ABOUT THE SPEAKER
Lýdia Machová - Language mentor
Lýdia Machová teaches people how they can learn any language by themselves.

Why you should listen

Lýdia Machová has learned nine languages without ever living abroad or in a multilingual environment. She maintains seven of them at a fluent level, and she usually learns a new one every two years. After meeting dozens of polyglots, or people who speak a lot of languages, she now shares the principles of language learning with the world as a language mentor.

Machová was the main organizer of the world's biggest polyglot event, the Polyglot Gathering in Bratislava, Slovakia, in 2017 and 2018. She holds a PhD in translation studies and previously worked as a professional conference interpreter. She is based in Slovakia but travels often on her mission to help people learn languages in their own ideal way.

More profile about the speaker
Lýdia Machová | Speaker | TED.com
TED Salon Brightline Initiative

Lýdia Machová: The secrets of learning a new language

Lýdia Machová: Siri ya kujifunza lugha mpya

Filmed:
7,231,347 views

Unataka kujifunza lugha mpya lakini unaogopa au hauna uhakika wapi pa kuanzia? Hauhitaji kipaji chochote maalumu au "jeni ya lugha," anasema Lýdia Machová. Katika hotuba hii changamfu, yenye hamasa, anaeleza siri za wanaisimu(watu wanaoongea lugha nyingi) na anashirikisha kanuni nne za kusaidia kufungua kipaji chako kilichojificha cha lugha -- na kufurahia wakati ukifanya hivyo.
- Language mentor
Lýdia Machová teaches people how they can learn any language by themselves. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:13
I love learningkujifunza foreignkigeni languageslugha.
0
1760
2896
Napenda kujifunza lugha za kigeni.
00:16
In factukweli, I love it so much that I like
to learnkujifunza a newmpya languagelugha everykila two yearsmiaka,
1
4680
4056
napenda sana kiasi kwamba hujifunza lugha mpya kila baada ya miaka miwili,
00:20
currentlysasa workingkufanya kazi on my eighthnane one.
2
8760
2096
sasa hivi najifunza lugha ya nane.
00:22
When people find that out about me,
they always askkuuliza me,
3
10880
2616
Pale watu wanapogundua kuhusu mimi, mara huniuliza,
00:25
"How do you do that? What's your secretsiri?"
4
13520
2096
"Unafanyaje hivyo? Siri yako ni ipi?"
00:27
And to be honestwaaminifu, for manywengi yearsmiaka,
my answerjibu would be,
5
15640
3016
Na niwe muwazi, kwa miaka mingi, jibu langu litakuwa,
00:30
"I don't know. I simplytu
love learningkujifunza languageslugha."
6
18680
2320
"Sifahamu. Napenda tu kujifunza lugha."
00:33
But people were never
happyfuraha with that answerjibu.
7
21720
2256
Lakini watu hawakufurahishwa na jibu hilo.
00:36
They wanted to know why they are spendingmatumizi
yearsmiaka tryingkujaribu to learnkujifunza even one languagelugha,
8
24000
3976
Walitaka kufahamu kwanini wanatumia miaka kujaribu kuijfunza hata lugha moja,
00:40
never achievingkufikia fluencyufasaha,
9
28000
1536
kamwe hawafanikiwa unenaji,
00:41
and here I come, learningkujifunza
one languagelugha after anothermwingine.
10
29560
3056
na mimi natokea, nikijifunza lugha moja baada ya nyingine.
00:44
They wanted to know
the secretsiri of polyglotspolyglots,
11
32640
2216
Walitaka kujua siri ya wanaisimu,
00:46
people who speaksema a lot of languageslugha.
12
34880
1720
watu wanaoongea lugha nyingi.
00:49
And that madealifanya me wonderajabu, too,
13
37400
1416
Na hii ilinifanya kushangaa, pia,
00:50
how do actuallykwa kweli other polyglotspolyglots do it?
14
38840
2296
wanaisimu wengine wanafanyaje?
00:53
What do we have in commonkawaida?
15
41160
1496
Kitu gani tulichonacho?
00:54
And what is it that enablesinawezesha us
16
42680
1936
Na kipi ambacho kinatuwezesha sisi
00:56
to learnkujifunza languageslugha
so much fasterharaka than other people?
17
44640
2440
kujifunza lugha kwa haraka kuliko watu wengine?
00:59
I decidedaliamua to meetkukutana other people
like me and find that out.
18
47880
2840
Niliamua kukutana na watu wengine kama mimi ili kutambua.
01:03
The bestbora placemahali to meetkukutana a lot of polyglotspolyglots
19
51760
2056
Sehemu nzuri ya kuonana na wanaisimu wengi
01:05
is an eventtukio where hundredsmamia
of languagelugha loverswapenzi
20
53840
2296
ni katika hafla ambapo mamia ya wapenzi wa lugha
01:08
meetkukutana in one placemahali
to practicemazoezi theirwao languageslugha.
21
56160
2856
hukutana pamoja.
