ABOUT THE SPEAKER
David Grady - Information security manager
David Grady is on a crusade to help you take back your calendar.

Why you should listen

David Grady is an information security manager who believes that strong communication skills are
a necessity in today’s global economy. He has been a print journalist, a “PR guy” and a website producer, and has ghostwritten speeches and magazine articles for Fortune 500 company executives. A mid-life career change brought him into the world of information risk management, where every day he uses his communications experience to transform complex problems into understandable challenges.

More profile about the speaker
David Grady | Speaker | TED.com
TED@State Street Boston

David Grady: How to save the world (or at least yourself) from bad meetings

David Grady: Jinsi ya kuokoa dunia(au wewe mwenyewe) kutokana mikutano mibaya.

Filmed:
2,459,605 views

Tatizo la mikutano mibaya, isiyo fanisi na iliyo na watu wengi --- inayopelekea wafanyakazi kufanya kazi vibaya. David ana wazo ni jinsi gani ya kuliondoa tatizo hili.
- Information security manager
David Grady is on a crusade to help you take back your calendar. Full bio

Double-click the English transcript below to play the video.

00:13
PicturePicha this:
0
1272
1377
Pata picha hii:
00:14
It's MondaySiku ya Jumatatu morningasubuhi,
1
2649
1093
Ni Jumatatu asubuhi,
00:15
you're at the officeofisi,
2
3742
1119
upo ofisini,
00:16
you're settlingkutatua in for the day at work,
3
4861
1754
unakaa sawa kwa ajili ya kuanza siku ya kazi,
00:18
and this guy that you sortfanya of
recognizekutambua from down the hallukumbi,
4
6615
2822
na mtu uliyekutana nae wakati upo jengo la chini,
00:21
walkshuenda right into your cubiclecubicle oga
5
9437
1836
anaingia kwenye kijiofisi chako
00:23
and he stealsanaiba your chairmwenyekiti.
6
11273
1402
na kuiba kiti chako.
00:24
Doesn't say a wordneno
7
12675
1242
Hasemi neno lolote ---
00:25
just rollsmiamba away with it.
8
13917
1388
anaondoka nacho tu.
00:27
Doesn't give you any informationhabari
about why he tookalichukua your chairmwenyekiti
9
15305
2483
Hakupi sababu yoyote ni kwa nini amechukua kiti chako
00:29
out of all the other chairsviti
that are out there.
10
17788
2111
na kuacha viti vyote vilivyopo katika jengo hilo
00:31
Doesn't acknowledgeTambua the factukweli
that you mightnguvu need your chairmwenyekiti
11
19899
2142
Hatambui kwamba utahitaji kiti chako
00:34
to get some work donekufanyika todayleo.
12
22041
1541
ili kukamilisha kazi siku ya leo.
00:35
You wouldn'thakutaka standsimama for
it. You'dWewe ungekuwa make a stinkuvundo.
13
23582
2257
Hutapigania
Utamfata yule mtu katika kijiofisi chake
00:37
You'dWewe ungekuwa followFuata that guy
back to his cubiclecubicle oga
14
25839
2027
00:39
and you'dungependa say, "Why my chairmwenyekiti?"
15
27866
3312
na kusema "Kwanini uchukue kiti changu?"
Ni jumanne asubuhi na upo ofisini,
00:43
Okay, so now it's TuesdayJumanne morningasubuhi
and you're at the officeofisi,
16
31178
4121
00:47
and a meetingmkutano invitationmwaliko popshalali
up in your calendarKalenda.
17
35299
2729
na mualiko wa kikao unajitokeza katika kalenda yako.
00:50
(LaughterKicheko)
18
38028
1605
(Vicheko)
00:51
And it's from this womanmwanamke who you
kindaina of know from down the hallukumbi,
19
39633
3076
Na ni kutoka kwa mwanamama unayemfahamu kiasi kutoka jengo la chini,
00:54
and the subjectsomo linemstari referencesmarejeleo some
