ABOUT THE SPEAKER
Nora McInerny - Author, podcast host
Nora McInerny makes a living talking to people about life's hardest moments.

Why you should listen

Nora McInerny speaks from experience and empathy, having lost her second baby, her father and her husband over the course of six weeks at age 31. She is the best-selling author of the memoir It’s Okay To Laugh, Crying Is Cool Too, the host of the award-winning podcast "Terrible, Thanks for Asking" and the founder of the nonprofit Still Kickin. She contributes words to Elle, Cosmopolitan, Buzzfeed, Time, Slate and Vox, where she's often tapped for her essays highlighting the emotional landscape and humor in complex topics, like the financial impacts of healthcare and grief in a digital age.

McInerny is a master storyteller known for her dedication to bringing heart and levity to the difficult and uncomfortable conversations most of us try to avoid, and also for being very tall. She was voted "Most Humorous" by the Annunciation Catholic School Class of 1998.

More profile about the speaker
Nora McInerny | Speaker | TED.com
TEDWomen 2018

Nora McInerny: We don't "move on" from grief. We move forward with it

Nora Mclnerny: "Hatusongi mbele" kwenye maombolezo. Tunaendelea nayo mbele

Filmed:
3,856,087 views

Kwenye maongezi ambayo yanapishana kwa kusikitisha na kuchekesha, mwandishi na mwanapodikasti Nora Mclnerny anashirikisha busara yake iliyopatikana kwa shida kuhusu maisha na kifo. Mtazamo wake wa wazi kwenye kitu ambacho, kwa kweli, kitatuathiri wote, ambacho ni huru na ni kigumu. Kwa nguvu zaidi, anatusisitizia kubadili jinsi tunavyoona maombolezo. "Mtu anaeomboleza ataenda kucheka na kutabasamu tena," anasema. "Wataenda kusonga mbele. Lakini haimaanishi wameendelea mbele."
- Author, podcast host
Nora McInerny makes a living talking to people about life's hardest moments. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:12
So, 2014 was a bigkubwa yearmwaka for me.
0
896
2541
Mwaka 2014 ulikua ,mkubwa kwangu.
00:15
Do you ever have that,
1
3461
1166
Ulishawahi kuwa na hio,
00:16
just like a bigkubwa yearmwaka, like a bannerBango yearmwaka?
2
4651
2245
kama tu mwaka mkubwa, kama mwaka bango?
00:19
For me, it wentakaenda like this:
3
7198
1437
Kwangu, ulienda hivi:
00:20
OctoberOktoba 3, I lostpotea my secondpili pregnancymimba.
4
8659
3299
Oktoba 3, nilipoteza ujauzito wangu wa
pili.
00:23
And then OctoberOktoba 8, my dadbaba diedalikufa of cancerkansa.
5
11982
3095
Halfu Oktoba 3, baba yangu alifariki kwa
saratani.
00:27
And then on NovemberNovemba 25,
my husbandmume AaronHaruni diedalikufa
6
15101
2770
Halafu tena Novemba 25,
mme wangu Aaron alifariki
00:29
after threetatu yearsmiaka
with stage-fourhatua na nne glioblastomaglioblastoma,
7
17895
2778
baada ya miaka mitatu
ya hatua ya nne ya glioblastoma,
00:32
whichambayo is just a fancydhana wordneno
for brainubongo cancerkansa.
8
20697
2435
ambalo ni neno la mbwembwe
la saratani ya ubongo.
00:36
So, I'm funfuraha.
9
24822
1150
Hivyo, nina vichekesho.
00:38
(LaughterKicheko)
10
26639
1373
(Kicheko)
00:40
People love to invitekumka me out all the time.
11
28036
3841
Watu wanapenda kunialika sehemu kila mara.
00:43
PackedPacked socialkijamii life.
12
31901
1406
Maingiano kibao.
00:45
UsuallyKawaida, when I talk
about this periodkipindi of my life,
13
33331
3064
Kawaida, ninapoongelea
hiki kipindi cha maisha yangu,
00:48
the reactionmajibu I get is essentiallykimsingi:
14
36419
3214
majibu ninayopata kimsingi ni:
00:51
(SighsKuangalia)
15
39657
1935
(Mhemo)
00:53
"I can't -- I can't imaginefikiria."
16
41616
1860
"Siwezi -- siwezi kufikiria."
00:57
But I do think you can.
17
45061
1534
Lakini ninafikiri unaweza.
00:59
I think you can.
18
47696
1151
Ninafikiri unaweza.
01:00
And I think that you should
19
48871
1367
Na ninafikiri kua unatakiwa
01:02
because, somedaysiku moja,
it's going to happenkutokea to you.
20
50262
2617
kwa sababu, siku moja,
itakutokea wewe.
01:04
Maybe not these specificz zara losseshasara
in this specificz zara orderamri or at this speedkasi,
21
52903
4658
Labda sio hizi hasara kabisa
kwenye namna hii maalum au kwa kazi hii,
01:09
but like I said, I'm very funfuraha
22
57585
1390
ila nimesema, nina vichekesho
01:10
and the researchutafiti
that I have seenkuonekana will stunjihadi you:
23
58999
3697
na utafiti nilioona
utakushangaza:
01:14
everyonekila mtu you love has
a 100 percentasilimia chancenafasi of dyingkufa.
24
62720
3610
kila mtu unaempenda ana
nafasi asilimia 100 ya kufa.
01:18
(LaughterKicheko)
25
66354
2596
(Kicheko)
01:20
And that's why you camealikuja to TEDTED.
26
68974
1571
Na ndio maana ukaja TED.
