English-Video.net comment policy

The comment field is common to all languages

Let's write in your language and use "Google Translate" together

Please refer to informative community guidelines on TED.com

TEDGlobal 2017

Peter Ouko: From death row to law graduate

Peter Ouko: Kutoka hukumu ya kifo mpaka mhitimu wa sheria

Filmed:
949,914 views

Peter Ouko alitumikia miaka 18 katika jela ya Kamiti, muda mwingine alikuwa akifungwa katika chumba cha jela na watu wazima 13 kwa masaa 23 na nusu kwa siku. Katika hotuba hii endelevu, anaelezea hadithi ya namna gani alivyokuwa huru -- na misheni ya mradi wa jela zilizopo Afrika: kuweka shule ya kwanza ya sheria iliyopo jela na kuhamasisha watu waliopo jela kuleta mabadiliko chanya.

- Prison reform advocate
Pete Ouko champions access to justice for inmates and the indolent in Africa. Full bio

I want to tell you a storyhadithi about MansonManson.
Nataka niwaambie hadithi inayomuhusu Manson.
00:12
MansonManson was this 28-year-oldmwenye umri wa miaka
interiormambo ya ndani designerdesigner,
Manson alikuwa mpamba mandhari ya ndani ya nyumba mwenye miaka 28,
00:17
a fatherbaba to a lovingupendo daughterbinti,
baba mwenye binti anayempenda,
00:21
and a sonmwana
na mvulana
00:23
who foundkupatikana himselfmwenyewe behindnyuma barsbaa
duekutokana to a broken-downBroken-Down judicialMahakama systemmfumo.
aliyejikuta akiingia jela kutokana na mfumo mbovu wa mahakama.
00:25
He was framedzimeandaliwa for a murdermauaji
he didn't commitfanya
Alisingiziwa mauaji ambayo hakuyatenda
00:30
and was sentencedkifungo to the gallowsmti aliomwekea.
na kuhukumiwa kunyongwa.
00:33
There were two victimswaathirika of this murdermauaji --
the victimmwathirika who actuallykwa kweli diedalikufa in the murdermauaji
Walikuwepo wahanga wawili wa mauaji haya --mhanga mmoja aliyefariki kwenye mauaji
00:36
and MansonManson, who had been
sentencedkifungo to prisonjela
na Manson, ambaye alifungwa gerezani
00:40
for an offenseKosa whichambayo he did not commitfanya.
kwa kosa ambalo hakutenda.
00:43
He was lockedimefungwa up in a cellkiini,
eightnane by sevensaba,
Aliwekwa kwenye chumba cha jela, nane kwa saba,
00:47
with 13 other grown-upmkubwa anakiuka menwatu
na watu wazima wengine 13
00:49
for 23 and a halfnusu hoursmasaa a day.
kwa masaa 23 na nusu kwa siku.
00:52
FoodChakula was not guaranteeduhakika that you'dungependa get.
Hakukuwa na uhakika wa kupata chakula.
00:55
And I rememberkumbuka yesterdayjana,
Na nakumbuka jana,
00:59
as I walkedkutembea into the roomchumba where I was,
nikiwa naingia kwenye chumba ambacho nilikuwepo,
01:00
I imaginedalifikiria the kindaina of cellkiini
that MansonManson would have been livingwanaishi in.
Nilitafakari namna chumba cha jela ambacho Manson alikuwa akiishi.
01:04
Because the toiletchoo --
Kwa sababu msalani --
01:07
The rowmstari of the smallndogo roomsvyumba
Mstari wa vyumba vidogo
01:09
that were there were slightlykidogo biggerkubwa zaidi
than the eight-by-sevennane na saba cellkiini.
uliokuwepo pale ulikuwa mkubwa kidogo zaidi ya chumba cha jela cha ukubwa wa nane kwa saba.
01:10
But beingkuwa in that cellkiini
as he awaitedawaited the executionermhukumu --
Lakini kuwepo ndani ya jela ile akimsubiri mnyongaji --
01:14
because in prisonjela,
he did not have a namejina --
kwa sababu ndani ya jela, hakuwa na jina --