projectmradi that you heardkusikia a little bitkidogo about.
20
42709
3805
na kichwa cha habari kinaongelea miradi ambayo ulishawahi kuisikia kwa ufupi tu.
00:58
But there's no agendaajenda.
21
46514
1683
Lakini hakuna ajenda.
01:00
There's no informationhabari about why
you were invitedwalioalikwa to the meetingmkutano.
22
48197
3076
Hakuna taarifa ni kwanini umealikwa katika mkutano huo.
01:03
And yetbado you acceptkukubali the
meetingmkutano invitationmwaliko, and you go.
23
51273
4616
Na bado unakubali kuhudhuria mkutano huo, na unaenda.
01:07
And when this highlysana
unproductivehaileti faida sessionkikao is over,
24
55889
2927
Na baada ya mkutano huu usio na maana kuisha,
01:10
you go back to your deskdawati,
25
58816
1683
unarudi katika kijiofisi chako,
01:12
and you standsimama at your
deskdawati and you say,
26
60499
1509
na usimama na kusema,
01:14
"BoyMvulana, I wishunataka I had those two hoursmasaa back,
27
62008
2663
"Natamani ningerudishiwa masaa mawili niliyopoteza,
01:16
like I wishunataka I had my chairmwenyekiti back."
28
64671
2003
kama ninavyotamani kurudishiwa kiti changu"
01:18
(LaughterKicheko)
29
66674
1506
(Vicheko)
01:20
EveryKila day, we allowkuruhusu our coworkerswafanyakazi,
30
68180
2571
Kila siku, tunawaruhusu wafanyakazi wenzetu,
ambao, ni watu wazuri sana,
01:22
who are otherwisevinginevyo very,
very nicenzuri people,
31
70751
2214
01:24
to stealkuiba from us.
32
72965
1667
kutuibia.
01:26
And I'm talkingkuzungumza about something farmbali
more valuablethamani than officeofisi furnituresamani.
33
74632
4078
Na ninaongelea vitu muhimu sana zaidi ya hata samani za ofisini.
01:30
I'm talkingkuzungumza about time. Your time.
34
78710
3029
Naongelea kuhusu muda. Muda wako.
01:33
In factukweli, I believe that
35
81739
2653
Kiukweli, Naamini ya kwamba
01:36
we are in the middlekatikati
of a globalkimataifa epidemicjanga
36
84392
2485
tupo katikati ya janga la kiulimwengu
01:38
of a terriblembaya newmpya illnessugonjwa
knowninayojulikana as MASSTAREHE:
37
86877
5040
la ugonjwa mpya ambao ni hatari sana unaofahamika kama MAS:
01:43
MindlessMindless AcceptKukubali SyndromeUgonjwa wa.
38
91917
2273
Mindless Accept Syndrome( Ugonjwa wa kukubali jambo bila kuhoji linahusu nini).
01:46
(LaughterKicheko)
39
94190
1894
(Vicheko)
01:48
The primarymsingi symptomdalili of
MindlessMindless AcceptKukubali SyndromeUgonjwa wa
40
96084
2701
Dalili za msingi za MAS
01:50
is just acceptingkukubali a meetingmkutano invitationmwaliko
the minutedakika it popshalali up in your calendarKalenda.
41
98785
3920
ni kukubali mualiko wa kikao pale tu unaoonekana katika kalenda yako.
01:54
(LaughterKicheko)
42
102705
1270
(Vicheko)
01:55
It's an involuntarybila kujali reflexReflexdingKosa la,
clickbonyeza, bingBing — it's in your calendarKalenda,
43
103975
3668
Ni jambo lisilo la hiari, baada ya hapo....
01:59
"GottaGotta go, I'm alreadytayari latekuchelewa
for a meetingmkutano." (LaughterKicheko)
44
107643
3293
"Inabidi niondoke, nachelewa kwenye kikao"(Vicheko)
02:02
MeetingsMikutano are importantmuhimu, right?
45
110936
2387
Vikao ni muhimu, sawa?
02:05
And collaborationushirikiano is keyufunguo to
the successmafanikio of any enterprisebiashara.
46
113323
2946
Na umoja ni funguo ya mafanikio katika kampuni yoyote.
02:08
And a well-runkukimbia vizuri meetingmkutano can yieldmavuno
really positivechanya, actionablekufanikisha lengo resultsmatokeo.
47
116269
3393
Na kikao kinachoendeshwa vizuri kitaleta mafanikio chanya.