01:22
(LaughterKicheko)
27
70569
2062
(Kicheko)
01:24
(ApplauseMakofi)
28
72655
3312
(Makofi)
01:28
So, sincetangu all of this losskupoteza happenedkilichotokea,
29
76292
1730
Tangu hasara yote ilivyonitokea,
01:30
I've madealifanya it a careerkazi
to talk about deathkifo and losskupoteza,
30
78046
4293
nimefanya kazi kuongelea kuhusu kifo na
hasara,
01:34
not just my ownmwenyewe,
because it's prettynzuri easyrahisi to recapukumbusho wa ufunguo cheo,
31
82363
2420
sio yangu tu,
kwa sababu ni rahisi kukumbuka,
01:36
but the losseshasara and tragediesmajanga
that other people have experienceduzoefu.
32
84807
4046
lakini hasara na mikasa
ambayo watu wengine wamepitia.
01:40
It's a nicheniche, I have to say.
33
88877
2339
Ni sehemu, naweza kusema.
01:43
(LaughterKicheko)
34
91240
1741
(Kicheko)
01:45
It's a smallndogo nicheniche,
and I wishunataka I madealifanya more moneyfedha, but ...
35
93005
3099
Ni sehemu ndogo, na natamani
ningekua na hela nyingi, lakini ...
01:48
(LaughterKicheko)
36
96128
1330
(Kicheko)
01:49
I've writtenimeandikwa some very upliftingkukuza booksvitabu,
37
97482
3111
Nimeandika vitabu vya kuinua kweli,
01:52
hostmwenyeji a very upliftingkukuza podcastpodcast,
I startedilianza a little nonprofitmashirika yasiyo ya faida.
38
100617
3693
nikaendesha podikasti ya kuinua sana,
nikaanzaisha shirika lisilo la serikali.
01:56
I'm just tryingkujaribu to do what I can
39
104334
1600
Ninajaribu tu kufanya ninachoweza
01:57
to make more people comfortablevizuri
with the uncomfortablewasiwasi,
40
105958
3524
kufanya watu wengi zaidi wafarijike
kwenye hali zilizo ngumu,
02:01
and griefhuzuni is so uncomfortablewasiwasi.
41
109506
2134
na majonzi ni magumu sana.
02:04
It's so uncomfortablewasiwasi,
especiallyhasa if it's someonemtu else'smwingine griefhuzuni.
42
112014
3817
Ni magumu sana, haswa
kama ni majonzi ya mtu mwingine.
02:09
So partsehemu of that work is this groupkikundi
that I startedilianza with my friendrafiki MoeMoe,
43
117323
4222
Basi sehemu ya hio kazi ni hili kundi
nililoanzisha na rafiki yangu Moe,
02:13
who is alsopia a widowmjane;
44
121569
1222
ambae pia ni mjane;
02:14
we call it the HotMoto YoungYoung WidowsWajane ClubKlabu.
45
122815
2535
tunaliita Chama cha Wajane Wadogo Wakali.
02:17
(LaughterKicheko)
46
125374
1374
(Kicheko)
02:18
And it's realhalisi, we have membershipuanachama cardskadi
47
126772
2475
Na ni ukweli, tuna kadi za uwanachama
02:21
and T-shirtsT-shirt.
48
129271
1373
na tisheti.
02:23
And when your personmtu dieshufa,
your husbandmume, wifemke, girlfriendmpenzi, boyfriendmpenzi,
49
131272
3680
Na pale mtu wako akifariki,
mmeo, mke, mchumba,
02:26
literallyhalisi don't carehuduma if you were marriedndoa,
50
134976
1991
hatujali kabisa kama ulikua kwenye ndoa,
02:28
your friendsmarafiki and your familyfamilia
are just going to look around
51
136991
2751
marafiki zako na familia yako
watakua tu wanaangalia
02:31
throughkupitia friendsmarafiki of friendsmarafiki
of friendsmarafiki of friendsmarafiki
52
139766
2356
kwa marafiki wa marafiki
wa marafiki wa marafiki
02:34
untilmpaka they find someonemtu
who'snani gonewamekwenda throughkupitia something similarsawa,
53
142146
2864
mpaka wapate mtu
ambae amepitia hali inayofanana,
02:37
and then they'llwatakuja pushkushinikiza you
towardskuelekea eachkila mmoja other
54
145034
2361
halafu watawasukuma
mje pamoja
02:39
so you can talk amongstmiongoni mwa yourselvesninyi wenyewe
and not get your sadhuzuni on other people.
55
147419
4367
ili muongee miongoni mwenu na msiwe
na masikitiko kwa watu wengine.
02:43
(LaughterKicheko)
56
151810
2159
(Kicheko)
02:45
So that's what we do.
57
153993
1401
Basi ndicho tunachofanya.
02:47
It's just a seriesmfululizo of smallndogo groupsvikundi,
58
155418
3492
Ni mfululizo tu wa makundi madogo,
02:50
where menwatu, womenwanawake, gaymashoga, straightsawa,
marriedndoa, partneredushirikiano,
59
158934
3549
ambapo wanaume, wanawake, mashoga, wa
kawaida, wanandoa, wenye wenza,
02:54
can talk about theirwao deadwamekufa personmtu,
60
162507
4269
wanaweza kuongelea kuhusu mtu wao
aliyekufa,
02:58
and say the things
61
166800
1246
na kusema vile vitu
03:00
that the other people in theirwao livesanaishi
aren'tsio readytayari or willingtayari to hearkusikia yetbado.
62
168070
3719
ambavyo mtu mwingine kwenye maisha yao
hayuko tayari kuvisikia bado.
03:03
HugeKubwa rangembalimbali of conversationsmazungumzo.
63
171813
2478
Eneo kubwa la mazungumzo.
03:06
Like, "My husbandmume diedalikufa two weekswiki agoiliyopita,
64
174315
1788
Kama, "Mme wangu alikufa wiki mbili
zilizopita,
03:08
I can't stop thinkingkufikiri
about sexngono, is that normalkawaida?"