01:11
There are severalkadhaa suchvile polyglotpolyglot eventsmatukio
organizediliyoandaliwa all around the worldulimwengu,
22
59040
3296
Kuna baadhi ya hafla za wanaisimu ambazo huandaliwa duniani kote,
01:14
and so I decidedaliamua to go there
23
62360
1376
na kwa hiyo niliamua kwenda huko
01:15
and askkuuliza polyglotspolyglots
about the methodsnjia that they use.
24
63760
2440
na kuwauliza wanaisimu kuhusu njia wanazotumia.
01:19
And so I metalikutana BennyBenny from IrelandIrelandi,
25
67200
1936
Nilikutana na Benny kutoka Ireland,
01:21
who told me that his methodnjia
is to startkuanza speakingakizungumza from day one.
26
69160
4160
ambaye aliniambia kwamba njia yake ni kuanza kuongea kuanzia siku ya kwanza.
01:26
He learnsanajifunza a fewwachache phrasesvishazi
from a travelkusafiri phrasebookKitabu cha misemo
27
74240
2896
Hujifunza misemo michache kutoka katika kitabu cha misemo cha wasafiri
01:29
and goeshuenda to meetkukutana nativeasili speakerswasemaji
28
77160
1576
na huenda kukutana na wenyeji wa lugha husika
01:30
and startskuanza havingkuwa na conversationsmazungumzo
with them right away.
29
78760
2816
na kuanza maongezi nao moja kwa moja.
01:33
He doesn't mindakili makingkufanya
even 200 mistakesmakosa a day,
30
81600
2776
Hajali kukosea kuongea hata mara 200 kwa siku,
01:36
because that's how he learnsanajifunza,
basedmsingi on the feedbackmaoni.
31
84400
2440
kwa sababu hivyo ndivyo anajifunza, ukilinganisha na mrejesho.
01:39
And the bestbora thing is, he doesn't
even need to travelkusafiri a lot todayleo,
32
87480
3136
Na kilicho bora ni kwamba, haitaji kusafiri sana leo,
01:42
because you can easilykwa urahisi have
conversationsmazungumzo with nativeasili speakerswasemaji
33
90640
2936
Sababu kwa urahisi unaweza fanya maongezi na wenyeji wa lugha
01:45
from the comfortfaraja of
your livingwanaishi roomchumba, usingkutumia websitestovuti.
34
93600
2696
ukiwa umepumzika katika chumba chako, ukitumia tovuti.
01:48
I alsopia metalikutana LucasLucas from BrazilBrazili
35
96320
1776
Nilikutana pia na Lucas kutoka Brazil
01:50
who had a really interestingkuvutia
methodnjia to learnkujifunza RussianKirusi.
36
98120
2480
ambaye alikuwa na njia ya kuvutia ya kujifunza Kirussia.
01:53
He simplytu addedaliongeza a hundredmia randomrandom
RussianKirusi speakerswasemaji on SkypeSkype as friendsmarafiki,
37
101200
5656
Kiurahisi aliwaalika waongeaji wa lugha ya Kirussia wapatao 100 kama marafiki katika mtandao wake wa Skype,
01:58
and then he openedkufunguliwa
a chatsungumza windowdirisha with one of them
38
106880
3896
na kisha alianza kupiga soga na mmoja wao
02:02
and wrotealiandika "HiHujambo" in RussianKirusi.
39
110800
1440
na akaandika "Habari" kwa Kirussia.
02:05
And the personmtu repliedalijibu, "HiHujambo, how are you?"
40
113000
2576
Yule mtu alijibu," Nzuri, hujambo?"
02:07
LucasLucas copiedkunakiliwa this and put it
into a textmaandishi windowdirisha with anothermwingine personmtu,
41
115600
4456
Lucas alinakili haya maongezi na kuweka katika chumba cha maandishi alipoanza soga na mtu mwingine,
02:12
and the personmtu repliedalijibu,
"I'm fine, thank you, and how are you?"
42
120080
3576
na mtu alijibu. "Nipo salama, asante, na wewe hujambo?"
02:15
LucasLucas copiedkunakiliwa this
back to the first personmtu,
43
123680
2976
Lucas alinakili tena na kuweka katika soga na mtu wa kwanza,
02:18
and in this way, he had two strangerswageni
have a conversationmazungumzo with eachkila mmoja other
44
126680
3456
na katika njia hii, aliwafanya watu wawili wasiojuana kuwa katika maongezi
02:22
withoutbila knowingkujua about it.
45
130160
1416
bila kufahamu hilo.
02:23
(LaughterKicheko)
46
131600
1256
(Kicheko)
02:24
And soonhivi karibuni he would startkuanza typingkuandika himselfmwenyewe,
47
132880
1896
Si punde alianza kuchapa maneno mwenyewe,
02:26
because he had so manywengi
of these conversationsmazungumzo
48
134800
2136
kwa sababu alikuwa na maongezi kama haya mengi
02:28
that he figuredimeonekana out how
the RussianKirusi conversationmazungumzo usuallykwa kawaida startskuanza.
49
136960
3016
kwamba aligundua jinsi gani maongezi ya Kirussia ambavyo kwa kawaida huanza.