01:17
MansonManson was knowninayojulikana by a numbernambari.
Manson alikuwa akijulikana kwa namba.
01:20
He was just a statistictakwimu.
Alikuwa ni moja ya takwimu.
01:22
He did not know how long he would wait.
Hakujua ni kwa muda gani angesubiri.
01:25
The wait could have been a minutedakika,
Muda wa kusubiri ungewezekana kuwa dakika,
01:28
the executionermhukumu could have come
the nextijayo minutedakika,
mnyongaji angeweza kuja dakika inayofuata,
01:30
the nextijayo day,
siku inayofuata,
01:32
or it could have takenkuchukuliwa 30 yearsmiaka.
au ingechukua miaka 30.
01:33
The wait had no endmwisho.
Ngoja ngoja haikuwa na mwisho.
01:37
And in the midstkatikati of the excruciatingakitambua painmaumivu,
Na katika maumivu makali ya uchungu,
01:40
the mentalakili torturemateso,
mateso ya kiakili,
01:43
the manywengi unansweredambayo hayajajibiwa questionsmaswali
that MansonManson facedwanakabiliwa,
maswali mengi yasiyo na majibu aliyokumbana nayo Manson,
01:46
he knewalijua he was not
going to playkucheza the victimmwathirika.
alijua kwamba hatotakiwa kuwa mhanga.
01:50
He refusedalikataa to playkucheza the rolejukumu of the victimmwathirika.
Alikataa kuwa mhanga.
01:53
He was angryhasira at the justicehaki systemmfumo
that had put him behindnyuma barsbaa.
Alighadhabishwa na mfumo wa mahakama uliomuingiza jela.
01:56
But he knewalijua the only way
he could changemabadiliko that justicehaki systemmfumo
Lakini aligundua kwamba njia pekee ya kubadili mfumo wa haki
02:01
or help other people get justicehaki
au kusaidia wengine kupata haki
02:04
was not to playkucheza the victimmwathirika.
ni kukataa kuwa mhanga.
02:06
ChangeMabadiliko camealikuja to MansonManson
when he decidedaliamua to embracekukumbatia forgivenessmsamaha
Mabadiliko yalikuja kwa Manson alipoamua kujifunza kusamehe
02:09
for those who had put him in prisonjela.
kwa wale waliomuingiza jela.
02:13
I speaksema that as a factukweli.
Naongea hilo likiwa ni ukweli.
02:17
Because I know who MansonManson is.
Kwa sababu namfahamu Manson.
02:20
I am MansonManson.
Mimi ni Manson.
02:24
My realhalisi namejina is PeterPetro MansonManson OukoOuko.
Jina langu halisi ni Peter Manson Ouko.
02:26
And after my convictionuthibitisho,
Na baada ya hukumu yangu,
02:30
after that awakeningkuamka of forgivenessmsamaha,
baada ya kupata uamsho wa kusamehe,
02:31
I had this movehoja
Nilisonga mbele
02:35
to help changemabadiliko the systemmfumo.
katika kusaidia kubadili mfumo.
02:37
I alreadytayari decidedaliamua I was not
going to be a victimmwathirika anymoretena.
Nilishaamua kwamba sitakuwa mhanga tena.
02:40
But how was I going to help
changemabadiliko a systemmfumo
Lakini ni kwa namna gani nitasaidia kubadili mfumo
02:44
that was bringingkuleta in
youngermdogo inmateswafungwa everykila day
ambao ulikuwa ukiwafunga jela vijana wadogo kila siku
02:46
who deserveunastahili to be with theirwao familiesfamilia?
ambao wanastahili kuwa na familia zao?
02:49
So I startedilianza mobilizingkuhamasisha my colleagueswenzake
in prisonjela, my fellowwenzake inmateswafungwa,
Kwa hiyo nilianza kuwaunganisha rafiki zangu nikiwa jela, wafungwa wenzangu,
02:52
to writeandika lettersbarua and memorandamikataba
to the justicehaki systemmfumo,
kuandika barua na nakala pacha kwa mfumo wa haki,
02:56
to the JudicialMahakama ServiceHuduma CommissionTume,