02:11
But betweenkati globalizationutandawazi
48
119662
1758
Lakini katika utandawazi
02:13
and pervasivekuenea informationhabari technologyteknolojia,
49
121420
2315
na upana wa teknolojia ya mawasiliano,
02:15
the way that we work
50
123735
1671
vile tunavyofanya kazi
02:17
has really changediliyopita dramaticallykwa kasi
over the last fewwachache yearsmiaka.
51
125406
3229
kumebadilika kwa kiasi kikubwa sana katika miaka michache iliyopita.
02:20
And we're miserablehuzuni. (LaughterKicheko)
52
128635
3207
Na tumekuwa wa ovyo. (Vicheko)
02:23
And we're miserablehuzuni not because the
other guy can't runkukimbia a good meetingmkutano,
53
131842
3540
Na tumekuwa wa ovyo si kwa sababu watu wengine hawawezi kuongoza kikao vizuri,
02:27
it's because of MASSTAREHE, our
MindlessMindless AcceptKukubali SyndromeUgonjwa wa,
54
135382
2812
ni kwa sababu ya MAS,
ambalo ni gonjwa tulilonalo.
02:30
whichambayo is a self-inflictedbinafsi waliyoyapata woundjeraha.
55
138194
3776
02:33
ActuallyKweli, I have evidenceushahidi to provekuthibitisha
that MASSTAREHE is a globalkimataifa epidemicjanga.
56
141970
5147
Nina ushahidi kwa kuonesha MAS ni janga la ulimwengu.
02:39
Let me tell you why.
57
147117
1647
Ngoja nikwambie ni kwanini.
02:40
A couplewanandoa of yearsmiaka agoiliyopita, I put a videovideo
on YoutubeYouTube, and in the videovideo,
58
148764
4272
Miaka michache iliyopita, niliweka video Youtube, na video hiyo,
02:45
I actedalitenda out everykila terriblembaya
conferencemkutano call you've ever been on.
59
153036
3198
Nilionyesha aina zote za mikutano ya ovyo uliyowahi hudhuria.
02:48
It goeshuenda on for about fivetano minutesdakika,
60
156234
1659
Ni ya muda wa dakika tano,
02:49
and it has all the things that we
hatechukia about really badmbaya meetingsmikutano.
61
157893
3191
na ina kila kitu tusichopenda kuhusu mikutano mibaya.
02:53
There's the moderatorModerator who has
no ideawazo how to runkukimbia the meetingmkutano.
62
161084
3343
Kuna muongoza kikao asiye na wazo ni jinsi gani ya kuongoza kikao.
02:56
There are the participantswashiriki who
have no ideawazo why they're there.
63
164427
2558
Kuna washiriki wasio wa wazo kwanini wapo katika mkutano huo.
Kila kitu kinaenda ovyo.
02:58
The wholeyote thing kindaina of collapsesHukunja
into this collaborativeushirikiano traintreni wreckikaanguka.
64
166985
3703
03:02
And everybodykila mtu leavesmajani very angryhasira.
65
170688
2426
Na kila mtu anaondoka na hasira.
03:05
It's kindaina of funnyfunny.
66
173114
1789
Inafurahisha.
03:06
(LaughterKicheko)
67
174903
1583
(Vicheko)
03:08
Let's take a quickharaka look.
68
176486
2152
Tuangalie kwa harakaharaka.
03:10
(VideoVideo) Our goallengo todayleo is to come to an
agreementmakubaliano on a very importantmuhimu proposalpendekezo.
69
178638
3827
(Video) Lengo letu leo ni kukubaliana katika pendekezo muhimu sana.
03:14
As a groupkikundi, we need to decidekuamua if —
70
182465
2087
Kama kundi, tunatakiwa kuamua kama---
03:16
bloopbloop bloopbloop
71
184552
2779
mlio
Habari, nani kajiunga?
03:19
HiHujambo, who just joinedalijiunga?
72
187331
3567
Habari, ni mimi Joe. Leo nafanya kazi kutoka nyumbani.
03:22
HiHujambo, it's JoeJoe. I'm workingkufanya kazi from home todayleo.
73
190898
3012
03:25
(LaughterKicheko)
74
193910
1890
(Vicheko)
03:27
HiHujambo, JoeJoe. ThanksShukrani for
joiningkujiunga us todayleo, great.
75
195800
3068
Karibu Joe, asante kwa kujiunga nasi leo, ni vizuri.