65
176127
2318
siwezi kuacha kufikiria kuhusu
ngono, ni kawaida?"
03:10
Yeah.
66
178469
1154
Ndio.
03:11
"What if it's one
of the PropertyMali BrothersNdugu?"
67
179647
2049
"Je kama ni mmoja wa
Property Brothers?"
03:13
LessChini normalkawaida, but I'll acceptkukubali it.
68
181720
1546
Kawaida kidogo, ila nitaikubali.
03:15
(LaughterKicheko)
69
183290
3134
(Kicheko)
03:18
Things like, "Look, when I'm out in publicumma
and I see oldzamani people holdingkushikilia handsmikono,
70
186910
3841
Vitu kama, "Ona, nikiwa hadharani na
nikaona wazee wanashikana mikono,
03:22
coupleswanandoa who have clearlywazi
been togetherpamoja for decadesmiongo,
71
190775
2586
wenzi ambao ni wazi wamekua
pamoja kwa miongo,
03:25
and then I look at them and I imaginefikiria
72
193385
2327
halafu ninawaangalia na kuwaza
03:27
all of the things they'vewameweza been
throughkupitia togetherpamoja,
73
195736
2246
vitu vyote ambavyo wamepitia
pamoja,
03:30
the good things, the badmbaya things,
74
198006
1539
vitu vizuri na vitu vibaya,
03:31
the argumentshoja they'vewameweza had
over who should take out the trashtakataka ...
75
199569
3071
ugomvi waliokuanao
kuhusu nani wa kutoa taka ...
03:34
I just find my heartmoyo filledkujazwa with ragehasira."
76
202664
3032
nakuta tu moyo umejawa na hasira."
03:37
(LaughterKicheko)
77
205720
1001
(Kicheko)
03:38
And that examplemfano is personalbinafsi to me.
78
206745
1807
Na huo mfano ni wa pekee kwangu.
03:42
MostWengi of the conversationsmazungumzo
that we have in the groupkikundi
79
210077
3151
Mazungumzo mengi ambayo
tunakuwa nayo kwenye kundi
03:45
can and will just staykaa amongstmiongoni mwa ourselvessisi wenyewe,
80
213252
1977
yanaweza na yanakaa miongoni mwetu,
03:47
but there are things that we talk about
81
215253
1919
lakini kuna vitu tunavyoviongelea
03:49
that the restpumzika of the worldulimwengu --
the worldulimwengu that is grief-adjacenthuzuni karibu
82
217196
3183
ambavyo duniani --
dunia ambayo iko karibu na majonzi
03:52
but not yetbado grief-strickenuliopatwa na huzuni --
83
220403
1514
ila bado haijapigwa na majonzi
03:53
could really benefitfaida from hearingkusikia.
84
221941
1906
inaweza kweli kunufaika kusikia.
03:55
And if you can't tell,
85
223871
1278
Na kama huwezi kusema,
03:57
I'm only interestednia in / capableuwezo
of unscientificmpangili studiestafiti,
86
225173
4380
ninavutiwa/uwezo tu wa
masomo yabbsiyo ya kisayansi,
04:01
so what I did was go to
The HotMoto YoungYoung WidowsWajane ClubKlabu
87
229577
2374
nilienda kwenye
Chama cha Wajane Wadogo Wakali
04:03
and say, "HelloHujambo, friendsmarafiki, rememberkumbuka
when your personmtu diedalikufa?" They did.
88
231975
4610
na kusema, "Habari, marafiki, unakumbuka
mtu wako alivyokufa?" Walikumbuka.
04:08
"Do you rememberkumbuka all the things
people said to you?"
89
236609
2485
"Unakumbuka vitu vyote watu
walikuambia?"
04:11
"Oh, yeah."
90
239118
1171
"Ah, ndio."
04:12
"WhichAmbayo oneswale did you hatechukia the mostwengi?"
91
240313
1763
"Ni vipi ulivyovichukia zaidi?"
04:14
I got a lot of commentsmaoni, lot of answersmajibu,
people say a lot of things,
92
242100
3207
Nilipata maoni mengi, majibu mengi,
watu wanasema vitu vingi,
04:17
but two roseakaondoka to the topjuu prettynzuri quicklyharaka.
93
245331
2600
lakini viwili vilisimama juu haraka sana.
04:20
"MovingKusonga on."
94
248990
1150
"Kusonga mbele."
04:23
Now, sincetangu 2014,
95
251561
2610
Sasa, tangu 2014,
04:26
I will tell you I have remarriedkuoa
a very handsomenzuri man namedjina lake MatthewMathayo,
96
254195
4048
nitakuambia nilifunga ndoa tena na
mwanaume mzuri kweli aitwae Matthew,
04:30
we have fournne childrenwatoto
in our blendedkuchanganywa familyfamilia,
97
258267
3103
tuna watoto wanne
kwenye familia yetu iliyochanganyika,
04:33
we livekuishi in the suburbsmalisho
of MinneapolisMinneapolis, MinnesotaMinnesota, USAUSA.
98
261394
3493
tuniashi kwenye viunga
vya Minneapolis, Minnesota, Marekani.
04:36
We have a rescuekuokoa dogmbwa.
99
264911
1420
Tuna mbwa aliyeokolewa.
04:38
(LaughterKicheko)
100
266355
1307
(Kicheko)
04:39
I drivekuendesha a minivanMinivan,
101
267686
1412
ninaendesha gari la familia,
04:41
like the kindaina where doorsmilango openkufungua
and I don't even touchkugusa them.
102
269122
2816
kama la aina ambayo milango inafunguka
bila hata kuigusa.
04:43
(LaughterKicheko)
103
271962
1184
(Kicheko)
04:45
Like, by any "mezhuremezhure," life is good.
104
273170
3193
Kama, "mezhure" yoyte, maisha ni mazuri.