kwenda kamisheni ya huduma za mahakama,
03:00
the numerouswengi taskkazi forcesmajeshi
that had been setkuweka up
baadhi ya mamlaka za dola zilizopo
03:03
in our countrynchi, KenyaKenya,
katika nchi yetu, Kenya,
03:06
to help changemabadiliko the constitutionkatiba.
kusaidia kubadili katiba.
03:07
And we decidedaliamua to graspkufahamu at those --
Na tuliamua kushikilia katika hayo --
03:10
to clutchclutch at those trollsvidogo,
if I mayinaweza use that wordneno --
kufumbata mirija hiyo, kama naweza tumia hilo neno --
03:12
if only to make the justicehaki systemmfumo work,
ili mradi tu kufanya mfumo wa haki utende kazi sawa,
03:15
and work for all.
na kwa wote.
03:18
Just about the samesawa time,
N a katika muda huo huo,
03:21
I metalikutana a youngvijana universitychuo kikuu
graduateHitimu from the UKUINGEREZA,
Nilikutana na mhitimu wa chuo mdogo anayetokea Uingereza,
03:22
calledaitwaye AlexanderAlexander McLeanMcLean.
anayeitwa Alexander McLean.
03:25
AlexanderAlexander had come in with threetatu or fournne
of his colleagueswenzake from universitychuo kikuu
Alexander alikuja na wahitimu wenzie watatu au wanne kutoka chuo
03:28
in theirwao gappengo yearmwaka,
katika mwaka wa mapumziko,
03:31
and they wanted to help assistkusaidia,
na walitaka kusaidia,
03:32
setkuweka up a librarymaktaba in KamitiKamiti MaximumKiwango cha juu PrisonGereza,
kutengeneza maktaba katika jela ya Kamiti,
03:35
whichambayo if you GoogleGoogle,
ambayo ukitafuta katika Google,
03:38
you will see is writtenimeandikwa as one
of the 15 worstmbaya zaidi prisonsmagereza in the worldulimwengu.
utaona pameandikwa ni moja ya jela 15 mbaya duniani.
03:39
That was then.
Hiyo ilikuwa kipindi hicho.
03:43
But when AlexanderAlexander camealikuja in,
Lakini Alexander alipokuja,
03:45
he was a youngvijana 20-year-oldmwenye umri wa miaka boymvulana.
alikuwa na miaka 20.
03:46
And I was on deathkifo rowmstari at that time.
Na nilikuwa nikingojea hukumu ya kifo muda ule.
03:48
And we tookalichukua him underchini our wingmrengo.
Na alijiunga nasi.
03:51
It was an honestwaaminifu trusttumaini issuesuala.
Ilikuwa ni suala la uaminifu.
03:53
He trustedkuaminika us, even thoughingawa
we were on deathkifo rowmstari.
Alituamini, pamoja na kwamba tulihukumiwa adhabu ya kifo.
03:56
And throughkupitia that trusttumaini,
Na kupitia uaminifu huo,
03:59
we saw him and his colleagueswenzake
from the universitychuo kikuu
tulimuona yeye na wenzie aliotoka nao chuo
04:00
refurbishkukarabati the librarymaktaba
with the latestkaribuni technologyteknolojia
wakikarabati maktaba kwa kutumia teknolojia ya kisasa
04:03
and setkuweka up the infirmaryinfirmary
to very good standardsviwango
na kuweka zahanati katika hali nzuri
04:06
so that those of us fallingkuanguka sickmgonjwa in prisonjela
ili kwamba wale kati yetu ambao wataumwa wakiwa jela
04:10
would not necessarilylazima
have to diekufa in indignityindignity.
hawatokufa kwa kukosa heshima.
04:13
HavingKuwa metalikutana AlexanderAlexander,
Kwa kuonana na Alexander,
04:17
I had a chancenafasi,
Nilipata nafasi,
04:20
and he gavealitoa me the opportunitynafasi
and the supportmsaada,
na alinipa nafasi na msaada,
04:21
to enrollkujiandikisha for a universitychuo kikuu degreeshahada
at the UniversityChuo Kikuu cha of LondonLondon.
wa kujiunga na shahada ya chuo katika chuo cha London.
