TED Talks with Swahili transcript

Andrew Mwenda  na mtazamo mpya kuhusu Afrika

TEDGlobal 2007

Andrew Mwenda na mtazamo mpya kuhusu Afrika
1,210,423 views

katika maongezi haya, mwandishi wa habari Andrew mwenda anatuambia kubadilisha "swali kuhusu Afrika" kuangalia zaidi ya habari za umaskini, vita na hali ya kushindwa kujisaidia, na kuona fursa za kutengeneza ustawi na furaha katika kila eneo barani.

Blaise Aguera y Arcas anaonyesha Photosynth

TED2007

Blaise Aguera y Arcas anaonyesha Photosynth
5,831,957 views

Blaise Aguera y Arcas anaonyesha Photosynth, mfumo wa kompyuta wa kusanii picha ambao utabadili namna tuonavyo picha za dijito. Kwa kutumia picha zilizokusanywa kwenye Mtandao wa Intaneti, Photosynth inajenga taswira murua na kutuwezesha kuzitembelea.

Ngozi Okonjo-Iweala anazungumzia kufanya biashara Afrika

TED2007

Ngozi Okonjo-Iweala anazungumzia kufanya biashara Afrika
1,351,670 views

Tunajua mtazamo potofu kuhusu Afrika -- njaa na magonjwa, vita na rushwa. Lakini, anasema Ngozi Okojo-Iweala, kuna mambo mengi yanayotokea katika nchi za Afrika ambayo hayazungumzwi: moja kati ya mabadiliko hayo, kukua kwa uchumi na fursa za kibiashara.

Richard St. John: Siri 8 za mafanikio

TED2005

Richard St. John: Siri 8 za mafanikio
14,410,517 views

Kwa nini watu wanafanikiwa? Je, ni kwa sababu wana akili? Au ni bahati tu? Wala. Mchambuzi Richard St. John anatoa muhtasari wa miaka ya mahojiano katika dakika 3 kuhusu siri halisi za mafanikio.

Wade Davis na Tamaduni Zilizo Hatarini Kupotea

TED2003

Wade Davis na Tamaduni Zilizo Hatarini Kupotea
4,012,783 views

Kwa kutumia picha za kushangaza na simulizi za kusisimua, Wade Davis mwandishi wa National Geographic anaadhimisha umaridadi wa mchanganyiko wa tamaduni za kiasili ulimwenguni, ambazo ziko hatarini kupotea duniani katika kasi ya kutisha.

Masimulizi ya Majora Carter kuhusu ustawi mpya wa miji

TED2006

Masimulizi ya Majora Carter kuhusu ustawi mpya wa miji
2,626,277 views

Katika mhadhara uliojaa hisia, mwanaharakati mshindi wa tuzo ya MacArthur, Majora Carter anaelezea kuhusu mapambano yake kutetea haki za kimazingira huko Bronx Kusini -- na anaonyesha namna ambavyo maeneo ya miji waishiko wanyonge wachache yanaathirika kutokana na sera mbovu za mipango ya miji.

Al Gore katika kuepuka mabadiliko ya hali ya hewa

TED2006

Al Gore katika kuepuka mabadiliko ya hali ya hewa
3,508,991 views

Akiwa na ucheshi na ubinadamu ule ule aliouonesha katika "An inconvenient Truth" Al Gore anaeleza namna 15 ambazo watu binafsi wanaweza kutatua mabadiliko ya hali ya hewa maramoja kutoka kununua gari litumialo mafuta na umeme mpaka kugundua" jina" jipya na la kuvutia zaidi ya mabadiliko ya hali ya hewa.