02:32
What an ingeniouswenye ujuzi methodnjia, right?
50
140000
2336
Njia yenye werevu sana, si ndiyo?
02:34
And then I metalikutana polyglotspolyglots who always startkuanza
by imitatingkuiga soundssauti of the languagelugha,
51
142360
4496
Na kisha nilikutana na mwanaisimu ambaye muda wote huanza kwa kuigiza sauti za lugha,
02:38
and otherswengine who always learnkujifunza the 500
mostwengi frequentmara kwa mara wordsmaneno of the languagelugha,
52
146880
4416
na wengine ambao amara zote hujifunza maneno 500 ya mara kwa mara katika lugha,
02:43
and yetbado otherswengine who always startkuanza
by readingkusoma about the grammarsarufi.
53
151320
3400
na wengine ambao huanza kwa kusoma kitabu cha sarufi.
02:47
If I askedaliuliza a hundredmia differenttofauti polyglotspolyglots,
54
155600
2296
Kama ningeuliza wanaisimu mbalimbali mia moja,
02:49
I heardkusikia a hundredmia differenttofauti
approachesmbinu to learningkujifunza languageslugha.
55
157920
3616
Nilisikia namna mia moja mbalimbali za kujifunza lugha.
02:53
EverybodyKila mtu seemsinaonekana to have a uniquekipekee way
they learnkujifunza a languagelugha,
56
161560
3616
Kila mtu alikuwa na njia tofauti ya kujifunza lugha,
02:57
and yetbado we all come to the samesawa resultmatokeo
of speakingakizungumza severalkadhaa languageslugha fluentlyufasaha.
57
165200
3880
na wote mwishoni huja na matokeo sawa ya kuongea lugha baadhi kwa ufasaha.
03:02
And as I was listeningkusikiliza to these polyglotspolyglots
tellingkuwaambia me about theirwao methodsnjia,
58
170120
4296
Na nilikuwa nawasikiliza wanaisimu hawa wakinieleza kuhusu njia zao,
03:06
it suddenlyghafla dawnedasubuhi on me:
59
174440
2296
ghafla ikaniamsha:
03:08
the one thing we all have in commonkawaida
60
176760
3136
kitu kimoja ambacho wote tunacho
03:11
is that we simplytu foundkupatikana waysnjia to enjoykufurahia
the language-learningmasomo ya lugha processmchakato.
61
179920
5536
ni kwamba tumeweza kutafuta namna ya kufurahia mchakato ya kujifunza lugha.
03:17
All of these polyglotspolyglots
were talkingkuzungumza about languagelugha learningkujifunza
62
185480
2776
Na hawa wanaisimu wote walikuwa wanaongelea kuhusu kujifunza lugha
03:20
as if it was great funfuraha.
63
188280
1256
na ilikuwa inafurahisha sana.
03:21
You should have seenkuonekana theirwao facesinakabiliwa
64
189560
1576
Ungewaona nyuso zao
03:23
when they were showingkuonesha me
theirwao colorfulrangi grammarsarufi chartschati
65
191160
2616
walipokuwa wakinionyesha chati za rangi zikielezea sarufi
03:25
and theirwao carefullykwa makini handmadehandmade flashflash cardskadi,
66
193800
2496
na kadi za maneno zilizotengenezwa kwa uangalifu,
03:28
and theirwao statisticstakwimu
about learningkujifunza vocabularyMsamiati usingkutumia appsprogramu,
67
196320
3016
na takwimu zao kuhusu kujifunza maneno ya lugha kwa kutumia programu ya simu janja,
03:31
or even how they love to cookkupika
basedmsingi on recipesmaelekezo in a foreignkigeni languagelugha.
68
199360
4200
au wanavyopenda kupika kutokana na maelezo ya upishi yaliyoandikwa katika lugha ya kigeni.
03:36
All of them use differenttofauti methodsnjia,
69
204680
1736
Wote wanatumia njia mbalimbali,
03:38
but they always make sure
it's something that they personallybinafsi enjoykufurahia.
70
206440
3776
Lakini wanahakikisha ni kitu ambacho binafsi wanapendelea kufanya.
03:42
I realizedgundua that this is actuallykwa kweli
how I learnkujifunza languageslugha myselfMimi mwenyewe.
71
210240
3896
Nimegundua kwamba hivi ndivyo mimi hujifunza lugha.
03:46
When I was learningkujifunza SpanishKihispania,
I was boredkuchoka with the textmaandishi in the textbookKitabu cha maandishi.
72
214160
3576
Nilipokuwa najifunza Kispanyola, nilichoshwa na maandishi katika kitabu.
03:49
I mean, who wants to readsoma about JoseJose
73
217760
1736
Namaanisha, nani ambaye anataka kusoma kuhusu Jose
03:51
askingkuuliza about the directionsmaelekezo
to the traintreni stationkituo. Right?
74
219520
3136
akiuliza kuhusu uelekeo wa kwenda kituo gari moshi. Sawa?