04:24
Just like MandelaMandela
studiedalisoma from SouthKusini AfricaAfrika,
Kama vile Mandela alivyosoma akiwa Afrika Kusini,
04:28
I had a chancenafasi to studykujifunza
at KamitiKamiti MaximumKiwango cha juu SecurityUsalama PrisonGereza.
Nilipata nafasi ya kusoma nikiwa jela ya Kamiti.
04:31
And two yearsmiaka laterbaadae,
Na miaka miwili baadaye,
04:35
I becameikawa the first graduateHitimu of the programprogramu
Nilikuwa muhitimu wa kwanza wa programu
04:37
from the UniversityChuo Kikuu cha of LondonLondon
from withinndani the prisonjela systemmfumo.
kutokea chuo cha London nikiwa ndani ya mfumo wa jela.
04:39
HavingKuwa graduatedalihitimu, what happenedkilichotokea nextijayo --
Baada ya kuhitimu, kipi kilifuata --
04:44
(ApplauseMakofi)
(Makofi)
04:46
Thank you.
Asante.
04:50
(ApplauseMakofi)
(Makofi)
04:51
HavingKuwa graduatedalihitimu,
Baada ya kuhitimu,
04:52
now I feltwalihisi empoweredimetumiwa nguvu.
nilijihisi kuwezeshwa.
04:54
I was not going to playkucheza
the helplesswanyonge victimmwathirika.
Nilikuwa tena siyo mhanga nisiye na msaada.
04:56
But I feltwalihisi empoweredimetumiwa nguvu
not only to assistkusaidia myselfMimi mwenyewe,
Lakini nilijihisi kuwezeshwa sio tu kwa kujisaidia mwenyewe,
04:58
to prosecutekushitaki my ownmwenyewe casekesi,
kushughulikia kesi yangu,
05:01
but alsopia to assistkusaidia the other inmateswafungwa
lakini pia kusaidia wafungwa wengine
05:03
who are sufferingmateso the similarsawa injusticesudhalimu
that have just been spokenamesema about here.
ambao wanapitia mfumo mbovu unaofanana na huu ambao umeongelewa hapa.
05:06
So I startedilianza writingkuandika
legalkisheria briefsMuhtasari wa for them.
Kwa hiyo nilianza kuwaandikia nakala ya kisheria.
05:11
With my other colleagueswenzake in prisonjela,
we did as much as we could.
Na mwenzangu niliyekuwa nae jela, tulifanya kila linalowezekana.
05:13
That wasn'thaikuwa enoughkutosha.
Hiyo haikutosha.
05:19
AlexanderAlexander McLeanMcLean
Alexander McLean
05:23
and his teamtimu
at the AfricanAfrika PrisonsMagereza ProjectMradi
na timu yake ya mradi wa jela zilizopo Afrika
05:24
decidedaliamua to supportmsaada more inmateswafungwa.
waliamua kusaidia wafungwa wengi zaidi.
05:28
And as I'm speakingakizungumza to you todayleo,
Na ninapoongea na wewe leo.
05:30
there are 63 inmateswafungwa and staffwafanyakazi
in the KenyaKenya PrisonGereza ServiceHuduma
wapo wafungwa na maofisa 63 katika huduma ya jela za Kenya
05:32
studyingkusoma lawsheria at the UniversityChuo Kikuu cha of LondonLondon
throughkupitia distanceumbali learningkujifunza.
wakisoma sheria katika chuo cha London kwa kupitia kujifunza kwa umbali.
05:36
(ApplauseMakofi)
(Makofi)
05:40
These are changemakerschangemakers
who are beingkuwa motivatedmotisha
Kuna waleta mabadiliko ambao wanahamishwa
05:45
not only to assistkusaidia
the mostwengi indolentutepetevu in societyjamii,
sio tu kusaidia walio wanyonge katika jamii,
05:49
but alsopia to help the inmateswafungwa
and otherswengine get accessupatikanaji to justicehaki.
lakini pia kusaidia wafungwa na wengine kupata nafasi katika haki.
05:52
Down there in my prisonjela cellkiini,
something keptimehifadhiwa stirringkuchochea me.
Katika chumba cha jela nilichokuwepo, kuna kitu kilikuwa kikinikoroga.
05:59
The wordsmaneno of MartinMartin LutherLuther KingMfalme