03:30
I was just sayingkusema, we have a lot of people
on the call we'dtunatarajia like to get throughkupitia,
76
198868
2790
Nilikuwa nasema, tuna watu wengi tunaohitaji kuwa nao hapa,
03:33
so let's skipruka the rollroll call
77
201658
1634
tuendelee
03:35
and I'm gonna divekupiga mbizi right in.
78
203292
2673
na nitaanza kama ifuatavyo.
Lengo letu leo ni kukubaliana katika pendekezo muhimu sana.
03:37
Our goallengo todayleo is to come to an
agreementmakubaliano on a very importantmuhimu proposalpendekezo.
79
205965
3875
03:41
As a groupkikundi, we need to decidekuamua if —
80
209840
2565
Kama kundi, tunatakiwa kuamua kama---
03:44
bloopbloop bloopbloop
81
212405
1293
mlio
(Vicheko)
03:45
(LaughterKicheko)
82
213698
1463
03:47
HiHujambo, who just joinedalijiunga?
83
215161
2023
Habari, nani kajiunga nasi?
03:49
No? I thought I heardkusikia a beepbeep. (LaughterKicheko)
84
217184
4809
Hapana? nilidhani nimesikia mlio. (Vicheko)
03:53
SoundSauti familiarujuzi?
85
221993
1636
Si jambo geni?
03:55
Yeah, it soundssauti familiarujuzi
to me, too.
86
223629
1977
si jambo geni kwangu pia.
03:57
A couplewanandoa of weekswiki after I put that onlineonline,
87
225606
2056
Wiki zilizopita baada ya kuiweka katika mtandao,
03:59
500,000 people in dozenskadhaa of countriesnchi,
88
227662
2801
watu 500,000 kutoka nchi mbalimbali,
04:02
I mean dozenskadhaa of countriesnchi,
89
230463
1640
Namaanisha nchi nyingi mbalimbali
04:04
watchedaliangalia this videovideo.
90
232103
1184
waliangalia video hii.
04:05
And threetatu yearsmiaka laterbaadae, it's still gettingkupata
thousandsmaelfu of viewsmaoni everykila monthmwezi.
91
233287
3354
Na miaka mitatu baadaye, bado inaendelea kuangalia karibuni mara elfu moja katika kila mwezi.
04:08
It's closekaribu to about a millionmilioni right now.
92
236641
1967
Inakaribia kufika milioni sasa hivi.
04:10
And in factukweli, some of the biggestkubwa
companiesmakampuni in the worldulimwengu,
93
238608
2008
Na kiukweli, baadhi ya makampuni makubwa duniani,
04:12
companiesmakampuni that you've
heardkusikia of but I won'thaitakuwa namejina,
94
240616
1910
ambayo huwa unayasikia ila sitayataja,
04:14
have askedaliuliza for my permissionruhusa to use
this videovideo in theirwao new-hirempya ya kukodisha trainingmafunzo
95
242526
3895
wameomba ruhusa yangu ili kutumia video hii katika mafunzo ya kuajiri wafanyakazi wapya
04:18
to teachkufundisha theirwao newmpya employeeswafanyakazi how
not to runkukimbia a meetingmkutano at theirwao companykampuni.
96
246421
4249
kuwafundisha waajiriwa wapya jinsi ya kutofanya mikutano katika kampuni zao.
04:22
And if the numbersnambari
97
250670
1485
Na kama namba---
04:24
there are a millionmilioni viewsmaoni and it's
beingkuwa used by all these companiesmakampuni
98
252155
2381
watu wameangalia mara milioni na inatumika na makampuni yote haya
04:26
aren'tsio enoughkutosha proofushahidi that we have
a globalkimataifa problemtatizo with meetingsmikutano,
99
254536
3526
hicho sio kigezo tosha cha kuonyesha tuna tatizo la kiulimwengu katika kundesha mikutano,
04:30
there are the manywengi, manywengi thousandsmaelfu
100
258062
1777
kuna maoni mengi sana, maelfu
04:31
of commentsmaoni postedimewekwa onlineonline
101
259839
1620
yaliyotolewa katika mtandao.
04:33
after the videovideo wentakaenda up.
102
261459
2188
baada ya video kuonekana.
04:35
ThousandsMaelfu of people wrotealiandika things like,
103
263647
1974
Maelfu ya watu waliandika vitu kama,