03:54
I wanted to readsoma "HarryHarry PotterMfinyanzi" insteadbadala yake,
75
222680
2336
Nilitaka kusoma "Harry Porter" badala yake,
03:57
because that was
my favoritefavorite bookkitabu as a childmtoto,
76
225040
2136
kwa sababu ndicho kilikuwa kitabu nikipendacho sana nikiwa mdogo,
03:59
and I have readsoma it manywengi timesnyakati.
77
227200
1656
na nimekisoma mara nyingi.
04:00
So I got the SpanishKihispania translationtafsiri
of "HarryHarry PotterMfinyanzi" and startedilianza readingkusoma,
78
228880
3616
Kwa hiyo nilipata tafsiri "Harry Porter" katika lugha ya Kispanyola na nikaanza kusoma,
04:04
and sure enoughkutosha, I didn't understandkuelewa
almostkaribu anything at the beginningmwanzo,
79
232520
3336
na kwa uhakika, sikuelewa chochote kile mwanzoni,
04:07
but I keptimehifadhiwa on readingkusoma
because I lovedkupendwa the bookkitabu,
80
235880
2216
lakini niliendelea kusoma kwa sababu nilikipenda kitabu,
04:10
and by the endmwisho of the bookkitabu, I was ableinaweza
to followFuata it almostkaribu withoutbila any problemsmatatizo.
81
238120
4136
na mwishoni mwa kitabu, niliweza kukifatilia bila matatizo yoyote.
04:14
And the samesawa thing happenedkilichotokea
when I was learningkujifunza GermanKijerumani.
82
242280
2616
Na jambo sawa lilitokea wakati nikijifunza Kijerumani.
04:16
I decidedaliamua to watch "FriendsMarafiki,"
my favoritefavorite sitcomsitcom, in GermanKijerumani,
83
244920
3296
Niliamua kuangalia "Marafiki," ucheshi ninaopendelea, kwa Kijerumani,
04:20
and again, at the beginningmwanzo
it was all just gibberishGibberish.
84
248240
3096
na tena, mwanzoni ilikuwa upuuzi tu.
04:23
I didn't know where one wordneno finishedkumalizika
and anothermwingine one startedilianza,
85
251360
3176
Sikuelewa ni wapi neno moja limeishia na lingine lilipoanzia,
04:26
but I keptimehifadhiwa on watchingkuangalia everykila day
because it's "FriendsMarafiki."
86
254560
2656
lakini niliendelea kuangalia kila siku kwa sababu ilikuwa ni "Marafiki."
04:29
I can watch it in any languagelugha.
I love it so much.
87
257240
2376
Naweza kuangalia katika lugha yoyote. Napenda sana.
04:31
And after the secondpili or thirdtatu seasonmsimu,
88
259640
2016
Na baada sehemu ya pili au ya tatu,
04:33
seriouslykwa uzito, the dialoguemajadiliano
startedilianza to make sensehisia.
89
261680
2360
kiukweli, maongezi yalianza kuleta maana.
04:37
I only realizedgundua this
after meetingmkutano other polyglotspolyglots.
90
265080
3056
Nilitambua hili baada ya kukutana na wanaisimu wengine.
04:40
We are no geniusesujuzi
91
268160
1576
Sisi si wenye talanta
04:41
and we have no shortcutnjia ya mkato
to learningkujifunza languageslugha.
92
269760
2416
na hatuna njia za kukatiza katika kujifunza lugha.
04:44
We simplytu foundkupatikana waysnjia
how to enjoykufurahia the processmchakato,
93
272200
3816
Tumeweza kutafuta njia ya kufurahia mchakato,
04:48
how to turnkugeuka languagelugha learningkujifunza
from a boringboring schoolshule subjectsomo
94
276040
3376
namna ya kubadili usomaji wa lugha kutoka kama somo la shule lisilofurahisha
04:51
into a pleasantmazuri activityshughuli
whichambayo you don't mindakili doing everykila day.
95
279440
3200
hadi katika shughuli ya kuvutia ambayo hutaona shida kuifanya kila siku.
04:55
If you don't like writingkuandika
wordsmaneno down on paperkaratasi,
96
283520
2176
Kama hupendelei kuandika maneno kwenye karatasi,
04:57
you can always typeaina them in an appprogramu.
97
285720
1696
unaweza mara zote kuyachapa kwenye programu ya simu.
04:59
If you don't like listeningkusikiliza
to boringboring textbookKitabu cha maandishi materialvifaa,
98
287440
2816
Kama hupendelei kusikiliza vitabu vinavyochosha,
05:02
find interestingkuvutia contentmaudhui on YouTubeYouTube
or in podcastspodcast for any languagelugha.
99
290280
4296
tafuta video zinazovutia katika Youtube au katika vipindi vya lugha.
05:06
If you're a more introvertedintroverted personmtu
100
294600
1696
Kama wewe ni mtu unayependelea upekee
05:08
and you can't imaginefikiria speakingakizungumza
to nativeasili speakerswasemaji right away,
101
296320
3016
na hauwezi kuwaza ni namna gani utaweza ongea na wenyeji wa lugha moja kwa moja,
05:11
you can applytumia the methodnjia of self-talkbinafsi kuzungumza.