04:48
I've alsopia never said "mezhuremezhure,"
I've never oncemara moja said it that way.
105
276387
3072
Sijawahi pia kusema "mezhure,"
sijawahi hata mara moja kuisema hivyo.
04:51
(LaughterKicheko)
106
279483
5279
(Kicheko)
04:56
I don't know where that camealikuja from.
107
284786
1651
Sijui hata imetokea wapi.
04:58
(LaughterKicheko)
108
286461
1761
(Kicheko)
05:00
I've never heardkusikia
anyoneyeyote elsemwingine say it that way.
109
288246
2275
Sijawahi kusikia mtu yeyote
akiisema hivyo.
05:02
It looksinaonekana like it should be said that way,
110
290545
1977
Inaonekana kama inapaswa kusemwa hivyo,
05:04
and that's why the EnglishKiingereza
languagelugha is trashtakataka, so ...
111
292546
2557
na ndio sababu lugha ya Kiingereza
ni mbovu, basi ...
05:07
(LaughterKicheko)
112
295127
1054
(Kicheko)
05:08
So impressedhisia with anyoneyeyote
who, like, speaksanasema it
113
296205
2126
Ninavutiwa sana na mtu
ambae anaiongea
05:10
in additionkuongeza to a languagelugha
that makeshufanya sensehisia -- good jobkazi.
114
298355
2873
kuongezea kwenye lugha
inayoeleweka -- kazi nzuri.
05:13
(LaughterKicheko)
115
301252
1992
(Kicheko)
05:15
But by any measurekupima ...
116
303268
1436
Lakini, kwa vyovote vile ...
05:16
(LaughterKicheko)
117
304728
1500
(Kicheko)
05:18
By any measurekupima, life is really,
really good, but I haven'thawana "movedwakiongozwa on."
118
306252
5150
Kwa vyovyote vile, maisha ni mazuri
sana sana, lakini "sijasonga mbele."
05:24
I haven'thawana movedwakiongozwa on,
and I hatechukia that phrasemaneno so much,
119
312085
3024
Sijasonga mbele,
na siupendi kabisa huo msemo,
05:27
and I understandkuelewa why other people do.
120
315133
1791
na ninaelewa kwanini wengine hawaupendi.
05:28
Because what it saysanasema
121
316948
1150
Kwa sababu unachosema
05:30
is that Aaron'sYa Haruni life and deathkifo
and love are just momentswakati
122
318122
4588
ni kua maisha na kifo cha Aaron
na upendo ni wakati tu
05:34
that I can leaveshika behindnyuma me --
and that I probablylabda should.
123
322734
3803
ambao nauweza kuuacha nyuma yangu --
na kua napaswa kufanya hivyo.
05:38
And when I talk about AaronHaruni,
I slipkuingizwa so easilykwa urahisi into the presentsasa tensewakati,
124
326561
4230
Na ninapoongelea kuhusu Aaron,
ninaingia kirahisi kwenye hali halisi,
05:42
and I've always thought
that madealifanya we weirdweird.
125
330815
2556
na nimewaza kweli kua hio inanifanya
wa ajabu.
05:45
And then I noticedniliona that everybodykila mtu does it.
126
333395
2424
Halafu nikagundua kua kila mtu anafanya
hivyo.
05:48
And it's not because we are in denialkukataa
or because we're forgetfulkusahau,
127
336595
4167
Na sio kwa sababu tuna kana
au kwa sababu tunasahau,
05:52
it's because the people
we love, who we'vetumekuwa lostpotea,
128
340786
2261
ni kwa sababu watu
tunaowapenda, tuliowapoteza,
05:55
are still so presentsasa for us.
129
343071
2158
bado ni halisi kwetu sisi.
05:58
So, when I say, "Oh, AaronHaruni is ..."
130
346800
2600
Basi, ninaposema, "Oh, Aaron ni ..."
06:02
It's because AaronHaruni still is.
131
350276
2245
Ni kwa sababu Aaron bado yupo.
06:05
And it's not in the way
that he was before,
132
353831
2040
Na sio kwa namna
alivyokua kabla.
06:07
whichambayo was much better,
133
355895
1183
iliyokua bora zaidi,
06:09
and it's not in the way that churchychurchy
people try to tell me that he would be.
134
357102
3642
na sio namna ambayo watu wa kanisani
wanavyojaribu kuniambia anavyokua.
06:12
It's just that he's indelibleusiofutika haraka,
135
360768
3679
ni kua tu amezimika,
06:17
and so he is presentsasa for me.
136
365411
2636
na hivyo yupo sasa kwangu.
06:20
Here,
137
368610
1150
Hapa,
06:21
he's presentsasa for me in the work that I do,
138
369784
2259
yupo hapa kwenye kazi ninayofanya,
06:24
in the childmtoto that we had togetherpamoja,
139
372067
2608
kwenye mtoto tulionae pamoja,
06:26
in these threetatu other childrenwatoto I'm raisingkuinua,
140
374699
2055
kwenye hawa watoto wengine watatu
ninaolea,
06:28
who never metalikutana him,
who sharekushiriki nonehakuna of his DNADNA,
141
376778
2786
ambao hawajawahi kunuona,
ambao hawana DNA yake,
06:31
but who are only in my life
because I had AaronHaruni
142
379588
3865
lakini wapo kwenye maisha yangu tu
kwa sababu nilikuwa na Aaron
06:35
and because I lostpotea AaronHaruni.
143
383477
1666
na kwa sababu nilimpoteza Aaron.
06:38
He's presentsasa in my marriagendoa to MatthewMathayo,
144
386302
2351
Yupo nami kwenye ndoa yangu na Matthew,
06:40
because Aaron'sYa Haruni life and love and deathkifo
145
388677
3205
kwa sababu maisha na upendo na kifo cha
Aaron
06:43
madealifanya me the personmtu
that MatthewMathayo wanted to marrykuoa.