04:37
"OMGOMG, that was my day todayleo!"
104
265621
1854
"Mungu wangu, hivyo ndivyo siku yangu ilivyokuwa leo"
04:39
"That was my day everykila day!"
105
267475
1963
"Hivyo ndivyo maisha yangu ya kazini yanavyokuwa kila siku"
"Haya ni maisha yangu"
04:41
"This is my life."
106
269438
1159
04:42
One guy wrotealiandika,
107
270597
930
Bwana mmoja aliandika,
04:43
"It's funnyfunny because it's truekweli.
108
271527
1539
"Inafurahisha kwa sababu ni kweli.
04:45
EerilyEerily, sadlyhuzuni, depressinglydepressingly truekweli.
109
273066
1907
Ukweli wa kuhuzunisha na kuumiza.
04:46
It madealifanya me laughCheka untilmpaka I criedkelele.
110
274973
1718
Imenifanya nicheke mpaka nikaanza kulia.
04:48
And criedkelele. And I criedkelele some more."
111
276691
2750
Nikalia na kulia na kulia zaidi."
04:51
(LaughterKicheko)
112
279441
1632
(Vicheko)
04:53
This poormaskini guy said,
113
281073
1461
Bwana huyu alisema,
04:54
"My dailykila siku life untilmpaka
retirementkustaafu or deathkifo, sighkushusha pumzi."
114
282534
5077
"Maisha yangu mpaka siku nastaafu au umauti utaponikuta"
04:59
These are realhalisi quotesquotes
115
287611
1400
Kuna misemo mingi
05:01
and it's realhalisi sadhuzuni.
116
289011
1799
na inahuzunisha sana.
05:02
A commonkawaida thememandhari runningKimbia throughkupitia
all of these commentsmaoni onlineonline
117
290810
2823
Ujumbe mmoja ambao unapatikana katika maoni yote haya
05:05
is this fundamentalmsingi beliefimani
that we are powerlesshauna nguvu
118
293633
2541
ni imani kwamba hatuna nguvu
05:08
to do anything other
than go to meetingsmikutano
119
296174
1901
ya kufanya kitu chochote kingine zaidi ya kwenda kwenye vikao
05:10
and sufferkuteseka throughkupitia these
poorlyvibaya runkukimbia meetingsmikutano
120
298075
2378
na kukumbana na haya mambo yanayotokea katika vikao vinavyoongozwa ovyo
05:12
and livekuishi to meetkukutana anothermwingine day.
121
300453
2089
na kesho tena kukutana katika mikutano hiyohiyo.
05:14
But the truthukweli is, we're
not powerlesshauna nguvu at all.
122
302542
3141
Lakini ukweli ni huu, si kwamba hatuna nguvu kabisa.
05:17
In factukweli, the curetiba for MASSTAREHE
is right here in our handsmikono.
123
305683
3093
Kiukweli, tiba ya MAS ipo katika mikono yetu.
05:20
It's right at our fingertipskwenye ncha za vidole, literallyhalisi.
124
308792
2185
Katika vidole vyetu, kiuhalisia.
05:22
It's something that I call ¡No MASSTAREHE!
125
310977
3261
Ni kitu ninachoita No MAS
05:26
(LaughterKicheko)
126
314238
2230
(Vicheko)
05:28
WhichAmbayo, if I rememberkumbuka my
highjuu schoolshule SpanishKihispania,
127
316468
2398
Ambapo ninakumbuka kihispania changu wakati nipo sekondari,
ilimaanisha, "Imetosha, zuia kuendelea"
05:30
meansina maana something like,
"EnoughKutosha alreadytayari, make it stop!"
128
318866
2791
05:33
Here'sHapa ni how No MASSTAREHE
worksinafanya kazi. It's very simplerahisi.
129
321657
2752
Na hivi ndivyo No MAS inavyofanya kazi. Ni rahisi sana.
05:36
First of all, the nextijayo time you
get a meetingmkutano invitationmwaliko
130
324409
3197
Kabla ya yote, mara nyingine utapoalikwa katika mkutano
05:39
that doesn't have a lot
of informationhabari in it at all,
131
327606
2847
ambao hauna maelezo yoyote ya kutosha,
05:42
clickbonyeza the tentativeMjarabu buttonkifungo!
132
330453
1840
bonyezo kitufe cha kupata maelezo ya kikao hicho!
05:44
It's okay, you're allowedruhusiwa,
that's why it's there.
133
332293
2450