102
299360
2336
unaweza kujifunza kujiongelesha mwenyewe.
05:13
You can talk to yourselfwewe mwenyewe
in the comfortfaraja of your roomchumba,
103
301720
2576
Unaweza kuongea na nafsi yako ukiwa katika chumba chako,
05:16
describingkuelezea your plansmipango for the weekendmwishoni mwa wiki,
how your day has been,
104
304320
2896
ukieleza mipango yako ya mwisho wa wiki, siku yako ilikwendaje,
05:19
or even take a randomrandom
picturepicha from your phonesimu
105
307240
2136
au hata kupiga picha zisizo na mpangilio katika simu yako
05:21
and describekuelezea the picturepicha
to your imaginarykufikirika friendrafiki.
106
309400
3736
na kuelezea kuhusu picha hiyo kwa rafiki yako wa kufikirika.
05:25
This is how polyglotspolyglots learnkujifunza languageslugha,
107
313160
2496
Hivi ndivyo wanaisimu hujifunza lugha,
05:27
and the bestbora newshabari is,
it's availableinapatikana to anyoneyeyote
108
315680
2856
na habari njema ni kwamba, inapatikana kwa mtu yoyote
05:30
who is willingtayari to take the learningkujifunza
into theirwao ownmwenyewe handsmikono.
109
318560
2680
nani ambaye yuko tayari kujifunza katika mikono yake.
05:34
So meetingmkutano other polyglotspolyglots
helpedimesaidia me realizekutambua
110
322520
2096
Hivyo kukutana na wanaisimu wengine kulinisaidia kutambua
05:36
that it is really crucialmuhimu
to find enjoymentfuraha
111
324640
3016
kwamba ni muhimu sana kupata burudani
05:39
in the processmchakato of learningkujifunza languageslugha,
112
327680
2096
katika mchakato wa kujifunza lugha,
05:41
but alsopia that joyfuraha in itselfyenyewe is not enoughkutosha.
113
329800
3040
lakini pia furaha yenyewe pekee haitoshi.
05:45
If you want to achievekufikia fluencyufasaha
in a foreignkigeni languagelugha,
114
333680
2736
Kama unataka kuweza kufikia ufasaha katika lugha ya kigeni,
05:48
you'llutasikia alsopia need to applytumia
threetatu more principleskanuni.
115
336440
2480
utahitajika kutumia kanuni tatu zaidi.
05:51
First of all, you'llutasikia need
effectiveufanisi methodsnjia.
116
339760
2600
Kwanza, unahitaji njia zilizo bora.
05:55
If you try to memorizekukariri a listorodha of wordsmaneno
for a testmtihani tomorrowkesho,
117
343160
3416
Ukijaribu kukumbuka listi ya maneno kwa ajili ya mtihani wa kesho,
05:58
the wordsmaneno will be storedkuhifadhiwa
in your short-termmuda mfupi memorykumbukumbu
118
346600
2376
maneno yatahifadhiwa katika kumbukumbu yako ya muda mfupi
06:01
and you'llutasikia forgetkusahau them after a fewwachache dayssiku.
119
349000
1905
na utayasahau baada ya siku chache.
06:03
If you, howeverhata hivyo,
want to keep wordsmaneno long termmuda,
120
351400
2936
Kama, hata hivyo, unataka kukaa na maneno kwa muda mrefu,
06:06
you need to revisekurekebisha them
in the coursebila shaka of a fewwachache dayssiku repeatedlymara kwa mara
121
354360
2936
unahitaji kuyarudia katika kipindi cha siku chache
06:09
usingkutumia the so-calledkinachojulikana spacenafasi repetitionkurudia.
122
357320
2216
ukifanya kitu kinachofahamika kama kurudia kwa nafasi.
06:11
You can use appsprogramu whichambayo are basedmsingi
on this systemmfumo suchvile as AnkiAnki or MemriseMemrise,
123
359560
4256
Unaweza kutumia programu za simu ambazo zinatumia mfumo huu kama vile Anki au Memrise,
06:15
or you can writeandika listsorodha of wordneno
in a notebookdaftari usingkutumia the GoldlistGoldlist methodnjia,
124
363840
3336
au unaweza kuandika orodha ya neno katika kijitabu ukitumia njia ya Goldlist,
06:19
whichambayo is alsopia very popularmaarufu
with manywengi polyglotspolyglots.
125
367200
2696
ambayo ni maarufu kwa wanaisimu wengi.
06:21
If you're not sure whichambayo methodsnjia are
effectiveufanisi and what is availableinapatikana out there,
126
369920
3736
Kama huna uhakika ni njia ipi inayofaa na kipi kinachopatikana,
06:25
just checkangalia out polyglots'polyglots'
YouTubeYouTube channelsvituo and websitestovuti
127
373680
3016
angalia chaneli za Youtube na tovuti za wanaisimu
06:28
and get inspirationmsukumo from them.
128
376720
1776
kupata hamasa kutoka kwao.
06:30
If it worksinafanya kazi for them,
it will mostwengi probablylabda work for you too.
129
378520
2920
Kama inawafaa wao, lazima itakufaa na wewe pia.