146
391906
2666
vimenifanya kua mtu ambae
Matthew angetaka kuoa.
06:46
So I've not movedwakiongozwa on from AaronHaruni,
147
394596
4233
Hivyo sijasonga mbele kutoka kwa Aaron,
06:50
I've movedwakiongozwa forwardmbele with him.
148
398853
2841
nimesonga mbele na yeye.
06:56
(ApplauseMakofi)
149
404925
5649
(Makofi)
07:02
We spreadkuenea Aaron'sYa Haruni ashesmajivu
in his favoritefavorite riverMto in MinnesotaMinnesota,
150
410995
4667
Tulisambaza majivu ya Aaron
kwenye mto aupendao huko Minnesota,
07:07
and when the bagmfuko was emptytupu --
151
415686
1507
na pale begi lilipokua tupu --
07:09
because when you're crematedkilichomwa moto,
you fitinafaa into a plasticplastiki bagmfuko --
152
417217
4721
kwa sababu ukiwa umechomwa,
unatoshea kwenye mfuko wa plastiki --
07:13
there were still ashesmajivu
stuckkukwama to my fingersvidole.
153
421962
2920
kulikua na majibu bado
yamebaki kwenye vidole vyangu.
07:16
And I could have just put my handsmikono
in the watermaji and rinsedkuoshwa them,
154
424906
3087
Na ningeingiza tu mikono yangu kwenye
maji na kuisuuza,
07:20
but insteadbadala yake, I lickedwalipoiramba my handsmikono cleansafi,
155
428017
2806
lakini badala lake, nililamba mikono
yangu,
07:23
because I was so afraidhofu of losingkupoteza more
than I had alreadytayari lostpotea,
156
431617
3722
kwa sababu niliogopa kupoteza zaidi
ya nilichopoteza zaidi,
07:27
and I was so desperatetamaa to make sure
that he would always be a partsehemu of me.
157
435363
4063
na nilitamani sana kuhakikisha kua
atakua ni sehemu yangu daima.
07:32
But of coursebila shaka he would be.
158
440371
1733
Lakini bila shaka atakua.
07:34
Because when you watch your personmtu
fillkujaza himselfmwenyewe with poisonsumu for threetatu yearsmiaka,
159
442878
4461
Kwa sababu unapomuona mtu wako
akijijaza na sumu kwa miaka mitatu,
07:39
just so he can staykaa alivehai
a little bitkidogo longertena with you,
160
447363
2660
ili tu aweze kuishi
zaidi kidogo na wewe,
07:42
that staysanakaa with you.
161
450047
1744
hilo linakaa na wewe.
07:45
When you watch him fadefade from the healthyafya
personmtu he was the night you metalikutana
162
453196
4650
Unapomuangalia akififia kutoka kwenye
mtu mwenye afya siku mliokutana
07:49
to nothing, that staysanakaa with you.
163
457870
1583
kuwa sifuri, hiyo inakaa na wewe.
07:51
When you watch your sonmwana,
who isn't even two yearsmiaka oldzamani yetbado,
164
459477
2837
Unapomuangalia mwanao,
amba hata bado hana miaka miwili,
07:54
walktembea up to his father'sbaba bedkitanda
on the last day of his life,
165
462338
2691
akienda kitandani kwa baba yake
siku ya mwisho ya maisha yake,
07:57
like he knowsanajua what's comingkuja
in a fewwachache hoursmasaa,
166
465053
2270
kama vile anajua kinachofuata
masaa machache,
07:59
and say, "I love you. All donekufanyika. ByeKwaheri, byeKwaheri."
167
467347
5016
na kusema, "Nakupenda. Nimemaliza.
Kwaheri."
08:05
That staysanakaa with you.
168
473776
1975
Hiyo inakaa na wewe.
08:09
Just like when you fallkuanguka in love,
finallyhatimaye, like really fallkuanguka in love
169
477347
4690
Kama tu unapopenda,
hatimae, unapopenda kweli
08:14
with someonemtu who getshupata you and seesanaona you
170
482061
2342
mtu anaekuelewa na kukuona
08:16
and you even see, "Oh, my God,
I've been wrongsi sawa this entirenzima time.
171
484427
3097
na unaona pia, "Mungu wangu,
nimekua nikikosea mda wote huu.
08:19
Love is not a contestmashindano
or a realityukweli showonyesha -- it's so quietutulivu,
172
487548
4784
Upendo sio mashindano au
kipindi cha televisheni -- ni ukimya sana,
08:24
it's this invisibleasiyeonekana threadthread of calmutulivu
that connectshuunganisha the two of us
173
492356
3689
ni huu uzi usioonekana wa utulivu
unatuunganisha wawili
08:28
even when everything is chaosmachafuko,
174
496069
1768
hata kama kila kitu kina vurugu,
08:29
when things are fallingkuanguka apartmbali,
even when he's gonewamekwenda."
175
497861
2926
vitu vinapoenda vibaya,
hata kama akiondoka."
08:34
That staysanakaa with you.
176
502474
2269
Hio inakaa na wewe.
08:38
We used to do this thing --
177
506958
1371
Tulikua tunafanya hivi --
08:40
because my handsmikono are always
freezingkufungia and he's so warmjoto,
178
508353
2635
mikono yangu ilikua na
baridi na yeye ana joto,
08:43
where I would take my ice-coldIce-Cold handsmikono
and shoveshove them up his shirtshati ...
179
511012
3412
nilichukua mikono yangu ya barafu
na kuisukuma ndani ya shati lake ...
08:46
pressbonyeza them againstdhidi his hotmoto bodBOD.
180
514886
2009
kuikandamiza kwenye mwili wake mkali.