keptimehifadhiwa hittingkupiga me.
Maneno ya Martin Luther King yalikuwa yakinijia.
06:03
And he was always tellingkuwaambia me,
"PetePete, if you can't flykuruka,
Na alikuwa akiniambia muda wote, "Pete, kama huwezi kupaa,
06:07
you can runkukimbia.
unaweza kukimbia.
06:12
And if you can't runkukimbia,
Na kama huwezi kukimbia,
06:14
you can walktembea.
unaweza kutembea.
06:16
But if you can't walktembea,
Lakini kama huwezi kutembea,
06:18
then you can crawlkutambaa.
unaweza kutambaa.
06:20
But whateverVyovyote it is, whateverVyovyote it takes,
Lakini vyovyote, namna yoyote itavyogharimu,
06:22
just keep on movingkusonga."
endelea kusonga mbele."
06:24
And so I had this urgekuomba to keep movingkusonga.
Kwa hiyo nikawa na shauku ya kusonga mbele.
06:26
I still have this urgekuomba
to keep movingkusonga in whateverVyovyote I do.
Bado nina hii shauku ya kusonga mbele katika kila ninalofanya.
06:29
Because I feel the only way
we can changemabadiliko our societyjamii,
Kwa sababu nahisi njia pekee tunayoweza kubadili jamii yetu,
06:31
the only way we can changemabadiliko
the justicehaki systemmfumo --
njia pekee tunayoweza kubadili mfumo wa haki --
06:35
whichambayo has really improvedkuboreshwa
in our countrynchi --
ambao umekuwa na maboresho makubwa nchini kwetu --
06:37
is to help get the systemsmifumo right.
ni kusaidia kuweka mifumo sawa.
06:39
So, on 26tht OctoberOktoba last yearmwaka,
after 18 yearsmiaka in prisonjela,
Kwa hiyo, mnamo tarehe 26 mwezi Oktoba mwaka uliopita, baada ya kutumikia miaka 18 jela,
06:42
I walkedkutembea out of prisonjela
on presidentialRais pardonmsamaha.
Nilitoka jela kwa msamaha wa raisi.
06:47
I'm now focusedililenga on helpingkusaidia APPPROGRAMU --
the AfricanAfrika PrisonsMagereza ProjectMradi --
Sasa hivi nimejikita katika kusaidia APP -- mradi wa jela zilizopo Afrika --
06:51
achievekufikia its mandatemamlaka
of trainingmafunzo and settingkuweka up
kufanikisha matwaka yake ya mafunzo na kuweka
06:54
the first lawsheria schoolshule
and legalkisheria collegechuo behindnyuma barsbaa.
shule ya kwanza ya sheria na haki ndani ya jela.
06:57
Where we are going to traintreni --
Ambapo tutafundisha --
07:01
(ApplauseMakofi)
(Makofi)
07:03
Where we are going to traintreni
inmateswafungwa and staffwafanyakazi
Ambapo tutafundisha wafungwa na maofisa
07:06
not only to assistkusaidia theirwao fellowwenzake inmateswafungwa,
sio tu kwa ajili ya kusaidia wafungwa wenzao,
07:10
but to assistkusaidia the entirenzima
widerpana societyjamii of the poormaskini
lakini kusaidia jamii nzima ya masikini
07:12
who cannothaiwezi accessupatikanaji legalkisheria justicehaki.
ambao hawawezi kupata msaada wa kisheria na haki.
07:15
So as I speaksema before you todayleo,
Kwa hiyo ninaongea mbele yenu leo,
07:19
I standsimama here in the fullkamili knowledgeujuzi
that we can all reexaminereexamine ourselvessisi wenyewe,
Nasimama hapa nikiwa na maarifa kamili kwamba tunaweza kujitathmini wenyewe,
07:21
we can all reexaminereexamine our situationshali,
tunaweza tathmini hali zetu,
07:27
we can all reexaminereexamine our circumstanceshali
tunaweza wote kutathmini namna zetu
07:30
and not playkucheza the victimmwathirika narrativemaelezo.
na kutoelezea kuhusu wahanga.
07:33
The victimmwathirika narrativemaelezo
will not take us anywherepopote.
Kuelezea kuhusu wahanga hakutatupeleka popote pale.