06:34
The thirdtatu principlekanuni to followFuata
130
382840
1976
Kanuni ya tatu ya kufuata
06:36
is to createkuunda a systemmfumo in your learningkujifunza.
131
384840
2160
ni kutengeneza mfumo katika kujifunza kwako.
06:39
We're all very busybusy and no one
really has time to learnkujifunza a languagelugha todayleo.
132
387720
4216
Wote tupo bize na hakuna aliye na muda wa kujifunza lugha mpya leo.
06:43
But we can createkuunda that time
if we just planMpango a bitkidogo aheadmbele.
133
391960
3776
Lakini tunaweza pata muda kama tukipanga mbele kidogo.
06:47
Can you wakewake up 15 minutesdakika earliermapema
than you normallykawaida do?
134
395760
3416
Unaweza kuamka dakika kumi na tano mapema kabla ya muda wa kawaida wa kuamka?
06:51
That would be the perfectkamilifu time
to revisekurekebisha some vocabularyMsamiati.
135
399200
3296
Huo utakuwa muda mzuri wa kuweza kupitia baadhi ya maneno.
06:54
Can you listen to a podcastpodcast
on your way to work while drivingkuendesha gari?
136
402520
3736
Unaweza sikiliza kipindi ukiwa unarudi nyumbani wakati unaendesha?
06:58
Well, that would be great
to get some listeningkusikiliza experienceuzoefu.
137
406280
3456
Sasa, hiyo itakuwa nzuri kupata uzoefu wa kusikiliza.
07:01
There are so manywengi things we can do
withoutbila even planningkupanga that extraziada time,
138
409760
3456
Kuna vitu vingi tunaweza fanya bila hata ya kupanga muda wa ziada,
07:05
suchvile as listeningkusikiliza to podcastspodcast
on our way to work
139
413240
2656
kama vile kusikiliza kipindi ukiwa unaelekea kazini,
07:07
or doing our householdkaya choreskazi.
140
415920
1656
au wakati unafanya kazi za nyumbani.
07:09
The importantmuhimu thing is
to createkuunda a planMpango in the learningkujifunza.
141
417600
3296
Kitu muhimu ni kutengeneza mpango katika kujifunza.
07:12
"I will practicemazoezi speakingakizungumza
everykila TuesdayJumanne and ThursdayAlhamisi
142
420920
2496
"Nitajifunza kuongea kila Jumanne na Alhamisi
07:15
with a friendrafiki for 20 minutesdakika.
143
423440
2056
na rafiki kwa dakika 20.
07:17
I will listen to a YouTubeYouTube videovideo
while havingkuwa na breakfastkifungua kinywa."
144
425520
4416
Nitasikiliza video katika Youtube wakati nikipata kifungua kinywa."
07:21
If you createkuunda a systemmfumo in your learningkujifunza,
145
429960
2136
Kama utatengeneza mfumo katika kujifunza,
07:24
you don't need to find that extraziada time,
146
432120
1896
huna haja ya kutafuta muda wa ziada,
07:26
because it will becomekuwa
a partsehemu of your everydaykila siku life.
147
434040
2440
kwa sababu itakuwa namna ya maisha yako ya kila siku.
07:29
And finallyhatimaye, if you want to learnkujifunza
a languagelugha fluentlyufasaha,
148
437880
3216
Na mwisho, kama unataka kujifunza lugha kwa ufasaha,
07:33
you need alsopia a bitkidogo of patienceuvumilivu.
149
441120
2720
unahitaji kuwa na subira kidogo.
07:36
It's not possibleinawezekana to learnkujifunza
a languagelugha withinndani two monthsmiezi,
150
444600
2736
Haiwezekani kujifunza lugha ndani ya miezi miwili,
07:39
but it's definitelydhahiri possibleinawezekana to make
a visibleinayoonekana improvementkuboresha in two monthsmiezi,
151
447360
3896
lakini inawezekana kabisa kufanya mabadiliko yanayoonekana katika miezi miwili,
07:43
if you learnkujifunza in smallndogo chunkschunks everykila day
in a way that you enjoykufurahia.
152
451280
3736
kama utajifunza katika kiasi kidogo kidogo kila siku katika namna ambayo unafurahia.
07:47
And there is nothing
that motivateshuhamasisha us more
153
455040
2136
Na hakuna kitu ambacho kinatuhamasisha zaidi
07:49
than our ownmwenyewe successmafanikio.
154
457200
1240
ya mafanikio yetu.
07:51
I vividlywazi rememberkumbuka the momentwakati
155
459120
1896
Nakumbuka vizuri wakati
07:53
when I understoodkueleweka the first jokeutani
in GermanKijerumani when watchingkuangalia "FriendsMarafiki."
156
461040
3680
nilipoelewa utani wa kwanza kwa Kijerumani nilipokuwa naangalia "Marafiki."