08:48
(LaughterKicheko)
181
516919
2063
(Kicheko)
08:51
And he hatedkuchukiwa it so much,
182
519405
2515
Na alikua hapendi kabisa,
08:53
(LaughterKicheko)
183
521944
1021
(Kicheko)
08:54
but he lovedkupendwa me,
184
522989
1358
lakini alinipenda,
08:56
and after he diedalikufa,
I laidkuweka in bedkitanda with AaronHaruni
185
524371
4857
na alivyokufa,
nililala kitandani na Aaron
09:01
and I put my handsmikono underneathchini him
186
529252
2404
na nikaweka mikono yangu chini yake
09:05
and I feltwalihisi his warmthjoto.
187
533355
2490
na nikahisi joto lake.
09:10
And I can't even tell you
if my handsmikono were coldbaridi,
188
538374
3507
Na sikuweza hata kusema kama
mikono yangu ilikua na baridi,
09:13
but I can tell you
189
541905
1556
lakini ninaweza kuwaambia
09:15
that I knewalijua it was the last time
I would ever do that.
190
543485
2928
kua nilijua ilikua mara ya mwisho
ningeweza kufanya hivyo.
09:20
And that that memorykumbukumbu
is always going to be sadhuzuni.
191
548209
3200
Na hio kumbukumbu
itakua ya kusikitisha daima.
09:23
That memorykumbukumbu will always hurtkuumiza.
192
551733
1933
Hio kumbukumbu itauma daima.
09:26
Even when I'm 600 yearsmiaka oldzamani
and I'm just a hologramhologramu.
193
554051
2844
Hata kama nikiwa na miaka 600
na ni hologramu tu.
09:28
(LaughterKicheko)
194
556919
2277
(Kicheko)
09:32
Just like the memorykumbukumbu of meetingmkutano him
is always going to make me laughCheka.
195
560204
5693
Kama tu kumbukumbu ya kukutana nae
itanifanya nicheke daima.
09:39
GriefHuzuni doesn't happenkutokea in this vacuumutupu,
196
567860
1794
Maombolezo hayatokei kwenye huu
utupu,
09:41
it happenshutokea alongsidesambamba na of and mixedmchanganyiko in
with all of these other emotionshisia.
197
569678
6468
yanatokea pamoja na na ikichanganyika
na hisia zote hizi nyingine.
09:50
So, I metalikutana MatthewMathayo, my currentsasa husbandmume --
198
578024
4548
Hivyo, nikakutana na Matthew, mme wangu wa
sasa --
09:54
who doesn't love that titlecheo,
199
582596
1872
ambae hapendi hicho cheo,
09:56
(LaughterKicheko)
200
584492
3778
(Kicheko)
10:00
but it's so accuratesahihi.
201
588713
1476
lakini ni sawa kabisa.
10:02
(LaughterKicheko)
202
590213
2610
(Kicheko)
10:05
I metalikutana MatthewMathayo, and ...
203
593935
2348
Nilikutana na Matthew, na ...
10:09
there was this audibleaudible sighkushusha pumzi of reliefmisaada
amongmiongoni mwa the people who love me,
204
597577
3331
kulikua na hii pumzi ya wazi ya faraja
kati ya watu wanaonipenda,
10:12
like, "It's over!
205
600932
2422
kama, "Imekwisha!
10:16
She did it.
206
604680
1150
Ameweza.
10:19
She got a happyfuraha endingkuishia,
we can all go home.
207
607069
2468
Amepata mwisho mzuri,
tunaweza kurudi nyumbani sasa.
10:21
And we did good."
208
609561
2001
Na tumefanya vizuri."
10:23
And that narrativemaelezo
is so appealingrufaa even to me,
209
611586
3023
Na hio hadithi inafaa hata
hata kwangu,
10:26
and I thought maybe
I had gottenimepata that, too, but I didn't.
210
614633
3842
na nikawaza labda nimeipata
hio pia, lakini haikua hivyo.
10:30
I got anothermwingine chaptersura.
211
618499
2538
Nilipata sura nyingine.
10:33
And it's suchvile a good chaptersura --
I love you, honeyasali --
212
621061
3945
Na ni sura nzuri sana --
nakupenda, mpenzi --
10:37
it's suchvile a good chaptersura.
213
625030
1745
ni sura nzuri sana.
10:39
But especiallyhasa at the beginningmwanzo,
it was like an alternatembadala universeulimwengu,
214
627419
3861
Tena haswahaswa mwanzoni,
ilikua kama ulimwengu mbadala,
10:43
or one of those oldzamani "choosechagua your
ownmwenyewe adventureadventure" booksvitabu from the '80s
215
631304
3158
au moja ya vile vitabu ya zamani vya
"chagua shani yako" vya miaka ya 80
10:46
where there are two parallelsambamba plotnjama linesmistari.
216
634486
1928
ambapo kuna mistari miwili sambamba.
10:48
So I openedkufunguliwa my heartmoyo to MatthewMathayo,
217
636438
1594
Nikafungua moyo wangu kwa
Matthew,
10:50
and my brainubongo was like,
"Would you like to think about AaronHaruni?
218
638056
3764
na ubongo wangu ukawa,
"Ungependa kumfikiria Aaron?
10:54
Like, the pastzilizopita, the presentsasa, futurebaadaye,
just get in there," and I did.
219
642409
4000
Kama zamani, sasa, mbeleni,
ingia tu huko," na nilifanya hivyo.
10:59
And all of a suddenghafla,
those two plotsviwanja were unfurlingunfurling at oncemara moja,
220
647052
3089
Na ghafla,
hiyo mistari miwili ilifunguka kwa pamoja,
11:02
and fallingkuanguka in love with MatthewMathayo
really helpedimesaidia me realizekutambua the enormityukubwa
221
650165
3587
na kupendana na Matthew kumenisaidia
sana kugundua ukubwa
11:05
of what I lostpotea when AaronHaruni diedalikufa.