07:36
I was behindnyuma barsbaa, yeah.
Nilikuwa jela, ndiyo.
07:40
But I never feltwalihisi and I was not a prisonermfungwa.
Lakini sijawahi kujihisi na sikuwa mfungwa.
07:42
The basicmsingi thing I got to learnkujifunza
Kitu cha msingi nilichojifunza
07:48
was that if I thought,
ni kwamba kama ningewaza,
07:50
and if you think, you can,
na kama unawaza, unaweza,
07:52
you will.
utaweza.
07:55
But if you sitkukaa thinkingkufikiri that you can't,
Lakini kama unakaa unawaza hauwezi,
07:56
you won'thaitakuwa.
hautaweza.
07:59
It's as simplerahisi as that.
Ni rahisi kama hivyo.
08:01
And so I'm encouragedmoyo
by the peacefulamani revolutionariesMapinduzi
Na ninapata tumaini kutokana na mapinduzi ya amani
08:04
I've heardkusikia on this stagehatua.
niliyosikia katika hatua hii.
08:06
The worldulimwengu needsmahitaji you now,
the worldulimwengu needsmahitaji you todayleo.
Dunia inakuhitaji sasa, dunia inakuhitaji leo.
08:08
And as I finishkumaliza my talk,
Na ninapomaliza hii hotuba yangu,
08:12
I'd just like to askkuuliza
eachkila mmoja and everykila singlemoja one of you here,
Ninapendelea kuuliza kila mmoja wenu hapa,
08:15
wonderfulajabu thinkerswachunguzi,
changemakerschangemakers, innovatorswavumbuzi,
wasomi wakuu, waleta mabadiliko, wavumbuzi,
08:19
the wonderfulajabu globalkimataifa citizenswananchi
we have at TEDTED,
watu wote kutoka ulimwenguni mliopo hapa TED,
08:23
just rememberkumbuka the wordsmaneno
of MartinMartin LutherLuther KingMfalme.
kumbuka maneno ya Martin Luther King.
08:26
Let them continueendelea ringingkupigia
in your heartmoyo and your life.
Yaache yaendelee kusikika katika moyo na maisha yako.
08:29
WhateverChochote it is,
Vyovyote ilivyo,
08:33
whereverpopote you are,
popote ulipo,
08:35
whateverVyovyote it takes,
chochote inachogharimu,
08:36
keep on movingkusonga.
endelea mbele.
08:38
Thank you.
Asante.
08:39
(ApplauseMakofi)
(Makofi)
08:40
Thank you.
Asante.
08:44
(ApplauseMakofi)
(Makofi)
08:45
Translated by Nelson Simfukwe
Reviewed by Joachim Mangilima

▲Back to top

About the speaker:

Peter Ouko - Prison reform advocate
Pete Ouko champions access to justice for inmates and the indolent in Africa.

Why you should listen

Twenty years ago, Peter Ouko walked into a police station in  Kenya seeking answers to the circumstances under which his wife had been found murdered and the body dumped next to the police station fence. Unbeknown to him, the hunter would soon find himself as the hunted, and in a journey through the then broken down judicial system, he found himself convicted and sent to the gallows for a crime he maintains he did not commit.

Instead of bitterness, Ouko decided to forgive his tormentors and make the best of his time in prison, becoming the first inmate to graduate with a University of London Diploma in Law while behind bars. He is currently in his final year as an LLB student in the same University.

In his dual role as an Ambassador of the African Prisons Project and Founder of the Youth Safety Awareness Initiative, Ouko today champions access to justice for inmates and the indolent in society while using social enterprise to advocate for a crime free world. His goal: to demystify justice and have a crime free world underpinned by the rule of the law.

More profile about the speaker
Peter Ouko | Speaker | TED.com