07:57
I was so happyfuraha and motivatedmotisha
157
465280
1856
Nilifurahia sana na kuhamasika
07:59
that I just keptimehifadhiwa on watchingkuangalia that day
two more episodesvipindi,
158
467160
3016
kwamba niliendelea kuangalia sehemu mbili zaidi siku hiyo,
08:02
and as I keptimehifadhiwa watchingkuangalia,
159
470200
1736
na nilivyoendelea kuangalia,
08:03
I had more and more of those momentswakati
of understandinguelewa, these little victoriesushindi,
160
471960
4216
Niliendelea kuelewa zaidi, ushindi huu mdogo,
08:08
and stephatua by stephatua, I got to a levelngazi
where I could use the languagelugha
161
476200
3456
na hatua kwa hatua, nilifika katika hatua ambapo ningetumia lugha
08:11
freelykwa uhuru and fluentlyufasaha to expressonyesha anything.
162
479680
2856
kwa uhuru na ufasaha kuweza kuelezea chochote.
08:14
This is a wonderfulajabu feelinghisia.
163
482560
1520
Hii ni hisia ya kusisimua.
08:16
I can't get enoughkutosha of that feelinghisia,
164
484800
1696
Siwezi tosheka na hisia hiyo,
08:18
and that's why I learnkujifunza
a languagelugha everykila two yearsmiaka.
165
486520
2816
na ndiyo maana najifunza lugha mpya kila miaka miwili.
08:21
So this is the wholeyote polyglotpolyglot secretsiri.
166
489360
2056
Kwa hiyo ndiyo siri nzima ya mwanaisimu.
08:23
Find effectiveufanisi methodsnjia
whichambayo you can use systematicallykiutaratibu
167
491440
2856
Tafuta njia madhubuti ambayo unaweza kuitumia kwa mfumo
08:26
over the periodkipindi of some time
in a way whichambayo you enjoykufurahia,
168
494320
3296
katika kipindi cha muda fulani katika njia ambayo unafurahia,
08:29
and this is how polyglotspolyglots learnkujifunza
languageslugha withinndani monthsmiezi, not yearsmiaka.
169
497640
3880
na hivi ndivyo wanaisimu hujifunza lugha ndani ya miezi, na siyo miaka.
08:35
Now, some of you mayinaweza be thinkingkufikiri,
170
503160
1616
Sasa, baadhi yenu mnaweza kuwaza,
08:36
"That's all very nicenzuri
to enjoykufurahia languagelugha learningkujifunza,
171
504800
2336
"Ni vizuri sana kufurahia kujifunza lugha,
08:39
but isn't the realhalisi secretsiri
that you polyglotspolyglots
172
507160
2536
lakini si kwamba nyinyi wanaisimu
08:41
are just supersuper talentedwenye vipaji
and mostwengi of us aren'tsio?"
173
509720
2600
mna talanta sana na wengi wetu hatuna hiyo talanta?"
08:45
Well, there's one thing
I haven'thawana told you about BennyBenny and LucasLucas.
174
513320
3080
Hivyo, kuna kitu kimoja sijawaambia kuhusu Benny na Lucas.
08:49
BennyBenny had 11 yearsmiaka of IrishKiairishi GaelicKigaeli
and fivetano yearsmiaka of GermanKijerumani at schoolshule.
175
517159
5817
Benny alikuwa na miaka 11 ya kiselti cha Kiyalandi na miaka mitano ya lugha ya Kijerumani shuleni.
08:55
He couldn'thaikuweza speaksema them
at all when graduatingkuhitimu.
176
523000
3216
Hakuweza kuongea baada ya kuhitimu masomo.
08:58
Up to the ageumri of 21, he thought
he didn't have the languagelugha genejeni
177
526240
4176
Mpaka miaka 21, aliwaza kwamba hakuwa na jeni ya lugha
09:02
and he could not speaksema anothermwingine languagelugha.
178
530440
2416
na hakuweza kuongea lugha nyingine.
09:04
Then he startedilianza to look
for his way of learningkujifunza languageslugha,
179
532880
2936
Kisha akaanza kutafuta njia yake ya kujifunza lugha,
09:07
whichambayo was speakingakizungumza to nativeasili speakerswasemaji
and gettingkupata feedbackmaoni from them,
180
535840
3856
ambapo ilikuwa ni kuongea na wenyeji wa lugha na kupata mrejesho kutoka kwao,
09:11
and todayleo BennyBenny can easilykwa urahisi
have a conversationmazungumzo in 10 languageslugha.
181
539720
3960
na leo Benny anaweza kwa urahisi kufanya maongezi katika lugha 10.
09:17
LucasLucas triedwalijaribu to learnkujifunza EnglishKiingereza
at schoolshule for 10 yearsmiaka.
182
545120
3296
Lucas amejaribu kujifunza Kiingereza shuleni kwa miaka 10.
09:20
He was one of the worstmbaya zaidi studentswanafunzi in classdarasa.
183
548440
2616
Alikuwa ni moja ya wanafunzi wanaofanya vibaya darasani.
09:23
His friendsmarafiki even madealifanya funfuraha of him
184
551080
1616
Rafiki zake walikuwa wakimtania
09:24
and gavealitoa him a RussianKirusi textbookKitabu cha maandishi as a jokeutani
185
552720
2616
na kumpa kitabu cha Kirussia kama utani
09:27
because they thought he would never
learnkujifunza that languagelugha, or any languagelugha.