222
653776
2066
wa nilichopoteza Aaron alivyofariki.
11:09
And just as importantlymuhimu,
223
657680
1163
Na ilivyo muhimu,
11:10
it helpedimesaidia me realizekutambua
that my love for AaronHaruni
224
658867
3750
ilinisaidia kugundua kua upendo wangu
kwa Aaron
11:14
and my griefhuzuni for AaronHaruni,
225
662641
2111
na maombolezo yangu kwa Aaron,
11:16
and my love for MatthewMathayo,
are not opposingkupinga forcesmajeshi.
226
664776
4531
na upendo wangu kwa Matthew,
sio nguvu za kupishana.
11:22
They are just strandskuachwa to the samesawa threadthread.
227
670680
2800
Ni sehemu tu za uzi mmoja
11:26
They're the samesawa stuffvitu.
228
674111
1533
Ni vitu sawa sawa.
11:30
I'm ... what would my parentswazazi say?
229
678000
3246
Wazazi wangu wangesemaje?
11:33
I'm not specialMaalum.
230
681270
1539
Mimi sio wa pekee.
11:35
(LaughterKicheko)
231
683645
1015
(Kicheko)
11:36
They had fournne kidswatoto,
they were like ... franklykusema ukweli.
232
684684
2536
Walikua na watoto wanne,
walikua kama ... wa kweli.
11:39
(LaughterKicheko)
233
687244
1785
(Kicheko)
11:41
But I'm not, I'm not specialMaalum.
234
689053
1768
Lakini mimi sio, mimi sio wa pekee.
11:42
I know that, I'm fullykikamilifu awarekufahamu
235
690845
2058
Ninajua hilo, ninajua vizuri
11:44
that all day, everykila day,
all around the worldulimwengu,
236
692927
2507
kua siku nzima, kila siku
duniani kote,
11:47
terriblembaya things are happeningkinachotokea.
237
695458
1778
vitu vibaya vinatokea.
11:49
All the time.
238
697260
1151
Kila mara.
11:50
Like I said, funfuraha personmtu.
239
698435
1745
Kama nilivyosema, mtu mcheshi.
11:52
But terriblembaya things are happeningkinachotokea,
240
700204
2486
Lakini vitu vibaya vinatokea,
11:54
people are experiencinginakabiliwa deeplykwa undani formativemajaliwa
and traumaticmshtuko losseshasara everykila day.
241
702714
6394
watu wanapata hasara za kina na mbaya
kila siku.
12:01
And as partsehemu of my jobkazi,
242
709132
2588
Na kama sehemu ya kazi yangu,
12:03
this weirdweird podcastpodcast that I have,
243
711744
1682
hii podikasti ya ajabu niliyonayo,
12:05
I sometimesmara nyingine talk to people
244
713450
1248
kuna mda ninaongea na watu
12:06
about the worstmbaya zaidi thing
that's ever happenedkilichotokea to them.
245
714722
2984
kuhusu kitu kibaya
kilichowahi kuwatokea.
12:09
And sometimesmara nyingine, that's the losskupoteza
of someonemtu they love,
246
717730
3031
Na saa nyingine, hio ni
kupotelewa na mpendwa,
12:12
sometimesmara nyingine dayssiku agoiliyopita or weekswiki agoiliyopita,
yearsmiaka agoiliyopita, even decadesmiongo agoiliyopita.
247
720785
4690
mara nyingine siku, wiki miaka
au miongo iliyopita.
12:18
And these people that I interviewmahojiano,
248
726373
2530
Na hawa watu ninaowahoji,
12:20
they haven'thawana closedimefungwa themselveswenyewe
around this losskupoteza
249
728927
2308
hawajajifungia wenyewe
kwenye hii hasara
12:23
and madealifanya it the centerkituo of theirwao livesanaishi.
250
731259
2350
na kuifanya sehemu kuu ya maisha yao.
12:25
They'veWao wameweza livedaliishi, theirwao worldsulimwengu
have keptimehifadhiwa spinninginazunguka.
251
733911
4301
Wameishi, dunia zao
zimeendelea kuzunguka.
12:31
But they're talkingkuzungumza to me,
a totaljumla strangermgeni,
252
739478
3142
Lakini wanaongea na mimi,
mgeni kabisa,
12:34
about the personmtu they love who has diedalikufa,
253
742644
1935
kuhusu mtu wanaempenda aliyekufa,
12:36
because these are the experiencesuzoefu
254
744603
3140
kwa sababu hivi ndivyo vitu tunavyopitia
12:39
that markalama us and make us
just as much as the joyfulfuraha oneswale.
255
747767
5087
vinavyotuonyesha na kutufanya
kama tu wale wenye furaha.
12:45
And just as permanentlykabisa.
256
753355
1857
Na kama ilivyo ya kudumu.
12:48
Long after you get your last sympathyhuruma cardkadi
257
756895
2571
Baadae baada ya kupata kadi yako
ya mwisho ya huruma
12:51
or your last hotmoto dishsahani.
258
759490
1467
au pishi la moto la mwisho.
12:53
Like, we don't look
at the people around us
259
761546
2031
Kama, hatuangalii watu
wanaotuzunguka
12:55
experiencinginakabiliwa life'smaisha joysfuraha and wondersmaajabu
and tell them to "movehoja on," do we?
260
763601
4499
wakipitia furaha na maajabu ya maisha
na kuwaambia "wasonge mbele", ndio?
13:00
We don't sendtuma a cardkadi that's like,
"CongratulationsHongera on your beautifulnzuri babymtoto,"
261
768124
3556
Hatutumi kadi ambazo zinasema
"Hongera kwa mtoto mzuri,"
13:03
and then, fivetano yearsmiaka laterbaadae, think like,
"AnotherMwingine birthdaysiku ya kuzaliwa partychama? Get over it."