Ni sawa, unaruhusiwa na ndo maana kimewekwa pale.
05:46
It's right nextijayo to the acceptkukubali buttonkifungo.
134
334743
1509
Ni baada ya kitufe cha kukubali kujiunga na kikao.
05:48
Or the maybe buttonkifungo, or whateverVyovyote buttonkifungo
is there for you not to acceptkukubali immediatelymara moja.
135
336252
3594
Kipo pale kukufanya wewe usikubali moja kwa moja.
05:51
Then, get in touchkugusa with the personmtu
who askedaliuliza you to the meetingmkutano.
136
339846
3783
Halafu, wasiliana na mtu aliyekualika katika kikao hicho.
05:55
Tell them you're very excitedmsisimko
to supportmsaada theirwao work,
137
343629
2586
Waambie umefurahishwa sana kusaidia kazi yao
05:58
askkuuliza them what the goallengo
of the meetingmkutano is,
138
346215
2015
waulize ni lipi lengo hasa la kikao
06:00
and tell them you're interestednia in learningkujifunza
how you can help them achievekufikia theirwao goallengo.
139
348230
3687
na uwaambie unahitaji kujifunza ni vipi unaweza kusaidia katika wao kufikia malengo yao.
06:03
And if we do this oftenmara nyingi enoughkutosha,
140
351917
1928
Na kama tutafanya hivi mara kwa mara,
06:05
and we do it respectfullyheshima,
141
353845
1338
na kufanya kwa heshima,
06:07
people mightnguvu startkuanza to be
a little bitkidogo more thoughtfulkuzingatia
142
355183
2037
watu wataanza kufikiria zaidi kidogo
06:09
about the way they put togetherpamoja
meetingmkutano invitationsmialiko.
143
357220
2462
ni jinsi gani ya kuandaa mikutano kwa ufanisi zaidi.
06:11
And you can make more thoughtfulkuzingatia
decisionsmaamuzi about acceptingkukubali it.
144
359682
2852
Na itakufanya kufikiria zaidi unapotaka kukubali.
06:14
People mightnguvu actuallykwa kweli startkuanza
sendingkutuma out agendasajenda. ImagineKufikiria!
145
362534
3260
Watu wataanza kutuma ajenda. Fikiria!
06:17
Or they mightnguvu not have a conferencemkutano call
with 12 people to talk about a statushali
146
365794
3748
Au hawatokuwa na kikao kwa njia ya simu cha watu 12 wakiongelea kuhusu jambo
06:21
when they could just do a quickharaka
emailbarua pepe and get it donekufanyika with.
147
369542
3283
wakati wanaweza kutumiana barua pepe na kumaliza ajenda kirahisi.
06:24
People just mightnguvu startkuanza to changemabadiliko theirwao
behaviortabia because you changediliyopita yoursyako.
148
372825
4834
Watu wataanza kubadili tabia zao kwa sababu umebadili ya kwako.
06:29
And they just mightnguvu bringkuleta
your chairmwenyekiti back, too. (LaughterKicheko)
149
377659
3485
Na watarudisha kiti chako pia. (vicheko)
06:33
No MASSTAREHE!
150
381144
1375
hakuna MAS!
06:34
Thank you.
151
382519
1440
Asante.
06:35
(ApplauseMakofi).
152
383959
2066
(Makofi).
Translated by Nelson Simfukwe
Reviewed by Joachim Mangilima

▲Back to top

ABOUT THE SPEAKER
David Grady - Information security manager
David Grady is on a crusade to help you take back your calendar.

Why you should listen

David Grady is an information security manager who believes that strong communication skills are
a necessity in today’s global economy. He has been a print journalist, a “PR guy” and a website producer, and has ghostwritten speeches and magazine articles for Fortune 500 company executives. A mid-life career change brought him into the world of information risk management, where every day he uses his communications experience to transform complex problems into understandable challenges.

More profile about the speaker
David Grady | Speaker | TED.com