186
555360
3736
kwa sababu waliamini hawezi kamwe kujifunza lugha hiyo, au lugha yoyote.
09:31
And then LucasLucas startedilianza
to experimentjaribio with methodsnjia,
187
559120
2376
Na kisha Lucas akaanza kufanya majaribio na njia yake,
09:33
looking for his ownmwenyewe way to learnkujifunza,
188
561520
1800
akitafuta njia yake ya kujifunza,
09:36
for examplemfano, by havingkuwa na SkypeSkype chatsungumza
conversationsmazungumzo with strangerswageni.
189
564520
4176
kwa mfano, kwa kupiga soga na watu asiowajua katika Skype.
09:40
And after just 10 yearsmiaka,
190
568720
1816
Na katika miaka 10,
09:42
LucasLucas is ableinaweza to speaksema
11 languageslugha fluentlyufasaha.
191
570560
3320
Lucas anaweza kuongea lugha 11 kwa ufasaha.
09:47
Does that soundsauti like a miraclemuujiza?
192
575000
1560
Je hiyo inaonekana kama miujiza?
09:49
Well, I see suchvile miraclesmiujiza
everykila singlemoja day.
193
577440
2600
Sasa, ninaona miujiza kama hii kila siku.
09:52
As a languagelugha mentormshauri,
194
580760
1336
Na kama mshauri wa lugha,
09:54
I help people learnkujifunza
languageslugha by themselveswenyewe,
195
582120
2416
Nasaidia watu kujifunza lugha wenyewe,
09:56
and I see this everykila day.
196
584560
1296
na naona hili kila siku.
09:57
People strugglemapambano with languagelugha learningkujifunza
for fivetano, 10, even 20 yearsmiaka,
197
585880
4176
Watu hupata shida kujifunza lugha kwa miaka mitano, kumi, hata ishirini,
10:02
and then they suddenlyghafla take
theirwao learningkujifunza into theirwao ownmwenyewe handsmikono,
198
590080
3856
na ghafla huchukua hatua ya kujifunza mikononi mwao,
10:05
startkuanza usingkutumia materialsvifaa whichambayo they enjoykufurahia,
more effectiveufanisi methodsnjia,
199
593960
3296
kuanza kutumia makala wanazofurahia, njia madhubuti zaidi,
10:09
or they startkuanza trackingkufuatilia theirwao learningkujifunza
200
597280
1816
au wanaanza kufatilia kujifunza kwao
10:11
so that they can appreciatekufahamu
theirwao ownmwenyewe progressmaendeleo,
201
599120
2936
kwamba wanaweza kuridhika na maendeleo yao,
10:14
and that's when suddenlyghafla
202
602080
1936
na hapo ndipo ghafla
10:16
they magicallymagically find the languagelugha talenttalanta
that they were missinghaipo all theirwao livesanaishi.
203
604040
4200
kwa maajabu wanatambua kipaji cha lugha ambacho walikuwa wanakosa maisha yao yote.
10:21
So if you've alsopia triedwalijaribu
to learnkujifunza a languagelugha
204
609480
2176
Kwa hiyo kama umejaribu pia kujifunza lugha
10:23
and you gavealitoa up,
thinkingkufikiri it's too difficultvigumu
205
611680
2416
na ukakata tamaa,
10:26
or you don't have the languagelugha talenttalanta,
206
614120
2256
na kama huna kipaji cha lugha,
10:28
give it anothermwingine try.
207
616400
1536
jaribu tena.
10:29
Maybe you're alsopia
just one enjoyablekufurahisha methodnjia away
208
617960
2856
Labda upo karibu kidogo na njia moja ya kuburudika
10:32
from learningkujifunza that languagelugha fluentlyufasaha.
209
620840
1762
ili kujifunza lugha hiyo kwa ufasaha.
10:34
Maybe you're just one methodnjia away
from becomingkuwa a polyglotpolyglot.
210
622960
3936
Labda upo karibu kuja kuwa mwanaisimu.
10:38
Thank you.
211
626920
1216
Asante.
10:40
(ApplauseMakofi)
212
628160
4200
(Makofi)
Translated by Nelson Simfukwe
Reviewed by Joachim Mangilima

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
Lýdia Machová - Language mentor
Lýdia Machová teaches people how they can learn any language by themselves.

Why you should listen

Lýdia Machová has learned nine languages without ever living abroad or in a multilingual environment. She maintains seven of them at a fluent level, and she usually learns a new one every two years. After meeting dozens of polyglots, or people who speak a lot of languages, she now shares the principles of language learning with the world as a language mentor.

Machová was the main organizer of the world's biggest polyglot event, the Polyglot Gathering in Bratislava, Slovakia, in 2017 and 2018. She holds a PhD in translation studies and previously worked as a professional conference interpreter. She is based in Slovakia but travels often on her mission to help people learn languages in their own ideal way.

More profile about the speaker
Lýdia Machová | Speaker | TED.com