262
771704
3691
halafu, miaka mitano baadae, tunawaza,
"Sherehe nyingine ya kuzaliwa? Acha hizo."
13:07
(LaughterKicheko)
263
775419
1666
(Kicheko)
13:09
Yeah, we get it, he's fivetano.
264
777109
1659
Ndio, tunaelewa, ana miaka mitano.
13:10
(LaughterKicheko)
265
778792
1428
(Kicheko)
13:12
WowWOW.
266
780244
1174
Wow.
13:13
(LaughterKicheko)
267
781442
1150
(Kicheko)
13:16
But griefhuzuni is kindaina of one of those things,
268
784148
2016
Lakini maombolezo ni moja ya vile vitu,
13:18
like, fallingkuanguka in love or havingkuwa na a babymtoto
or watchingkuangalia "The WireWaya" on HBOHBO,
269
786188
3779
kama kupenda au kuwa na mtoto
au kuangalia "The Wire" kwenye HBO,
13:21
where you don't get it
untilmpaka you get it, untilmpaka you do it.
270
789991
4082
ambapo hauelewi
mpaka upate, mpaka ufanye.
13:27
And oncemara moja you do it,
oncemara moja it's your love or your babymtoto,
271
795219
5303
Na punde unavyofanya,
punde ni mpenzi wako au mtoto wako,
13:32
oncemara moja it's your griefhuzuni
and your frontmbele rowmstari at the funeralmazishi,
272
800546
5190
punde ni maombolezo yako
na uko mstari wa mbele kwenye msiba,
13:37
you get it.
273
805760
1150
unaelewa.
13:39
You understandkuelewa what you're experiencinginakabiliwa
is not a momentwakati in time,
274
807315
4136
Unaelewa unachopitia sio
sehemu ya mda,
13:43
it's not a bonemfupa that will resetWeka upya,
275
811475
1942
sio mfupa kua utajirudi,
13:45
but that you've been touchedkuguswa
by something chronicsugu.
276
813441
2866
lakini kua umeguswa na kitu kikali.
13:48
Something incurableincurable.
277
816919
1198
Kitu kisichotibika.
13:50
It's not fatalmbaya, but sometimesmara nyingine
griefhuzuni feelsanahisi like it could be.
278
818141
2856
Hakiui, lakini saa nyingine
yanakua kama yanaweza.
13:55
And if we can't preventkuzuia it in one anothermwingine,
279
823269
3579
Na kama hatuwezi kuzuia miongoni mwetu,
13:58
what can we do?
280
826872
1317
nini tunaweza kufanya?
14:02
What can we do other than try
to remindkukumbusha one anothermwingine
281
830554
4320
Nini tunaweza kufanya zaidi ya
kukumbushiana
14:06
that some things can't be fixedimara,
282
834898
2706
kua vitu vingine havirekebishiki,
14:10
and not all woundsmajeraha are meantmaana yake to healkuponya?
283
838136
3182
na sio kila kidonda kinapaswa kupona.
14:14
We need eachkila mmoja other to rememberkumbuka,
284
842493
3191
Tunahitajiana kukumbuka,
14:17
to help eachkila mmoja other rememberkumbuka,
285
845708
1762
kusaidiana kukumbuka,
14:19
that griefhuzuni is this multitaskingmultitasking emotionhisia.
286
847494
2769
kua maombolezo ni hisia ya mambo mengi.
14:22
That you can and will be sadhuzuni, and happyfuraha;
you'llutasikia be grievingkuhuzunisha, and ableinaweza to love
287
850287
5797
Kua unaweza na utakua na huzuni, na
furaha; utaomboleza na kupenda
14:28
in the samesawa yearmwaka or weekwiki, the samesawa breathpumzi.
288
856108
3239
kwenye mwaka au wiki au pumzi hio hio.
14:32
We need to rememberkumbuka that a grievingkuhuzunisha personmtu
is going to laughCheka again and smiletabasamu again.
289
860982
5722
Tunahitaji kukumbuka kua mtu anaeomboleza
ataenda kucheka na kutabasamu tena.
14:39
If they're luckybahati,
they'llwatakuja even find love again.
290
867498
3200
Wakibahatika,
wanaweza hata kupenda tena.
14:43
But yes, absolutelykabisa,
they're going to movehoja forwardmbele.
291
871697
3466
Lakini ndio, hakika
wataenda kusonga mbele.
14:48
But that doesn't mean
that they'vewameweza movedwakiongozwa on.
292
876071
3000
Lakini hiyo haimaanishi kua
wameendelea mbele.
14:52
Thank you.
293
880253
1159
Asanteni.
14:53
(ApplauseMakofi)
294
881436
6642
(Makofi)
Translated by Doris Mangalu
Reviewed by Julie Mbeyella

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Nora McInerny - Author, podcast host
Nora McInerny makes a living talking to people about life's hardest moments.

Why you should listen

Nora McInerny speaks from experience and empathy, having lost her second baby, her father and her husband over the course of six weeks at age 31. She is the best-selling author of the memoir It’s Okay To Laugh, Crying Is Cool Too, the host of the award-winning podcast "Terrible, Thanks for Asking" and the founder of the nonprofit Still Kickin. She contributes words to Elle, Cosmopolitan, Buzzfeed, Time, Slate and Vox, where she's often tapped for her essays highlighting the emotional landscape and humor in complex topics, like the financial impacts of healthcare and grief in a digital age.

McInerny is a master storyteller known for her dedication to bringing heart and levity to the difficult and uncomfortable conversations most of us try to avoid, and also for being very tall. She was voted "Most Humorous" by the Annunciation Catholic School Class of 1998.

More profile about the speaker
Nora McInerny | Speaker | TED.com