa?
05:02
What if we empoweredimetumiwa nguvu
college-educatedelimu ya Chuo rolejukumu modelsmifano
105
290720
2736
Vipi kama tungewawezesha
wasomi wa chuo wa mfano
05:05
as teachingkufundisha fellowswenzake
106
293480
1280
kuwa wakufunzi wenza
05:07
to help kidswatoto realizekutambua
theirwao collegechuo ambitionsmatarajio?
107
295560
2536
kuwasaidia watoto kutambua
matarajio yao ya chuo?
05:10
What if empoweredimetumiwa nguvu high-achievingsekondari kufikia kidswatoto
108
298120
2256
Vipi kama tungewawezesha
watoto wenye ufaulu mkubwa kuwa washauri
05:12
as mentorswashauri to tutormkufunzi theirwao youngermdogo peersrika
109
300400
3416
kuwafundisha vijana wenzao
05:15
and inspirekuhamasisha them
to investwekeza in theirwao educationelimu?
110
303840
2320
na kuwahamasisha
kuwekeza katika elimu yao?
05:19
What if we empoweredimetumiwa nguvu all kidswatoto as scholarswasomi,
111
307640
3736
Vipi kama tungewawezesha watoto wote
kama wasomi,
05:23
askedaliuliza them what collegesvyuo vikuu
they were going to,
112
311400
3216
tukiwauliza ni vyuo gani
wangependa kwenda,
05:26
designediliyoundwa a summermajira ya joto schoolshule
they want to attendkuhudhuria
113
314640
2960
tukiunda shule ya kiangazi
wanayotaka kwenda
05:30
to completelykabisa eliminatekuondoa
the summermajira ya joto learningkujifunza losskupoteza
114
318400
2536
kuondoa kabisa upotevu wa elimu
kipindi cha kiangazi
05:32
and closekaribu two-thirdstheluthi mbili
of the achievementmafanikio gappengo?
115
320960
2200
na kufunga theluthi mbili
ya pengo la ufaulu?
05:37
By this summermajira ya joto, my teamtimu will have servedaliwahi
over 4,000 low-incomekipato cha chini childrenwatoto,
116
325280
4616
Kiangazi hiki, timu yangu itakuwa imehudum
ia zaidi ya watoto 4,000 wa kaya maskini,
05:41
trainedwamefundishwa over 300 aspiringanatamani teacherswalimu
117
329920
2936
imefundisha zaidi ya walimu watarajiwa 300
05:44
and createdimeundwa more than 1,000 seasonalmsimu jobskazi
118
332880
2296
na kuunda zaidi ya kazi 1,000 za msimu
05:47
acrosskote some of NewMpya YorkYork City'sWa mji
mostwengi disadvantagedmapungufu neighborhoodsvitongoji.
119
335200
3040
katika baadhi ya vitongoji vilivyo nyuma
vya jiji la New York
05:51
(ApplauseMakofi)
120
339000
3800
(Makofi na Vifijo)
05:56
And our kidswatoto are succeedingkufanikiwa.
121
344840
2336
Na watoto wetu wanafanikiwa
05:59
Two yearsmiaka of independenthuru evaluationsTathmini
122
347200
1976
Miaka miwili ya uthamini binafsi
inatuambia kuwa watoto wetu
wameondoa upotevu wa elimu wa kiangazi
06:01
tell us that our kidswatoto
eliminatekuondoa the summermajira ya joto learningkujifunza losskupoteza
123
349200
2936
06:04
and make growthukuaji of one monthmwezi in mathmath
124
352160
2176
na wameongeza mwezi mmoja kwenye Hisabati
06:06
and two monthsmiezi in readingkusoma.
125
354360
1240
na miezi miwili kwenye kusoma.
Kwa hiyo badala ya kurudi shule kipindi
cha vuli wakiwa miezi mitatu nyuma,
06:08
So insteadbadala yake of returningkurudi to schoolshule
in the fallkuanguka threetatu monthsmiezi behindnyuma,
126
356200
3496
06:11
they now go back fournne monthsmiezi aheadmbele in mathmath
127
359720
2640
sasa hivi wanarudi wakiwa
miezi minne mbele kwenye Hisabati
06:15
and fivetano monthsmiezi aheadmbele in readingkusoma.
128
363560
2056
na miezi mitano mbele kwenye kusoma.
06:17
(ApplauseMakofi)
129
365640
3400
(Makofi na Vifijo)
06:24
TenKumi yearsmiaka agoiliyopita, if you would have told me
130
372760
1936
Miaka 10 iliyopita, kama ungeniambia
06:26
that I'd graduateHitimu in the topjuu 10 percentasilimia
of my classdarasa from an IvyIvy LeagueLigi institutiontaasisi
131
374720
4176
kuwa ningehitimu katika 10% bora ya
darasa langu kutoka taasisi ya Ivy League
06:30
and have an opportunitynafasi to make a dentdent
on our publicumma educationelimu systemmfumo
132
378920
3976
na kuwa na fursa ya kubadilisha japo
kiduchu tu mfumo wetu wa elimu ya umma
06:34
just by tacklingkukabiliana na two monthsmiezi
of the calendarKalenda yearmwaka,
133
382920
3040
kwa kukabiliana na miezi miwili tu
ya mwaka wa kalenda,
06:38
I would have said,
134
386680
1736
ningesema,
06:40
"NahLa. No way."
135
388440
2120
"Hapana, haiwezekani"
06:43
What's even more excitingkusisimua
136
391720
1496
Cha kusisimua ziaidi
06:45
is that if we can preventkuzuia
fivetano monthsmiezi of lostpotea time
137
393240
3176
ni kuwa kama tunaweza kuzuia
miezi mitano ya upotevu wa muda
06:48
just by redesigningredesigning two monthsmiezi,
138
396440
1960
kwa kuunda upya miezi miwili
06:51
imaginefikiria the possibilitiesuwezekano
that we can unlockkufungua
139
399480
2656
fikiria fursa tunazoweza kufumbua
06:54
by tacklingkukabiliana na the restpumzika of the calendarKalenda yearmwaka.
140
402160
2560
kwa kukabiliana na miezi yote iliyobaki
ya mwaka wa kalenda
06:58
Thank you.
141
406160
1216
Asanteni
06:59
(ApplauseMakofi)
142
407400
4661
(Makofi na Vifijo)
Translated by Clarence Bitegeko
Reviewed by Nelson Simfukwe

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Karim Abouelnaga - Education entrepreneur
Karim Abouelnaga is working to provide kids with access to high-quality academic summer programming.

Why you should listen

Karim Abouelnaga wants to eliminate summer learning loss in kids and give them a fair chance at realizing their life ambitions. After experiencing the struggle to succeed in under-resourced urban public schools, he was lucky enough to benefit from nonprofits that provided him with great mentors, receiving over $300,000 in scholarships to make his college education possible. Abouelnaga is the founder and CEO of the benefit corporation Practice Makes Perfect, a full-service summer school operator that uses a "near-peer" learning model to drive academic outcomes for thousands of low-income children.

Abouelnaga is a regular contributor for Entrepreneur and Forbes, a co-founder of Gentlemen Ventures, a TED Fellow, Global Shaper and Echoing Green Fellow. He was named to Forbes' 30 under 30 in Education. In 2016 Richtopia ranked him in the top five of most influential entrepreneurs in the world under 25. Abouelnaga graduated from Cornell University with a degree in hotel administration in 2013.

Reach Karim here: karimted@practicemakesperfect.org.

More profile about the speaker
Karim Abouelnaga | Speaker | TED.com